Tuhuma za rushwa BAVICHA zipelekwe TAKUKURU - Zitto

Nina swali dogo sina ufahamu wa vipi Mpesa inafanyaje kazi. Mfano REVOCATUS KALENDELO, Hajira Fadhil na Mchange Habib walipokea pesa kutoka wapi ? au walituma pesa wapi? Msaada kwa mistali michache.

Jamani wengi hamjui hii M-pesa na Tigo pesa inavyofanya kazi?
 
Ndugu hizo ni siri za mteja wa tigo hazitakiwi kwa namna yoyote kuwa public na kama tigo wameruhusu kazi hii kufanyika watakuwa wamefanya makosa kwenye mkataba wa siri kati yake na mteja wake ambaye ni habib mchange pia hiyo namba ni ya habib mchange sio ya chadema iko registered kwa mchange nadhani umeelewa ninachomaanisha

Nao tigo wamekuwa wazalendo kaka.
 
Ndugu hizo ni siri za mteja wa tigo hazitakiwi kwa namna yoyote kuwa public na kama tigo wameruhusu kazi hii kufanyika watakuwa wamefanya makosa kwenye mkataba wa siri kati yake na mteja wake ambaye ni habib mchange pia hiyo namba ni ya habib mchange sio ya chadema iko registered kwa mchange nadhani umeelewa ninachomaanisha

Shy,

Is it not worth it to take some people civil libert for greater good? kipi bora kuheshimu customer privacy and then mkapata kiongozi fisadi? au kufanya njia zote za kisheria na za kienyeji kuhakikisha mamluki kama HABIB MCHANGE hawapati nafasi ya dhamana ya uongozi.

Lazima uchague moja, kuheshimu siri za mteja au kuzuia tusipate kiongozi fisadi? chagua moja sasa, naona unatuambia CHADEMA wangeacha tu kwa sababu wana violate siri za mteja wa TIGO

Mtu anapoamua kugombea uongozi wa umma then maisha yake ni open book hakuna cha siri, lazima watu wakuchimbue ili wakujue kuwa wewe unafaa au la
 
Hata Dr. Slaa (PhD) na Wakili Mabere Marando wana barua zimeandikwa SIRI. Wanadunda tu, hao Mkuu Shy hujawahi wasikia?
 
mshauri mchange akawashitaki TIGO and then hapo hapo anaunganishiwa na mashitaka yake ya kutoa rushwa, tena wakili wa TIGO ni mabere Marando au Tundu Lissu
Kampuni haina siri ya mteja wake basi ni kampuni ya kishenzi, lazima awashitaki lasivyo watoe record zote za watumiaji wa tigo. Na hapo ndio wake zenu wajue mliko honga mishahara yenu.
 
Ndugu hizo ni siri za mteja wa tigo hazitakiwi kwa namna yoyote kuwa public na kama tigo wameruhusu kazi hii kufanyika watakuwa wamefanya makosa kwenye mkataba wa siri kati yake na mteja wake ambaye ni habib mchange pia hiyo namba ni ya habib mchange sio ya chadema iko registered kwa mchange nadhani umeelewa ninachomaanisha
Kavue magamba...
 
Kampuni haina siri ya mteja wake basi ni kampuni ya kishenzi, lazima awashitaki lasivyo watoe record zote za watumiaji wa tigo. Na hapo ndio wake zenu wajue mliko honga mishahara yenu.

kampuni ya kishenzi kuliko fisadi HABIBU MCHANGE kaka?

sio lazima TIGO watoe hiyo taarifa siku hizi vijana tunaijua technolojia vyema, kuna ku hack kwenye system za TIGO na kuchukua information unazotaka, mbona watu wana hack benki kuu na kuiba mabilioni ndo ije kuwa TIGO?
 
Teh teh teh
Muombe aliyetuma hizo info, azirudie tena kuzituma ktk file la excel, utazielewa vizuri wala hutohitaji kuuliza.

Hebu nijibu kwenye PM hapa nitaonekana "Kilaza" mtumaji na mpokeaji how does it work?

Thanks
 
Kweli nimekubali taifa hili linawataalamu wengi na wazuri walionje ya mfumo wa serika! Lakini ndani ya serikali kuna majuha na mabambucha,mafilauni,makwangwani na maluhuni!
 
Afadhali nyie mnae danganyika humu kuwa CDM safi sijui vitu gani.... Rushwa sio CCM tuu ni Tanzania... We need another solution.
 
@shy... Na wengine wote wanaopinga kwakuwekwa hadharani ushahidi huu wa tigo_pesa:

CDM ni chama makini chenye wataalamu makini, siyo lazima kwenda tigo, voda au bank yeyote ile kuomba data za mtu, kwakuwa CDM tunaongoza Nchi hatuna haja hiyo sisi ni zaidi ya usalama wa nchi hii kwasasa,

Ukihitajika ushahidi wowote ule wenye maslahi kwa taifa tutautoa hata kama sheria haziruhusu, kumbuka tulishatoka na nyaraka mbalimbali za wakuu wa nchi, tukawaambia kama wanadhani tumewaonea waende mahakamani ila hawakwenda kwakuwa tulikuwa sahihi.

Endeleeni kusubiri tutakuja na nyaraka nyingine nyingi mtasema tunataka kupindua nchi. CDM 4life 4new generation
 
Hawa CDM nao nishaona wakipewa madaraka ndio wale wale. Corruption haiwezi isha Tanzania kwa kubadili serikali pekee. Inabidi yani tuanze kusafisha akili za watoto wadogo sasa hivi ili baadae iwe ngumu kwao kucheza hii michezo ambayo kibongo bongo ni yakilasiku. Napia vile vile inabidi kuimarisha sheria na uwajibishaji wa wale wanaokiuka maadili. CDM ikishindwa kuwashughulikia hao watuhuma wao (kukwangua ngozi..lol) basi nao watakuwa ni magamba ambayo bado hayajakomaa.. Same Ish, different toilet...
 
@shy... Na wengine wote wanaopinga kwakuwekwa hadharani ushahidi huu wa tigo_pesa:

CDM ni chama makini chenye wataalamu makini, siyo lazima kwenda tigo, voda au bank yeyote ile kuomba data za mtu, kwakuwa CDM tunaongoza Nchi hatuna haja hiyo sisi ni zaidi ya usalama wa nchi hii kwasasa,

Ukihitajika ushahidi wowote ule wenye maslahi kwa taifa tutautoa hata kama sheria haziruhusu, kumbuka tulishatoka na nyaraka mbalimbali za wakuu wa nchi, tukawaambia kama wanadhani tumewaonea waende mahakamani ila hawakwenda kwakuwa tulikuwa sahihi.

Endeleeni kusubiri tutakuja na nyaraka nyingine nyingi mtasema tunataka kupindua nchi. CDM 4life 4new generation
I must admit... leo umenifurahisha!!
 
Back
Top Bottom