Tuhuma za ufisadi zinazodaiwa kumpelekea Dkt. Ryoba kubwaga manyanga

1. Mkurugenzi wa Manunuzi: Nestory Machumbe

2. Mkuu Kitengo Cha Satelite: Karim Chitenda.

au unataka na namba zao na picha kabisa?
Ha ha ha !
Mkuu nimekuvulia kofia kwa hasira yako kwa mafisadi wa ndani 💪💪💪!
Tupe na picha mkuu!
Hii inanikumbusha vijana walioiva wa UVCCM, kama mbwai iwe mbwai!!
 
BAADHI YA TUHUMA ZINAZODAIWA KUMPELEKEA DR. AYUBU RYOBA KUJIUZULU
  • Yeye binafsi hana tuhuma za moja kwa moja, anawajibika kwa matumizi mabaya ya ofisi

Haiwezekani hausiki; kwa sisi tuliosoma fraud vizuri tunajua anahusika: 100%.

1. Alikuwa haoni fedha zikitoka? Kama anaona alikuwa hafuatilii matokeo ya fedha kutoka?

2. Alikuwa naona Hivo vifaa bila training and kufungwa; mkurugenzy hajui? Wala Hakuna Vikao kujadili?

3. Hauju policy na taratibu za office yake? Kabisa hajui; utaratibu wa manunuzi yeye hajui kabisa kabisa?
 
BAADHI YA TUHUMA ZINAZODAIWA KUMPELEKEA DR. AYUBU RYOBA KUJIUZULU
  • Yeye binafsi hana tuhuma za moja kwa moja, anawajibika kwa matumizi mabaya ya ofisi yaliyofanywa na wasaidizi wake.
This is a political hit job. Angekuwa fisadi mngesubiri hadi atangaze kuacha kazi ndo muanze kumchafua?

TBC is a vital installation. Kuna watu wa TISS wamejazana pale. Giving you benefit of doubt, huo "ufisadi" uliwezekanaje under their watch?
 
jibu sahihi ni kuwa alikuwa anawaamini watendaji wake kupita kiasi. kuna taarifa kuwa huyo Mkurugenzi wa Manunuzi yeye ndie alimleta alipoteuliwa.

You do make sense pia, maana kila siku wanafanya manunuzi lakini hakuna ubora katika production yao na vipindi havina mvuto.
 
This is a political hit job. Angekuwa fisadi mngesubiri hadi atangaze kuacha kazi ndo muanze kumchafua?

TBC is a vital installation. Kuna watu wa TISS wamejazana pale. Giving you benefit of doubt, huo "ufisadi" uliwezekanaje under their watch?
Ni eneo gani la serikali ambalo halina vijana wa TISS? Je hakuna ufisadi? watu wanachomoa pesa hadi benki kuu na TISS wamejazana kibao, mbona nilifikiri una akili kuzidi hii comment yako?

Na kwa taarifa yako kilichosababisha aombe kujiudhuru ni kutokana na mwenendo wa uchunguzi unaoenda kuwatia hatiani maana yeye kama msimamizi na pay master wa serikali lazima awajibike kwa uzembe uwe wa kujua au wa kutokujua.
 
Haiwezekani hausiki; kwa sisi tuliosoma fraud vizuri tunajua anahusika: 100%.

1. Alikuwa haoni fedha zikitoka? Kama anaona alikuwa hafuatilii matokeo ya fedha kutoka?

2. Alikuwa naona Hivo vifaa bila training and kufungwa; mkurugenzy hajui? Wala Hakuna Vikao kujadili?

3. Hauju policy na taratibu za office yake? Kabisa hajui; utaratibu wa manunuzi yeye hajui kabisa kabisa?
Hahusiki, muda mwingi alitumia kuandaa vipindi vya kuongelea Mabeberu japo alikuwa anajificha.
 
ni eneo gani la serikali ambalo halina vijana wa TISS? Je hakuna ufisadi? watu wanachomoa pesa hadi benki kuu na TISS wamejazana kibao, mbona nilifikiri una akili kuzidi hii comment yako?

na kwa taarifa yako kilichosababisha aombe kujiudhuru ni kutokana na mwenendo wa uchunguzi unaoenda kuwatia hatiani maana yeye kama msimamizi na pay master wa serikali lazima awajibike kwa uzembe uwe wa kujua au wa kutokujua.
Haaaa mna mambo,
SSIT CCM ni nyepesi kuona ugaidi.
Fedha zinapochotwa wanapongezana.
 
mkuu angalia style ya uandishi wako isiendane na unavyoongea. Watakudaka mapema.
Watanidaka kwa kosa gani mkuu, maana wao wanavuna walichopanda, huyo Mkurugenzi wa manunuzi kakutwa na madudu mengi TAKUKURU, kuna wakati baada ya kumlipa mzabuni mmoja hapo alinunua IST 10 kaziingiza UBER, kakutwa anajenga ghorofa ambalo haliendani na mshahara na kipato chake, toka August kishaitwa TAKUKURU mara 5, hivyo ni mambo yaliyo wazi na yeye anafahamu kuwa muda wa kulipia dhambi zake ni sasa, na nimeweka mifano ya miradi michache, miradi hewa pale sio chini ya 20 na imegharimu mabilioni ya shilingi.
 
BAADHI YA TUHUMA ZINAZODAIWA KUMPELEKEA DR. AYUBU RYOBA KUJIUZULU
  • Yeye binafsi hana tuhuma za moja kwa moja, anawajibika kwa matumizi mabaya ya ofisi yaliyofanywa na wasaidizi wake.

Kipindi cha jiwe hicho. Kweli jiwe alidhibiti ufisadi.
 
BAADHI YA TUHUMA ZINAZODAIWA KUMPELEKEA DR. AYUBU RYOBA KUJIUZULU
  • Yeye binafsi hana tuhuma za moja kwa moja, anawajibika kwa matumizi mabaya ya ofisi yaliyofanywa na wasaidizi wake.
  • Wasaidizi hao kwa uchache ni Mkurugenzi wa Manunuzi na Mkuu wa Sattelite.
Asante saana wafanyakazi wa TBC kwa taarifa hii...inaonekana jamaa aliwabana saana mpaka mmeamua kumwaga radhi....hii ndio tabu ya kufanya kazi vyombo vya habari...siku yakikukuta watu wanamwaga kila kitu hadharani ...hii taarifa inaonekana wazi imeandaliwa na one of the senior Staff wa TBC na sio mfanyakazi wa kawaida...
 
Back
Top Bottom