TUHUMA ZA RUSHWA BUNGENI: Wabunge Kangi Lugola, Victor Mwambalaswa na Sadiq Murad waburuzwa mahakamani

Wabunge Kangi Lugola, Sadiq Murad na Victor Mwambalaswa wamepandishwa mahakamani Kisutu kwa tuhuma za rushwa.
 
duh mpaka kangi lugola naomba isiwe kweli. inaonekana lengo ni kurudishamahela waliyotumia wakati wa kampeni.....
 
Ndiyo maana madudu yalikuwa hayaishi serikalini kumbe wenye jukumu la kuishauri na kuisimamia serikali ndiyo walikuwa wakiwezesha madudu kufunikwa.
 
Walishapokea au walitaka kupokea hiyo nanlii?

nikishajua hilo ndo nitapata mwanga wa mbele
 
Nawaogopa sana wapiga kelele kama Kangi Lugola. Uzoefu unaonyesha mara nyingi wanapenda kulinda maslahi binafsi kuliko ya wengi
Mwingine zto....sema yeye huwa anakula hela ndefu,..yeye hizi milioni tano...kumi...hapana...yeye kuanzia milioni 100,200 na kuendelea
 
Duh hivi hiyo mishahara yao mbona mikubwa sana inamaana hawaridhiki mpka wawe wadokozi tena duh hii aibu kweli, hata wapiga kura wao hawaamini tena aisee na washughulikiwe ili wawe fundisho kwa wenye tabia mbaya ya rushwa
 
Acha waisome nambaaaaaaeee (walafi hao).............mbunge ni kiongozi na kioo cha jamii. Kioo kikipasuka kinatupwa na kingine kununuliwa hakuna mbadala mwingine. Ikithibitika tu nashauri wavuliwe ubunge ili iwe fundisho.
 
Back
Top Bottom