Tuhuma za ufisadi zinazoibuliwa na wabunge zinaishia wapi??

fiter

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
1,144
78
kwa binafsi yangu siielewi hii nchi ndio maana naamini kua siku vita ikitokea kuna viongozi watachinjwa kama kuku
1..wizi wa zaidi ya bilioni 200 bot kimyaaa saivi
2...wizi wa zaidi ya bilioni 300 ewura kimyaaa saivi
3.wizi wa mabilioni mengne wizara ya biashara na masoko kimyaa
Bado ufisadi mwingne mwingi ambao haujaanikwa
naamini nchi hii walimu na mapolisi wanaweza kulipwa laki nane mshahara bila kutegemea msaada sema WANAOGOPA KULETA MABADILIKO. WOGA WAO NDIO UMASKINI WAO....
 
Inavyoonekana baadae mtu anapewa min kabang anatulia kwani cku zote wanaoibua ishu hizo wapo nje ya chain husika.
Ahsante.
 
Tuhuma nyingi za wabunge ni tuhuma za uongo ili wapate pesa toka kwa wale wanaowatuhumu ni aina fulani ya kutafuta pesa kijanja uhuni mtupu.
 
Back
Top Bottom