AbasMzeEgyptian
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 407
- 312
Ninashindwa kuelewa kwa nini maadui wa Dr Dau wameshindwa kujenga hoja kuhusu utendaji wake pale NSSF na wamejikita zaidi kwenye kumtuhumu kuwa ni Mdini
Sasa naomba mwenye ushaidi kuhusu Udini kwenye ajira au vinginevyo auwasilishe hapa tuu chambue
Wakati huo huo mimi ninaweka wazi mashirika mengine ya Umma kisha tutajua wapi kuna udini na wapi hakuna huo udini