Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Wanabodi,

Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.

Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!.

Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...

Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.
Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...

Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.

Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.

Wasalaam.

Paskali
Hivi kama jina lako ni la kisukum, hilo la kuzaliwa wakati wa baa la njaa, linaandikwa "Mayalla" au "Mayala"?? Mababu zako walikusudia liandikwaje??
Nimetoka nje ya mada kidogo kusahihishwa!
 
pascal, sijui utapata lini uelewa ndugu wa kujenga hoja. nilishakwambia uje huku kupractice sheria upate akili, hadi leo upo kwenye malumbano na malaymen.

nimeishi sana mikoa ya wasukuma na wanyamwezi, ninawafahamu hao watu kuliko wewe msukuma uliyezaliwa Dar es Salaam/kukulia au kuspend most of your time dsm. Ukabila wa wasukuma ni mkubwa mno, na ni ule ambao hata sio wa kisomi, ni ukabila ambao sio wa kureason kwa mantiki kwasababu wengi wamenyimwa elimu na ndio wanadamu wenye idadi kubwa kuliko wanadamu wote wa tz ambao hadi leo ni "WAPAGANI", hawana dini, sembuse elimu na uwezo kupambanua. wengi akiona msukuma tu hata kama anafanya jambo baya, huwa wanasema si msukuma mwenzangu anafaidi? mfano mdogo sana nenda bariadi kwa chenge, au kwa mafisadi mengine ya kisukuma, utaelewa, pamoja na kwamba mnyantuzu naye humbagua msukuma wa kawaida akijiona yeye ndio bora zaidi.

nenda kuanzia chunya, hadi Tabora na singida (wengi wamehamia huko), nimeishi shinyanga, kahama, geita, mwanza na Tabora mno. watu wa huko ukiwa sio msukuma wanakuona huna maana, ajabu yake ni mambumbumbu balaa, hawaendi shule, wengi wanaanza shule ya msingi wakiwa wamebalehe hahahaha, pamoja na kwamba masai wengi hawapeleki watoto shule na ni wapagani, kwasababu ya idadi yao wasukuma ndio watu wengi wapagani kuliko kiumbe yeyote hapa tz. usiongee vitu vya kwenye nadharia, kwasababu ati wewe ni msukuma, ongea vitu ulivyoishi navyo.

kuhusu wasukuma wanaotawala nchi hii kwasasa, naogopa kukamatwa nitaitwa mchochezi, lakini ni mara yangu ya kwanza kuona kiongozi anaongea kisukuma kwenye muhadhara wa watu mchanganyiko, how can you? unajua watz tumechangamana, mimi hapa nimejenga mikoa ya wasukuma, kuna watu wengi mno wa makabila yangu (my father's and my mother's tribes) wanaishi huko, tunaishi kwa kuchangamana, ukienda mwanza , shinyanga, Tabora kwa wanyamwezi, geita, sengerema etc, doesn't mean wanaoishi kule wote ni wasukuma, how can you speak kisukuma kwenye hotuba? ulishawahi kuiona hiyo kwa kikwete kuongea kikwere akienda bagamoyo? na kikwete ni mtoto wa kijijini kule msata ujue anakijua vizuri lakini sijawahi kumona ameongea, uliwahi kumuona mkapa ameongea kile cha kwao kule kusini, lowasa kuongea kimasai, nyerere kuongea kizanaki akienda kwao? sisemi kwamba mtu fulani ni mkabila lakini sipendi icho kitu.

kama umeshaishi Nairobi hata kwa mwezi tu utagundua kuwa kule kuna radio, na tv nyingi tu za kikabila, utasikia radio yenyewe inaongea kikuyu tu, kiluya tu etc. hata tv zipo...ni kama mimi nianzishe radio hapa ya kisukuma tu, kichaga tu, kinyamwezi tu, kinyakyusa tu, that means nataka kuwahutubia wale wa kabila langu tu...sasa ndio hapo kiongozi ambaye watu tumeamka kwenda kumsikiliza na sisi sio wasukuma tunafika pale anaingiza maneno ya kisukuma? dah?
Una akili ndogo wewe una uhakika gani pale anapohutubia wote wanasikia kiswahili?? mbona wanapochanganya na kingereza hupayuki kulaumu..umekaririr takwimu kila kitu unauliza takwimu..unaposema ukabila wa wasukuma wakati wachaga wamejaa tele na maduka yao mza, shy, khm una akili wewe..uliza moshi km kuna watu kutoka sehemu nyingine wanafanya biashara huko?? wala kuwa mpagani si kosa, ni wapi shule nzr zilijengwa na wakoloni..Tabora boys/girls iko moshi?? ni viongozi gani wa mwanzo kuleta changamoto za vyama vingi??? kasanga tumbo ni mchaga? Kasela bantu je.. trace historia ya makanisa hasa ya kipentekoste yalianzia wapi..arusha?? una matatizo wewe..
 
Tatizo lenu ninyi ni kuchunga ng'ombe. masai wanachunga ng'ombe lakini wana uelewa mzuri sana kichwani tofauti na ninyi, labda ni kwasababu hamkati magovi. unachotakiwa kuelewa ni kwamba, unapoongea kama rais wa nchi ambayo inapinga ukabila, ni sumu kubwa sana kuongea kikabila kwenye muhadhara wa watu wa makabila mbalimbali. kwanza unawafanya wasio wasukuma wajione wanabaguliwa pamoja na kwamba wameacha shughuli zao home kuja kukusikiliza kama rais wao. ndio maana utaona wale wanaoshangilia sanaa ni wasukuma tena wanaojua kiswhaili vizuri tu. hautaelewa hata nikikueleza miaka mia...ndo maana mnafoji vyeti huko koromije.
 
You r so fo.o.lish to be intimidated hearing someone using his mother tongue..thats why you speak nasty..
 
You r so fo.o.lish to be intimidated hearing someone using his mother tongue..thats why you speak nasty..
ndio maana nimesema tatizo ni akili, mnaanza shule mkiwa wakubwa mno. kwa tz tulivyozoea, kiswahili ndio lugha ya taifa, kiongozi wa taifa anategemewa kuongea lugha ya taifa. sio rais wa wasukuma yule, ni wa wote hata wasiojua kisukuma. even if i would be too foolish to the maximum sidhani kama ningefikia kiwango chenu.
 
Nosense! mwenye akili hana muda kujadili trivial issues km za mtu kuongea lugha ya kabila yake..haina effect yoyote popote, mpumbavu aliyekariri vitabu shuleni whether alianza shule na miaka 0 ndiye anasumbuliwa kufikiri km unavyoandika hapa!
 
its unfortunate you are taking this issue as trivial. najua mmelewa tu madaraka, kazi yenu ninyi ilikuwa muendelee kuchunga ng'ombe. sina mengi zaidi ya hayo. pia msisahau kukata magovi.
 
Nosense! mwenye akili hana muda kujadili trivial issues km za mtu kuongea lugha ya kabila yake..haina effect yoyote popote, mpumbavu aliyekariri vitabu shuleni whether alianza shule na miaka 0 ndiye anasumbuliwa kufikiri km unavyoandika hapa!
Kwa akili hizi sikushangai ukitetea ukabila. Kuhutubia kwa lugha ya kabila katika jukwaa linalotazamwa na kusikilizwa na taifa zima kwako ni sawa, haina effect yoyote. Nashukuru kukufahamu.
 
Ukitaka kuamini tuna tatizo kubwa la ukabila fuatilia kwa makini kura zilizopigwa MWASHITA kati ya 2010 na Chadema kuipasuwa ngome hiyo, halafu fuatilia baada MWASHITA kupewa mgombea wao 2015 ni nini kilifuata.

Pia angalia Lowasa alivyomtesa Magufuli kura za Arusha uchaguzi wa 2015, anayebisha ukabila anajidanganya mwenyewe.
nini chanzo cha mwashita? kwanini kulikuwa na under investment sehemu fulani za nchi? kwanini kuna vyama vya watu waliotoka sehemu......., kila mkoa walipo?
 
PASKALI, hivi unavyoandika wasukuma wapole, wakarimu, wenye heshima, waungwana,wenye roho mzuri na kadhalika, umewafananisha au kuwalinganisha na akina nani /kabila gani na kwa takwimu zipi? Maana usituandikie tu kwa kudhania na kusukumwa kwa kadiri ulivyoishi. Vipi kuhusu wale wanaoongoza kwa kuuwa wakongwe kwa imani mbovu za kishirikina? Kuhusu mauaji ya watu wenye albinism? Ni akina nani hapa Tanzania?
Miongoni mwa makabila yatesayo wake /wanawake kwa vipigo na unyanyasaji kijinsia je? "Kutulaga na mamikoma kama sungusungu wanasensemya mhalifu"! Mikoa yenye wasukuma hasa vijijini watoto wa kike ni miongoni mwa viumbe binadamu wanaonyimwa sana kupata elimu dunia. Matokeo ya mitihani ya Taifa ni jibu tosha. Kuhusu kuozesha vibinti vichanga kwa "mazee" hawako nyuma. Sasa hizo sifa unazojimiminia harakaharaka kama unabugia chipsi kavu bila maji unazifitisha wapi yakhe wangu!!?
ni sehemu gani ya nchi yenye under investment ya shule na miundo mbinu na watu wake ktk kupata ajira tra and the like? na nini madhara ya kukosa vitu hivyo
 
Mayalla Nyerere wakati anajaribu kuyazuia makabila makubwa alishaona hilo.
Tatizo hapa sio ubaguzi wa msukuma no ni Kwa sababu kabila kubwa litakuwa na wasomi wa kutosha,wanajeshi wa kutosha na usalama wa taifa wa kutosha.
Jiulize kama rais akiwa msandawe anaweza kupendelea wasandawe na kuwajaza serikalini?
Fikiria rais angekuwa mzanaki bashite angependelewa?
Rais angekuwa msafwa uwanja wa ndege ungeenda kujengwa kijijini kwake alimozaliwa?
Brother ukuu wa wilaya utaupata Kwa kuwa msukuma na si vinginevyo.
Niambie Kwa maneno makali ya askofu gwajima angekuwa mchaga au mmasai Leo angekuwa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
53 Reactions
Reply
Back
Top Bottom