Tuhuma za rushwa BAVICHA zipelekwe TAKUKURU - Zitto

Haya sasa,Saanane njoo hapa tuone...wewe ni fisadi mtoto.Dikteta mkubwa! rushwa ni adui wa haki,nilisema alikua anajitetea tu
 
Ndugu zangu wana JF,

Kama Chadema wanauwezo na Network ya kuwakamata wotoa na wapokea rushwa tena na ngozi ambayo bado mbichi, Sasa hivi hawana hata nyenzo za vyombo vya dola itakuwaje tukiwapa nchi jamani, wala rushwa na watoa rushwa si wataikimbia nchi.

Tuwape nchi chadema watusafishie jamani, uwezo huo wanao, tena mkubwa, mimi nashindwa kuelewa CCM na serikari yao na vyombo vyote vya dola ikiwemo usalama wa Taifa wanashindwa vipi kuwatia nguvuni na ushahidi watoa na wapokea rushwa?

Jamani tunahitaji uthibitisho gani kujua chadema ndo chama pekee kitachoweza kusafisha uozo wa nchi hii.

Naomba chama kisimkingie kifua Mchange awajibishwe kwa mujibu wa sheria za nchi, hatuwezi kuwalea vijana wadogo wenye evil mind ndani ya chama kama Mchange. Huyu asipokunjwa sasa hivi atasumbua nchi kama RACHEL, ashughulikiwe ipasavyo

Nina swali dogo sina ufahamu wa vipi Mpesa inafanyaje kazi. Mfano REVOCATUS KALENDELO, Hajira Fadhil na Mchange Habib walipokea pesa kutoka wapi ? au walituma pesa wapi? Msaada kwa mistali michache.
 
Never,tnx kwa kuleta ushaidi huu. Nawaomba wote walioleta hapa jamvini vijisababu vya kidini ,kikabila na makundi waombe samahani. Nampongeza dr slaa kwa kukubali kusimamia uchaguzi usiku kucha na kuhukosa usingizi mpaka jumapili. Hongera sana cdm,mnastahili pongezi.
Dikteta Ben Saanane,njoo hapa uombe msamaha...fisadi wewe.Kanusha tuhuma
 
Ndugu zangu wana JF,

Kama Chadema wanauwezo na Network ya kuwakamata wotoa na wapokea rushwa tena na ngozi ambayo bado mbichi, Sasa hivi hawana hata nyenzo za vyombo vya dola itakuwaje tukiwapa nchi jamani, wala rushwa na watoa rushwa si wataikimbia nchi.

Tuwape nchi chadema watusafishie jamani, uwezo huo wanao, tena mkubwa, mimi nashindwa kuelewa CCM na serikari yao na vyombo vyote vya dola ikiwemo usalama wa Taifa wanashindwa vipi kuwatia nguvuni na ushahidi watoa na wapokea rushwa?

Jamani tunahitaji uthibitisho gani kujua chadema ndo chama pekee kitachoweza kusafisha uozo wa nchi hii.

Naomba chama kisimkingie kifua Mchange awajibishwe kwa mujibu wa sheria za nchi, hatuwezi kuwalea vijana wadogo wenye evil mind ndani ya chama kama Mchange. Huyu asipokunjwa sasa hivi atasumbua nchi kama RACHEL, ashughulikiwe ipasavyo

You hvae nailed it, this is a milestone kwenye siasa za Tanzania, mara nyingi watu hufumbia macho haya madudu
 
CDM msiwe wanafiki mwaka jana mlikuwa mnashupalia CCM walipoalila TAKUKURU katika uchaguzi wao wa ndani. Kama mpo safi kwa nini mwaogopa kuialika TAKUKURU au kwa sababu rushwa ilitolewa kama njugu kwa uwezeshaji wa mwenyekiti wa Chama HIVYO mwaona so. Kuweni na UJASIRI pelekeni maombi kwa TAKUKURU ili ukweli ujulikane, ZK mpeni pongezi kwa wazo zuri!

siku izi kumbe TAKUKURU inasubiri mwaliko? Ehe? Kwani cdm wana harusi?
 
Hongera chadema kwa kazi nzuri watu kama hao hatuwahitaji watoa rushwa.
 
Lakini pia ni kosa kutoa taarifa za huduma za fedha kama hizo kwa umma haswa yule ambaye hajaruhusiwa kupata taarifa hizo
 
Hata saanane hawezi kupona katika hili,kwa jinsi navyomfahamu na umafia...huyu lazima awe kinara
 
Tunaomba na watu wa magamba wajifunze kuanzia kwa Jk ataje Lowassa alimchangia shilingi ngapi . Lostam bei gani kwenye kampeni. Na mgao wa Richimond bei gani halafu ndiyotujue kama kweli ccm ina nia ya kujivua magamba. Big up Slaa GO GO MY president.
 
Lakini pia ni kosa kutoa taarifa za huduma za fedha kama hizo kwa umma haswa yule ambaye hajaruhusiwa kupata taarifa hizo

Ndugu yangu Shy,

Tunafahamu kuwa ni kosa lakini the end justify the means, Ni hatari kwa vijana wadogo kama Habibu Mchange kuwa na evil mind na kutaka kutumia shortcut, hapo inabidi tuwe wakali sana na vijana wetu, kwani RACHEL walianza vipi? na leo ndo wanasumbua nchi kila kukicha, Mchange hana sifa ya kuwa CHADEMA bora aende CCM ndo wangeweza kumsitili na aibu hii kama walivyo msitili Mwakalebela!
 
Ndugu hizo ni siri za mteja wa tigo hazitakiwi kwa namna yoyote kuwa public na kama tigo wameruhusu kazi hii kufanyika watakuwa wamefanya makosa kwenye mkataba wa siri kati yake na mteja wake ambaye ni habib mchange pia hiyo namba ni ya habib mchange sio ya chadema iko registered kwa mchange nadhani umeelewa ninachomaanisha
 
CDM wameonyesha njia!! Hata Nyerere alipata kukiri kwamba rushwa ilikuwepo kwenye utawala wake ila la msingi ichukie kwa maneno na matendo!!!
 
Ndugu hizo ni siri za mteja wa tigo hazitakiwi kwa namna yoyote kuwa public na kama tigo wameruhusu kazi hii kufanyika watakuwa wamefanya makosa kwenye mkataba wa siri kati yake na mteja wake ambaye ni habib mchange pia hiyo namba ni ya habib mchange sio ya chadema iko registered kwa mchange nadhani umeelewa ninachomaanisha

Acha usengele nyuma wewe! Suala zima hapa ni rushwa.
 
Back
Top Bottom