Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Asante, Tunawatakia kazi njema....Uko sahihi mkuu, subiri kwanza kamati kuu ipate huu ushahidi then nitarudi kwenu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante, Tunawatakia kazi njema....Uko sahihi mkuu, subiri kwanza kamati kuu ipate huu ushahidi then nitarudi kwenu,
Uko sahihi Rev. Mchange ni kijana mdogo sana kwanza kiumri hata kwenye siasa lazima kuna watu wazoefu nyuma yake wamemshawishi afanye hivyo kwa malengo yao, walikuwa wanamshawishi aidha kwa mazuri au mabaya kwa sababu haiingii akilini utumie namba ya simu yako na akaunti moja kusambaza kwa wajumbe, basi angalau angetumia akaunti tofauti au hata ya rafiki zake ndiyo maana nasema kuna watu wamemuingiza mjini kijana still wanamshauri aende takukuru kwenye moto zaidi ili wao tu wafanikishe malengo yao ndani ya Chadema.Habib ameharibiwa na mfumo wa chama cha magamba!
Hizo ni transaction za H Mchange (0658178678) zinaonyesha Cash in , Cash out , Recharge na Transfer naomba mtu anioneshe (connect dots) kuwa kuna Rushwa nasi matumizi ya kawaida ya kila siku..? just curious to know ..kwanini moja kwa moja transaction hizi zinaonekana kama rushwa?
Mkuu hawa ni mamluki na wametumwa hapa kwa kaz maalumu.Hakuna mtu aneyeitwa bache, nahisi wewe ni mwana ccm na unafananisha heche na hussein bashe wa uvccm.
Mara nyingine pamoja na malengo yake mazuri, RIGHT TO PRIVACY inatumika kama kichaka cha maovu na inazuia vyombo vya haki kupata taarifa njema kama hizo. BINAFSI NINAHESHIMU HAKI YA HIFADHI/PRIVACY LAKINI NACHUKIA UHUNI KAMA WA HABIB...!!!
MAMBO YA KUNUNUA UONGOZI WAACHIWE CCM BANAAAA...!!!!
Ni INTELEJENSIA mkuu, polisi si wameshindwa kutumia kuwanasa wakina Rachel, Acha wazalendo tufanye mambo, kama huamini toa namba yako hapa tuone unavyopiga watu mizinga ya vocha kwa ''please recharge me''Duh hivi huu sio ugaidi? iweje umuingilie mtu na kumpekua namna hii kisa nini? na tena unajisifia?
Kunatakiwa kuwekwe kanuni za kutoa hii information. Sio kubandika tu jamvini. Kwa mfano, Chadema wanaweza omba mahakama iruhusu watoe hii information. Kwa hiyo mahakama ndio inapima umuhimu wa privacy vs umuhimu wa public kujua juu ya vitenda vya rushwa. Hii ya mtu binafsi kuamka asubuhi na kuweka anachopenda sio kufuata utawala wa sheria. Fuatilia ishu ya Giggs uingereza!
Hapana hutoonekana kilaza, yani wewe unakuwa na account ya mpesa ktk namba yako kwa hiyo ukitaka kunitumia unamega kiasi cha pesa unatuma ktk namba ya simu yangu, basi nikiipata message ktk simu yangu naenda ktk kibanda cha tigo voda kulingana na mtandao naenda kuvuta pesa. Ni kama on phone banking. Nimeainisha line ya kwanza hapo chini jinsi alivyotumwa na namba gani ya simu ilipokea fedha.
JF imeingiliwa kuna watu wanatumia password za watu ili kuihujumu JF take care.Haya sio maelezo yangu , mbona yamechakachuliwa? nani kaniibia password yangu?
Hawa Mods na JF wanatafuta kuhujumiwa wanapiga ban watu bila sababu za msingi mtu analeta habari yake na evidence juu still unampiga ban wanataka tuendelee kujadili majungu na umbea kuwa 'Nimetembelea jimbo la Slaa na kukuta hakuna maendeleo kule' hizi ndizo thread wanazozitaka shame on you mods and JF admin.Usalama wetu JF ni mdogo sana
Una ona hawa jamaa sijui wameamrishwa na nani wafanye hiki
never
Banned
Never popote ulipo nitakuazima ID nyingine maana ninazo nyingi!!
Haya mambo ya siri za wateja ama chama ama serikali ndo chazo cha ujambazi, nilitegemea jf tunaongea openly tofauti na kule kwenye siri. Wamwache jamaa amwage hizo data, lakini pia yawezekana nae akawa sio mkweli. Njia sahihi ni kumwacha amwage data.
Mbona mikataba ya siri ya serikali huwa tunaisoma humu jf???? Naombeni mnielimishe hapo