Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

Kuna kipindi hata Kikwete walimsema anapendelea kwenye kugawa madaraka, akasema hawezi kumchagua mtu ambaye hamfahamu amsaidie kwenye uongozi wake. Chukulia kwa mfano ungekuwa wewe, je, ungeweza kumteu mtu usiyemjua awe kiongozi kwenye utawala wako? The same applies to Magufuli, he is applying the rules that have already implemented by his succsesors
 
PASKALI, hivi unavyoandika wasukuma wapole, wakarimu, wenye heshima, waungwana,wenye roho mzuri na kadhalika, umewafananisha au kuwalinganisha na akina nani /kabila gani na kwa takwimu zipi? Maana usituandikie tu kwa kudhania na kusukumwa kwa kadiri ulivyoishi. Vipi kuhusu wale wanaoongoza kwa kuuwa wakongwe kwa imani mbovu za kishirikina? Kuhusu mauaji ya watu wenye albinism? Ni akina nani hapa Tanzania?
Miongoni mwa makabila yatesayo wake /wanawake kwa vipigo na unyanyasaji kijinsia je? "Kutulaga na mamikoma kama sungusungu wanasensemya mhalifu"! Mikoa yenye wasukuma hasa vijijini watoto wa kike ni miongoni mwa viumbe binadamu wanaonyimwa sana kupata elimu dunia. Matokeo ya mitihani ya Taifa ni jibu tosha. Kuhusu kuozesha vibinti vichanga kwa "mazee" hawako nyuma. Sasa hizo sifa unazojimiminia harakaharaka kama unabugia chipsi kavu bila maji unazifitisha wapi yakhe wangu!!?
 
Wanabodi,

Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.

Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!.

Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...

Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.
Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...

Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.

Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.

Wasalaam.

Paskali
pascal, sijui utapata lini uelewa ndugu wa kujenga hoja. nilishakwambia uje huku kupractice sheria upate akili, hadi leo upo kwenye malumbano na malaymen.

nimeishi sana mikoa ya wasukuma na wanyamwezi, ninawafahamu hao watu kuliko wewe msukuma uliyezaliwa Dar es Salaam/kukulia au kuspend most of your time dsm. Ukabila wa wasukuma ni mkubwa mno, na ni ule ambao hata sio wa kisomi, ni ukabila ambao sio wa kureason kwa mantiki kwasababu wengi wamenyimwa elimu na ndio wanadamu wenye idadi kubwa kuliko wanadamu wote wa tz ambao hadi leo ni "WAPAGANI", hawana dini, sembuse elimu na uwezo kupambanua. wengi akiona msukuma tu hata kama anafanya jambo baya, huwa wanasema si msukuma mwenzangu anafaidi? mfano mdogo sana nenda bariadi kwa chenge, au kwa mafisadi mengine ya kisukuma, utaelewa, pamoja na kwamba mnyantuzu naye humbagua msukuma wa kawaida akijiona yeye ndio bora zaidi.

nenda kuanzia chunya, hadi Tabora na singida (wengi wamehamia huko), nimeishi shinyanga, kahama, geita, mwanza na Tabora mno. watu wa huko ukiwa sio msukuma wanakuona huna maana, ajabu yake ni mambumbumbu balaa, hawaendi shule, wengi wanaanza shule ya msingi wakiwa wamebalehe hahahaha, pamoja na kwamba masai wengi hawapeleki watoto shule na ni wapagani, kwasababu ya idadi yao wasukuma ndio watu wengi wapagani kuliko kiumbe yeyote hapa tz. usiongee vitu vya kwenye nadharia, kwasababu ati wewe ni msukuma, ongea vitu ulivyoishi navyo.

kuhusu wasukuma wanaotawala nchi hii kwasasa, naogopa kukamatwa nitaitwa mchochezi, lakini ni mara yangu ya kwanza kuona kiongozi anaongea kisukuma kwenye muhadhara wa watu mchanganyiko, how can you? unajua watz tumechangamana, mimi hapa nimejenga mikoa ya wasukuma, kuna watu wengi mno wa makabila yangu (my father's and my mother's tribes) wanaishi huko, tunaishi kwa kuchangamana, ukienda mwanza , shinyanga, Tabora kwa wanyamwezi, geita, sengerema etc, doesn't mean wanaoishi kule wote ni wasukuma, how can you speak kisukuma kwenye hotuba? ulishawahi kuiona hiyo kwa kikwete kuongea kikwere akienda bagamoyo? na kikwete ni mtoto wa kijijini kule msata ujue anakijua vizuri lakini sijawahi kumona ameongea, uliwahi kumuona mkapa ameongea kile cha kwao kule kusini, lowasa kuongea kimasai, nyerere kuongea kizanaki akienda kwao? sisemi kwamba mtu fulani ni mkabila lakini sipendi icho kitu.

kama umeshaishi Nairobi hata kwa mwezi tu utagundua kuwa kule kuna radio, na tv nyingi tu za kikabila, utasikia radio yenyewe inaongea kikuyu tu, kiluya tu etc. hata tv zipo...ni kama mimi nianzishe radio hapa ya kisukuma tu, kichaga tu, kinyamwezi tu, kinyakyusa tu, that means nataka kuwahutubia wale wa kabila langu tu...sasa ndio hapo kiongozi ambaye watu tumeamka kwenda kumsikiliza na sisi sio wasukuma tunafika pale anaingiza maneno ya kisukuma? dah?
 
Jana hukumsikia ? Yeye mwenyewe kasema kwenye hotuba zake huko Kaliua ni Msukuma. Magufuli ni pure msukuma, ni vile tu kabla ya uchaguzi alificha maana alijua sumu mliyolishwa na Nyerere ya kutochagua kabila kubwa ingemuathiri.
VICTOIRE, usidangaye, baba yake ni nani? mama yake ni nani wanatoka wapi? ... particularly baba, chunguza.....
 
Alimaanisha hilo la upendeleo wa kikabila.
Kwa mimi nilivyoelewa alimaanisha kabila kubwa likitawala nchi, litajaza watu wake kwenye utendaji wa kazi za serikali na kuyameza makabila mengine. Lakini kabila dogo likitawala nchi, unaweza kuta watu waliosoma na wenye uwezo wa kushika nafasi za juu serikalini hawafiki hata hamsini. Kitu ambacho hakitaathiri utendaji kazi na hakileti marumbano kama ilivyo sasa
 
Wanabodi,

Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.

Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!.

Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...

Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.
Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...

Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.

Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.

Wasalaam.

Paskali
Tunakuelwa Mayala Lakini unapokua ''A public figure'' unatakiwa kuepuka kitu kinacho itwa ''Conflict of interest''
 
Wanabodi,

Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.

Paschal,

Heba nenda kachimbue historia ya pale Nyanza Cooperative Union halafu urudi hapa useme ni kabila gani lilijazana pale.
 
Taifa letu hili changa Leo linaanza kuzumgumzia ukabila?

Tuna zaidi ya makabila 120 ni vyema,tunapoanza kuzumgumzia kabila hili kubwa nchini ni wazi tutaendelea kulimong'onyoa Taifa letu taratibu.

Na tukiendelea hivi IPO siku ukanda wa maziwa makuu,kaskazini na kusini watajitenga,na hivyo kuvuruga Umoja na mshikamano wetu.
Ikiwekwe wazi kuwa yeyote anayezumgumzia ukabila ni sawa na yule anayetaka kuvunja Muungano na wote hawa ni wahaini.

Mbona kipindi cha Rais mstaafu aliyepita watu hawakuzumgumzia ukabila? Hoja kubwa nilikuwa ni udini na n.k.

Kwa hili @Pascali Mayalla ni sawa kwa utashi wako,lakini si sawa kwa mustakabali wa Taifa letu.
Vilevile ufahamu ya kuwa kanda ya ziwa kwa ujumla hasa mkoa wa Mara una zaidi nusu ya makabila yote nchini.

Lakini pia tufahamu ya kuwa kanda ya ziwa kwa sasa si ya wasukuma pekee bali makabila yote ya

Tanzania kama ilivyo kwa ukanda wa pwani,kaskazini,kusini,kati na magharibi mwa Tanzania.

Hivyo sisi sote ni ndugu moja tunaoishi ndani ya nyumba moja Tanzania.

Tofauti yetu ni vijiji vyetu vya ujamaa ambavyo pengine kutokana na milki ya ardhi za kimila imefanya watanzania wengine kutokujichanga/kutapata fursa ya kufanya makazi ya kudumu kuendesha shughuli za uzalishaji Mali.

Ingawa siku zinavyozidi kwenda watanzania wameanza kujichanganya kwa pamoja katika vijiji vyetu vyote vya ujamaa na kuendelea kuzalisha mali ,leo hii utakuta hawa unaowazungumzia wamesambaa kila kona ya nchi wakifanya kilimo,ufugaji na uchimbaji mdogo mdogo wa madini.

Mfano IPO mingi ya Watanzania kusambaa kila kona ya nchi kutafuta ridhiki pasipo kubaguana kiitikadi,kikabila,kidini,rangi n.k

Na unaposema kwamba hawa hawana ukabila,Je ni kina nani wenye ukabila?

Ni vyema ukawataja ili kama Taifa ukabila huo uweze kutokomezwa mapema ili miaka ijayo vizazi vinavyokuja visome historia ya Umoja wa Mtanzania.
 
Mlevi anayekiri kalewa, huyo ni msanii tu na si mlevi. Mlevi hata kama anatambaa kama mtoto mchanga hawezi kukiri kwamba kalewa...sana sana atakomaa aking'aka kwani hiyo pombe umemnunulia wewe!
 
Wanabodi,

Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika.

Declaration of Interest.
Mimi Paskali Mayalla ni Msukuma, na jina la Mayalla ni jina la ukoo toka kwa mababu na maana yake ni mtu aliyezaliwa wakati wa baa la njaa ( ukame, famine, drought), na sio njaa ya tumbo, au njaa ya shibe kama wengi walivyoaminishwa!.

Sisi Wasukuma sio wakabila wa ule ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A of the People...
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni ...
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The ...

Jee Magufuli Kweli ni Mkanda, Mdini na Mkabila?.
Hili naomba nilisilijibu ili nisiingilie uhuru wa mahakama, kwa sababu tayari kuna kesi iliyofunguliwa kuhusiana na tuhuma hizi ila nawaomba tuu tusimlaumu Magufuli kutokana na kauli zake.
Kanda ya Ziwa na kuongea kwa ukali: Ukali wa Rais Magufuli ni ...

Conclusion.
Naendelea kusisitiza kwa dhati ya moyo wangu, ukanda, ukabila na udini ni sumu katika taifa letu, katika kupigana na vita hivi, ukweli usemwe, na katika kuusema ukweli huo, haki itendeke, hata kama kuna mnyonge, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni!.

Tanzania ni yetu sote, kila mmoja wetu, ana wajibu wa kuhakisha Tanzania inapa ustawi na maendeleo kwa kujengwa, kulindwa na kustawishwa na sisi Watanzania wenyewe, and it can be done if kila mmoja wetu, will play his part, this is my part
Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni.

Wasalaam.

Paskali
Labda kwa watu ambao hawakupita mashuleni na vyuoni ndiyo unaweza kuwaamisha hayo. Majimbo mawili ya Ilemela na Nyamagana ni matokeo ya ukabila ambao uliwekwa mkakati maalumu ili kuhakikisha "wakuja" hawapati tena ubunge. Isitoshe kila kabila la Tanzania lina ukabila, ni vile tu watu wanashindwa kupata nafasi za ukabila wao kuonekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo wengi tu tena sana, nimesoma Muhimbili nakumbuka alikuwepo Prof Mashalla, Dr Ntongwisangu, Dr Masesa, Prof Masele, Prof Mtabaji huyu alishawahi kuwa Principal wa Muhimbili enzi zile ipo chini ya UDSM na sasa ni CEO wa TCU. Just to mention few.Tatizo nyie wahaya mnapenda kujisifu mno.
Na huko Muhimbili walitengeneza nini?
 
Msukuma kumtetea msukuma mwenzake, katika muktadha wa ukabila ndicho hasa kilichotarajiwa. Mtihani uko kwenye namna ya kuvunja hii laana ya ukabila!
 
Ndomana katika chaguzi zake katika kanda za wasukuma wagombea huwa wa makabila yote
Wahindi warabu wachaga wahaya
Lakini kanda zingine huthubutu kugombea kabila jingine kwa chama chochote hutapita hasa kilimanjaro

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo. Mbunge wa Moshi mjini Jafar Michael ni kabila gani? Mbunge wa Siha (Kilimanjaro pia) Godwin Mollel ni kabila gani?
 
Msukuma kumtetea msukuma mwenzake, katika muktadha wa ukabila ndicho hasa kilichotarajiwa. Mtihani uko kwenye namna ya kuvunja hii laana ya ukabila!
alimpigia kampeni akidhani mwenzie ni mkabila mwenzake, sasa kumbe amepanda baiskeli kuwa kupitia kichwa. hakujua kama sikio limekaa karibu na spoko, baiskeli ilivyoanza kuondoka tu maumivu ndo anayapata.
 
Back
Top Bottom