Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

Sasa naamini Albadiri imeanza kufanya kazi..wehu kama huyu mleta mada wanazidi kuongezeka humu jf
 
We malechela nenda kawasaidie polisi kuwajuza unayojua kuhusu tukio la Lissu..nahisi unayajua A-Z
 
EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....

naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!


....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
nasikia unafirwaa ya kweli HAYO? lemutuz
 
EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....

naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
Vipi jeshi la polisi imeshatoa mrejesho wa hatua waliyofikia katika uchunguzi wao (feedback) kuhusu "assassination attemp kwa Lissu"?
Ule uchunguzi wa hutuma za kigaidi inayowahusu waislamu,masheikh na UAMSHO bado polisi hawajamaliza uchunguzi? Ni miaka mingapi imeyeyuka tokea wamesekwa lupango wale watuhumiwa?

Mtuhumiwa anaweza kujichunguza?
 
- Ungejiuliza baba yako anajisikiaje kuwa na mtoto kama wewe mwanaume unayehangaika na maisha ya wanaume usiowajua kwenye mitandao na majina ya bandia? hahahahahaha jiangalie kwanza kuhusu baba yako na wewe kichwa koroma hahahaha

le Mutuz
eti Mwanaume, Mwanaume madochi
 
Mambo yako ww William sometimes huwa najiuliza hizo akili zako umerithi wap mbona unakuwa ni mpuuzi sana
 
Eh! Ama kweli nimeamini kumbe matusi yote unayotukanwa na kina Mange yanakustahili...
Yani polisi huwa wanaombwa kukamata wahalifu wakati ni kazi yao??!!
nasikia wanampiga mashine kama wale wengine tu.

hata itakuwa sio kwel aiseee huyu jamaa kaharibiwa sana reputation yake hadi aibu utu uzima ule 52 years unapata skendo za hivyo dah aibu
 
Chadema wenyewe kwani kanuni ya uchunguzi inaanzia kwa watu wa karibu wa aliyepata matatizo je chadema wako tayari kuchunguzwa wao kwanza?
mhalifu unamuuliza kama anakubali kama cdm wamehusika fikisha mahakamani tu lkn isiwe scapegoat
 
Kweli we hujui kusoma dalili. Kwa hiyo matamshi ya Rais kuwashughulikia wanaoropoka, kutishia media, Bashite kwenda studio na wasiojulikana, Nape kutolewa Bastola. Unaona bado tuiachie Serikali. Wallahi umerogwa. Au nawe haujulikani....
 
Screenshot_20170927-132033.png
team washindi wakubwa wajinga
 
Back
Top Bottom