Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

watu tunataka kuhamisha point ya ukweli badala yake tumeanzisha suara la political gain,suala la lissu nawaomba msihusishe kisiasa kabsa,lissu anawatoto,ana ndg na watu wanaomtegemea na ameumizwa vibaya shida imeanza watu wanataka kupitia kuumizwa kwa lissu wao wapate political gain ili wananchi wawachukiewatu flani hilo halitawezekana,mda mwingine tunaharibu wenyewe upererezi na baadae tunalaumu gvt,

Let us be serious and think sincerely so as we become wth logical facts to a truth on lissu's problem

Tusiingize faida kisiasa suala la mbunge hyu,kumbukeni ameumizwa na amemwaga damu nyingi.

geluka
 
EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....

naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!

....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz[/QUOTE
Mhusika atajichunguzaje?
 
Naam,kutokana na hali ilivyo kwa sasa Tundu Lissu ahakikishe kuwa yeye na familia yake ndio waratibu suala la dereva na usalama wake.

Asimuamini mtu yeyote nje ya familia yake kwa sasa. Ajifunze kwa ZZK jinsi ya kuishi katika kipindi cha mpito huku akitathimini mustakabali wake kisiasa.

Ukweli ni kwamba katika Chadema kwa sasa kuna Chadema walio Chadema na kuna Chadema wasio Chadema. Tundu Lissu ni Chadema aliye Chadema ila viongozi wengi ni Chadema wasio Chadema.
Ukisikia wanafiki ndio hawa, ni jana tu ulikuwa unamuita Lissu ni msaliti wa taifa leo eti unatoa ushauri kwa mtu asiye mzalendo.

Maneno yenu ya kinafiki hayatawasaidia kitu.

Mlivyopanga imekuwa ndivyo sivyo kajipangeni upya, mjue kwenye mipango yenu kama mnamshirikisha shetani kwa Mungu haitafanikiwa.
 
EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza ....

naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodoma Rais hakuwa Magufuli ....October, 2013 Mwigamba alipopigwa mpaka kuzimia kwa kudai mahesabu ya Chadema Rais hakuwa Magufuli!

....please msijaribu kupandikiza chuki baina yetu wananchi tutaendelea kuwakumbusha kuwa hakuna ushahidi so far wa nani anahusika na kupigwa kwa Mh. Tundu Lissu ...wote tunamuombea apone haraka ila tutaendelea kupinga hukumu za bila Facts against Serikali ....kuhusu matibabu kwa utaratibu wa Serikali ili Mbunge akatibiwe nje ya nchi na kulipiwa na Serikali ni lazima ithibitishwe na Matabibu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwamba WAMESHINDWA na jana ni FAMILIA YA LISSU ndiyo iliyodai kutaka Lissu akatibiwe nje na sio Madaktari wa Muhimbili kama utaratibu unavyotaka na sababu walisema wanahofia usalama wake ...now Serikali ya Rais Magufuli haina cha kufanya isipokuwa kuwaruhusu familia yake wafanye wanachotaka ....Thanks tutaendelea kuwekana sawa kwa FACTS kuhusu kinachoendelea na some of us tutaendelea kusimamia Ukweli tu ...kushambuliwa kwa Lissu hakumfanyi anyone kuwa na haki ya kuhukumu wengine bila FACTS Taifa ni letu wote so relax guys ...kama hamna FACTS nyamazeni iachieni Serikali ifanye kazi yake STOP THE MADNESS! - le Mutuz
Yaaan Wewe Unalinganisha Jana na Leo! Jua dalili YA mvua ni mawingu... Alishasema anafuatiliwaa?

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ukisikia wanafiki ndio hawa, ni jana tu ulikuwa unamuita Lissu ni msaliti wa taifa leo eti unatoa ushauri kwa mtu asiye mzalendo.

Maneno yenu ya kinafiki hayatawasaidia kitu.

Mlivyopanga imekuwa ndivyo sivyo kajipangeni upya, mjue kwenye mipango yenu kama mnamshirikisha shetani kwa Mungu haitafanikiwa.
Hapa ninaongelea masuala ya usalama wake kama binadamu na si uzalendo
 
Hua napata mashaka sn kuona mtu mzima na mwenye kujiita ana akili timamu kuandika vt vya namna hii
Utekwaji wa Roma mpk ss imeachiwa serikali
Alomtishia silaha nape mchana wa jua la utosi pia iliachiwa serikali.
Kuna majibu yyt tumeshapewa mpk ss.?
[HASHTAG]#achenikutufanyamazombi[/HASHTAG]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwana Adam dreva wa Lissu hakupata hata mchubuko hahaaaaaa akili za kuambiwa changanya na zako
Mna haraka gani mbona CCM mna wasiwasi hivyo subirini, mliyetaka kumuua amesema atakuja kumwaga kila kitu hadharani yeye siyo Mroma.

"Mwenyekiti, I survived to tell a tale, Please keep up fighting"
 
Bwana Adam dreva wa Lissu hakupata hata mchubuko hahaaaaaa akili za kuambiwa changanya na zako
Alikuwa target yenu pia? Kama mlimlenga na mkamkosa basi hayo ndio tunasema kuwa ni makusudi ya Mungu kumlinda ili aje auseme ukweli.
Mlikosa shabaha!
 
Hao wote ni njia moja tuu, usijifanye unaisafisha serikali, Hadi kufikia kiasi kwamba mtu anapigwa risasi hadharani au kuoneshwa bastola hadharani unadhani , Kuna amani nchi hii, au Kuna usalama?
Eti asiyejulikana..!!!! Tuseme tuu , anayeogopeka.....maana asingeogopeka ....Yule aliye mtishia bastora nape angekamatwa , au Tundu Lisu alishasema muda kuwa Kuna watu wanataka kumuua, ingekua serikali inajali Raia wake Basi ingechukulia maanani,
Wana subiri tukio litokee ndipo waseme Tuna laani , nani aliyekupa mamlaka ya kulaani, wewe Mungu?
Mjue usipo ziba Ufa utajenga ukuta.
Bora ya kukaa kimya kuliko kusema tuna laani baada ya tukio kutoke ingali mwanzo taarifa ya uharifu ilitolewa, kwanini wasingetafutwa wanaotaka kuua wengine?? Au mulikuwa mnasubiri tatizo litokee ndipo muanze kusema , Tunalani au watafutwe waliosababisha tatizo.
Duh....Bora kuishi ugenini na ukaishi kwa amani kuliko kuishi Tanzania na ukaishi kwa shida.
 
Back
Top Bottom