Tuhuma za Zitto kutaka kujiteka ni nzito, aeleze Umma kulikoni

SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
May 13, 2018
439
742
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

_Ndugu wanahabari,_

Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia Chama cha upinzani Chadema na washirika wake wakitumia mbinu ya ama watu kupotea au kuuawa katika jinai za kawaida ambazo zimekuwepo tangu zama lakini wao wakianza kuzitumia kama mbinu ya kisiasa bila kuzingatia misingi ya uchunguzi.

Wakati hata zamani watu walikuwa wakipotea kwa sababu mbalimbali au kuuawa kwa sababu mbalimbali, inaonekana mbinu ya kutishiwa kuuawa, au watu kutoweka kwa sababu zao sasa imekuwa kiki ya kisiasa si tu Chadema bali hata ACT; tunasikitishwa suala hili sasa linavyogeuka kuwa mtaji wa wanasiasa na kutaka kuichafua Serikali bila sababu

_Ndugu wanahabari,_

Tunayo masikitiko makubwa kuona wanasiasa kama Zitto Kabwe nao wanaingia katika mkumbo huu baada ya kila hoja anayoishika kuonekana haina nashiko.

Taarifa zilizoenea ni kuwa sasa mwanasiasa huyo anataka kujitengenezea au kuna namna atatengenezewa na watu wake au wakubwa zake walioanza kumchoka ili litokee tukio la kujeruhiwa au kutishiwa maisha ili ajijengee mtaji wa kisiasa.

Taarifa na tuhuma hizi ni nzito na mbaya kwa Taifa hivyo sisi vijana wa Kizazi cha Kuhoji Afrika tunamtaka Mhe. Zitto Kabwe kujitokeza na kutoa ufafanuzi wa tuhuma hizi mbaya zinazoweza kuichafua nchi.

_Ndugu wanahabari,_

Tuhuma hizi hazipaswi kupita bila kukemewa hasa ikizingatiwa kuwa hii inaanzakuwa fasheni kwa wanasiasa wa upinzani.

Mbunge Tundu Lissu hata akiwa hajahojiwa na wachunguzi amekuwa akilaumu Serikali hadi aliposhindwa rasmi kuthibitisha madai yake mbele ya Mtangazaji wa BBC.

Lakini ikumbukwe, na cha ajabu, wanasiasa kama Zitto, hii ya kujitungia uongo kuwa watauawa au wanatishiwa ni staili yao tangu zamani.Wamesahau tu.

Wakati Lissu akiwa mwanaharakati wa madini alipata kutishiwa na mabeberu wa madini hadi akaenda kusoma nje, Zitto naye akiwa Chadema alipata mara kadhaa kusema anategeshewa kuuawa.

Lakini leo Lissu kasahau maadui wa wakati huo waliokuwa na usongo naye na Zitto ametoka Chadema lakini sasa amewakumbatia wale wale aliowatuhumu kuwa wanataka kumuua kwa kuungana na Chadema.

Sasa Zitto kaibua madai kuwa Tiss au watu asiowataja wanataka kumuua.

Kama aliwatuhumu Chadema na leo ndio marafiki zake ni aidha Zitto ni mkweli kwa hiyo anapaswa kutoa vielelezo kuanzia matishio aliyokuwa nayo Chadema ili hata sasa akidhurika watu wafuatilie maadui zake au ni muongo wa kutupwa anayetumia staili hii ya kudai kuuawa kama kiki ya kisiasa.

_Ndugu wanahabari,_

Ndio maana, kwa utata huo, tumeshawishika kujitokeza kumtaka Ndugu Kabwe atoke hadharani kuueleza umma kipi ni kipi?

Lissu tutamsubiri apone aje aeleze anadhani wale waliomkimbiza mwanzo hadi akaenda kusoma nje na akarudi akaanza kuwazodoa tena katika mabeberu wa madini anadhani alimalizana nao?

Je, ni kweli Zitto naye anatishiwa? Kama ni kweli ni kina nani walimtisha akiwa Chadema?waligombana naye nini?Walichogombana kimekwisha? Kama ndio kimekwisha vipi?

Je, kama ni kweli anadhani maadui zake ni nani hasa? Alishamalizana na maadui zake waliotaka kumuua akiwa Chadema?Kwenye madini ambako amekuwa akitumika hana maadui?

Kwa nchi anakopita na kutuma taarifa nyingine zikigeuka za uongo na kuwaudhi waliomtuma licha ya kumlipa hela nako anadhani hana maadui?

Anatengeneza hitimisho gani hata pale ambapo jambo halijatokea anaanza kuilaumu Serikali?Je, anashiriki hicho anachokiita mipango mibaya dhidi yake?

na labda la mwisho; anajua maumivu aliyowasababishia makumi ya mabinti aliowatelekeza?Hadhani kwamba hawa nao ni maadui?Kwa nn shida zake kama zipo zote anakimbilia kulaumu na kutaka kuchafua nchi?

Tunataka ajitokeze ajibu haya.

Imetolewa na Munir Abubakar

KIZAZI CHA KUHOJI AFRIKA (KICHAKUA)
DAR ES SALAAM, TANZANIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vikundi vya kijinga kama hivi vinaanzishwa ili kumsaidia mtawala aendelee kutawala vikitegemea fadhla za uongozi, vijana wa kiafrika ni wapuuzi sana na wao ndio chanzo cha matatizo ya bara hili.
Mnatilia mashaka ya mtu kutoa taarifa ya usalama wake utafikiri nyinyi ni vyombo vya ulinzi, mmeanza na uraia mmeshindwa hata kuthibitisha na mamlaka husika zimeamua kuwapuuza , sasa mnataka tena kuwa jeshi la polisi.
Mapumbavu sana haya matoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani nyinyi ni jeshi la Polisi?

Hebu acheni kuingilia kazi za Polisi .

Nyie ndo mnalipaka matope jeshi hili.

Nina amini kabisa hakuna mtu aliyewatuma kuandika hili ni nyinyi wenyewe , mkidhani kuwa mnaisadia serikali kumbe wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

_Ndugu wanahabari,_

Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia Chama cha upinzani Chadema na washirika wake wakitumia mbinu ya ama watu kupotea au kuuawa katika jinai za kawaida ambazo zimekuwepo tangu zama lakini wao wakianza kuzitumia kama mbinu ya kisiasa bila kuzingatia misingi ya uchunguzi.

Wakati hata zamani watu walikuwa wakipotea kwa sababu mbalimbali au kuuawa kwa sababu mbalimbali, inaonekana mbinu ya kutishiwa kuuawa, au watu kutoweka kwa sababu zao sasa imekuwa kiki ya kisiasa si tu Chadema bali hata ACT; tunasikitishwa suala hili sasa linavyogeuka kuwa mtaji wa wanasiasa na kutaka kuichafua Serikali bila sababu

_Ndugu wanahabari,_

Tunayo masikitiko makubwa kuona wanasiasa kama Zitto Kabwe nao wanaingia katika mkumbo huu baada ya kila hoja anayoishika kuonekana haina nashiko.

Taarifa zilizoenea ni kuwa sasa mwanasiasa huyo anataka kujitengenezea au kuna namna atatengenezewa na watu wake au wakubwa zake walioanza kumchoka ili litokee tukio la kujeruhiwa au kutishiwa maisha ili ajijengee mtaji wa kisiasa.

Taarifa na tuhuma hizi ni nzito na mbaya kwa Taifa hivyo sisi vijana wa Kizazi cha Kuhoji Afrika tunamtaka Mhe. Zitto Kabwe kujitokeza na kutoa ufafanuzi wa tuhuma hizi mbaya zinazoweza kuichafua nchi.

_Ndugu wanahabari,_

Tuhuma hizi hazipaswi kupita bila kukemewa hasa ikizingatiwa kuwa hii inaanzakuwa fasheni kwa wanasiasa wa upinzani.

Mbunge Tundu Lissu hata akiwa hajahojiwa na wachunguzi amekuwa akilaumu Serikali hadi aliposhindwa rasmi kuthibitisha madai yake mbele ya Mtangazaji wa BBC.

Lakini ikumbukwe, na cha ajabu, wanasiasa kama Zitto, hii ya kujitungia uongo kuwa watauawa au wanatishiwa ni staili yao tangu zamani.Wamesahau tu.

Wakati Lissu akiwa mwanaharakati wa madini alipata kutishiwa na mabeberu wa madini hadi akaenda kusoma nje, Zitto naye akiwa Chadema alipata mara kadhaa kusema anategeshewa kuuawa.

Lakini leo Lissu kasahau maadui wa wakati huo waliokuwa na usongo naye na Zitto ametoka Chadema lakini sasa amewakumbatia wale wale aliowatuhumu kuwa wanataka kumuua kwa kuungana na Chadema.

Sasa Zitto kaibua madai kuwa Tiss au watu asiowataja wanataka kumuua.

Kama aliwatuhumu Chadema na leo ndio marafiki zake ni aidha Zitto ni mkweli kwa hiyo anapaswa kutoa vielelezo kuanzia matishio aliyokuwa nayo Chadema ili hata sasa akidhurika watu wafuatilie maadui zake au ni muongo wa kutupwa anayetumia staili hii ya kudai kuuawa kama kiki ya kisiasa.

_Ndugu wanahabari,_

Ndio maana, kwa utata huo, tumeshawishika kujitokeza kumtaka Ndugu Kabwe atoke hadharani kuueleza umma kipi ni kipi?

Lissu tutamsubiri apone aje aeleze anadhani wale waliomkimbiza mwanzo hadi akaenda kusoma nje na akarudi akaanza kuwazodoa tena katika mabeberu wa madini anadhani alimalizana nao?

Je, ni kweli Zitto naye anatishiwa? Kama ni kweli ni kina nani walimtisha akiwa Chadema?waligombana naye nini?Walichogombana kimekwisha? Kama ndio kimekwisha vipi?

Je, kama ni kweli anadhani maadui zake ni nani hasa? Alishamalizana na maadui zake waliotaka kumuua akiwa Chadema?Kwenye madini ambako amekuwa akitumika hana maadui?

Kwa nchi anakopita na kutuma taarifa nyingine zikigeuka za uongo na kuwaudhi waliomtuma licha ya kumlipa hela nako anadhani hana maadui?

Anatengeneza hitimisho gani hata pale ambapo jambo halijatokea anaanza kuilaumu Serikali?Je, anashiriki hicho anachokiita mipango mibaya dhidi yake?

na labda la mwisho; anajua maumivu aliyowasababishia makumi ya mabinti aliowatelekeza?Hadhani kwamba hawa nao ni maadui?Kwa nn shida zake kama zipo zote anakimbilia kulaumu na kutaka kuchafua nchi?

Tunataka ajitokeze ajibu haya.

Imetolewa na Munir Abubakar

KIZAZI CHA KUHOJI AFRIKA (KICHAKUA)
DAR ES SALAAM, TANZANIA

Sent using Jamii Forums mobile app
Long rubbish story from foolish fool
 
M.p.u.mbavu wewe mnateka na kuua watanzania wenzenu ili kumfurahisha mtu mmoja.
Kama anapendwa mbona hajiamini, mnahonga na kutisha hadi wachungaji ili wamsifie huyo SHETANI wenu.
Hamuwezi kuwanyamazisha watanzania kwa njia za kihuni na vitisho. Leteni maendeleo kila mtu atawapenda.
Mnadhulumu hadi wakulima wadogo na maskini wakorosho halafu mnasema tumuombee huyo SHETANI.
Mtatumia nguvu kubwa kwa mambo yaliyohitaji hekima ya kawaida kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

_Ndugu wanahabari,_

Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia Chama cha upinzani Chadema na washirika wake wakitumia mbinu ya ama watu kupotea au kuuawa katika jinai za kawaida ambazo zimekuwepo tangu zama lakini wao wakianza kuzitumia kama mbinu ya kisiasa bila kuzingatia misingi ya uchunguzi.

Wakati hata zamani watu walikuwa wakipotea kwa sababu mbalimbali au kuuawa kwa sababu mbalimbali, inaonekana mbinu ya kutishiwa kuuawa, au watu kutoweka kwa sababu zao sasa imekuwa kiki ya kisiasa si tu Chadema bali hata ACT; tunasikitishwa suala hili sasa linavyogeuka kuwa mtaji wa wanasiasa na kutaka kuichafua Serikali bila sababu

_Ndugu wanahabari,_

Tunayo masikitiko makubwa kuona wanasiasa kama Zitto Kabwe nao wanaingia katika mkumbo huu baada ya kila hoja anayoishika kuonekana haina nashiko.

Taarifa zilizoenea ni kuwa sasa mwanasiasa huyo anataka kujitengenezea au kuna namna atatengenezewa na watu wake au wakubwa zake walioanza kumchoka ili litokee tukio la kujeruhiwa au kutishiwa maisha ili ajijengee mtaji wa kisiasa.

Taarifa na tuhuma hizi ni nzito na mbaya kwa Taifa hivyo sisi vijana wa Kizazi cha Kuhoji Afrika tunamtaka Mhe. Zitto Kabwe kujitokeza na kutoa ufafanuzi wa tuhuma hizi mbaya zinazoweza kuichafua nchi.

_Ndugu wanahabari,_

Tuhuma hizi hazipaswi kupita bila kukemewa hasa ikizingatiwa kuwa hii inaanzakuwa fasheni kwa wanasiasa wa upinzani.

Mbunge Tundu Lissu hata akiwa hajahojiwa na wachunguzi amekuwa akilaumu Serikali hadi aliposhindwa rasmi kuthibitisha madai yake mbele ya Mtangazaji wa BBC.

Lakini ikumbukwe, na cha ajabu, wanasiasa kama Zitto, hii ya kujitungia uongo kuwa watauawa au wanatishiwa ni staili yao tangu zamani.Wamesahau tu.

Wakati Lissu akiwa mwanaharakati wa madini alipata kutishiwa na mabeberu wa madini hadi akaenda kusoma nje, Zitto naye akiwa Chadema alipata mara kadhaa kusema anategeshewa kuuawa.

Lakini leo Lissu kasahau maadui wa wakati huo waliokuwa na usongo naye na Zitto ametoka Chadema lakini sasa amewakumbatia wale wale aliowatuhumu kuwa wanataka kumuua kwa kuungana na Chadema.

Sasa Zitto kaibua madai kuwa Tiss au watu asiowataja wanataka kumuua.

Kama aliwatuhumu Chadema na leo ndio marafiki zake ni aidha Zitto ni mkweli kwa hiyo anapaswa kutoa vielelezo kuanzia matishio aliyokuwa nayo Chadema ili hata sasa akidhurika watu wafuatilie maadui zake au ni muongo wa kutupwa anayetumia staili hii ya kudai kuuawa kama kiki ya kisiasa.

_Ndugu wanahabari,_

Ndio maana, kwa utata huo, tumeshawishika kujitokeza kumtaka Ndugu Kabwe atoke hadharani kuueleza umma kipi ni kipi?

Lissu tutamsubiri apone aje aeleze anadhani wale waliomkimbiza mwanzo hadi akaenda kusoma nje na akarudi akaanza kuwazodoa tena katika mabeberu wa madini anadhani alimalizana nao?

Je, ni kweli Zitto naye anatishiwa? Kama ni kweli ni kina nani walimtisha akiwa Chadema?waligombana naye nini?Walichogombana kimekwisha? Kama ndio kimekwisha vipi?

Je, kama ni kweli anadhani maadui zake ni nani hasa? Alishamalizana na maadui zake waliotaka kumuua akiwa Chadema?Kwenye madini ambako amekuwa akitumika hana maadui?

Kwa nchi anakopita na kutuma taarifa nyingine zikigeuka za uongo na kuwaudhi waliomtuma licha ya kumlipa hela nako anadhani hana maadui?

Anatengeneza hitimisho gani hata pale ambapo jambo halijatokea anaanza kuilaumu Serikali?Je, anashiriki hicho anachokiita mipango mibaya dhidi yake?

na labda la mwisho; anajua maumivu aliyowasababishia makumi ya mabinti aliowatelekeza?Hadhani kwamba hawa nao ni maadui?Kwa nn shida zake kama zipo zote anakimbilia kulaumu na kutaka kuchafua nchi?

Tunataka ajitokeze ajibu haya.

Imetolewa na Munir Abubakar

KIZAZI CHA KUHOJI AFRIKA (KICHAKUA)
DAR ES SALAAM, TANZANIA

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao watu unaodai walikuwa wakipotea tangu zamani, walikuwa ni viongozi wakuu wa vyama vya upinzani peke yao tu? Kwanini wa CCM hawapotei? Kwanini wa CCM hawapigwi risasi, kwanini hawafi? Wao wana kinga gani tofauti na wa vyama vya upinzani? Kwanini hayo matukio ya kupotea au kupigwa risasi hayachunguzwi na polisi? Pumbavu kabisa
 
kumbe kizazi cha kuhoji! mazwazwa
 
Back
Top Bottom