Tuhuma za mauaji: Nimehojiwa na Polisi, nimetimiza wajibu wangu

Kwa Kinachoendelea sasa Taifa linapita wakati mgumu na busara isipotumika nadhani tutasambalatika.Kuna uadui na chuki zisizo kifani na chanzo ni huyu ndugu yangu na wanaomtuma. Atokee mmoja tu mwenye Hekima amwambie Msiba tumechoka sana na tunahitaji kujikomboa na anachokiamini na kukitumikia...

Haina haja ya kumwambia..yulr anamalizwa km alivyomalizwa Azory..shenzy kbs..
 
Pole sana hata kwa maelezo mafupi haya yanatosha sana najua wapo masikio wazi na macho kodo kujua utaandika nini ili wajipange tena.

Hakuna kitu cha ajabu kama kutafuta attention kwa watu wakujue mimi sikuwahi kumjua mtu huyo kabla.

Nadhani hata watoto wake wakikukua watajua baba yao uzee wake kaumaliza kwa njaa mbaya sana..
Mkuu, sipendi sana mambo ya UKABILA but kuna wakati hua nashindwa kujizuia; Huo mstari wako wa mwisho kuhusu watoto wa msiba; nimekaa na kufanya kazi na makabila tofauti tofauti, ukweli wajaluo na hilo kabila la msiba wengi wao ni wanafiki, wafitini, wachonganishi na wana roho mbaya sana hata kuua. So hata watoto wake nao watakua hivyo hivyo tu.
 
Kwa watanzania: Watu kama ndugu huyu wapo, tuzikatae kazi zao na wanaowatuma kwa nguvu zote; tusikubali kuletewa migawanyo inayokwepeka. Tuwakemee pale tunapoweza lakini tukibaini kuwa wana nguvu ya ziada, tumwombe Mungu akatende muujiza wake!

Once again, asanteni sana na Mungu asimame nasi katika kuijenga nchi yetu, Tanzania.

Kaka saa zingine naye Mungu tunamchosha..kwa scenario km hii haifai hata kuomba Mungu ...!ni kulinyongelea mbali na kulitupa v7wanja vya gymkhana
 
Pole sana Max. Kinachonishangaza ni huyu Musiba kuachwa anaropoka ropoka hovyo kwa kuwatuhumu watu huku yeye wala hahojiwi.

Polisi walitakiwa wamuhoji huyo Musiba na ikiwezekana gazeti lake lifungiwe kabisa. Huwa anatuhumu watu bila ushahidi kabisa na anaachwa tu.

Musiba ni nani nchi hii ?
Huyu anajiita mwanaharakati huru amabaye anaruhusiwa kuongea lolote na kundika choche anachotaka. yeye mzalendo wa kweli na mweye akili kuliko wengine ''in other words he is above the laws, to write and speak ill of others ''
 
Ndugu wana JF na watanzania kwa ujumla,

Nachukua fursa hii kuwashukuru wote mlioguswa kusikia nimeitwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano baada ya magazeti mawili leo kunihusisha na linalodaiwa kuwa ‘Genge la Watu wanaopanga mikakati ya kumuua Cyprian Musiba”.

Genge hili lilihusisha wanasiasa, taasisi za serikali, watu binafsi (nikiwemo mimi) na hadi viongozi wa Taasisi za Serikali.

Si mara ya kwanza magazeti haya kufanya hivi kwangu na kwa watu wengi (ingawa kwangu imekuwa ikirudiwa kwa angle tofauti tofauti).

Naam, niliitwa saa 3 asubuhi (ingawa habari yenyewe ilitoka siku hiyo hiyo) na nikaambiwa nijitahidi niwe nimefika kabla ya saa 5; nikajitahidi kuitikia wito na kufika mnamo saa 4 na dk 30 asubuhi pale Makao Makuu ya Jeshi la Polisi.

Nikiri, jopo la wachunguzi wa Jeshi la Polisi walioshiriki kwenye mahojiano nami walionyesha weledi katika kazi yao na hivyo kupelekea mimi na mwanasheria wangu kutoa maelezo yaliyohitajika katika sakata hili.

Nilihoji maswali ya msingi juu ya tuhuma ambazo zimekuwa zikitolewa na bwana huyu na nikahoji kinachopelekea mara zote vyombo vya dola kumwacha aendelee kuumiza watu. Aidha, nikiri pia kuwa maswali yote niliyouliza yalijibiwa kwa staha na undani wa mahojiano yetu nachelea kuuweka bayana kwani naweza kuvuruga uchunguzi.

Niseme: Nawashukuruni nyote mlioguswa na kunitafuta kwa njia mbalimbali kunitia moyo au kutaka kujua mnaweza kusaidiaje. Wengine mlijitoa kuwa tayari kwa dhamana kama ingehitajika, kitendo kilichonifariji kuwa watu wanaelewa tunasimamia nini na kwanini tunaendelea kukisimamia.

Kwa watanzania: Watu kama ndugu huyu wapo, tuzikatae kazi zao na wanaowatuma kwa nguvu zote; tusikubali kuletewa migawanyo inayokwepeka. Tuwakemee pale tunapoweza lakini tukibaini kuwa wana nguvu ya ziada, tumwombe Mungu akatende muujiza wake!

Once again, asanteni sana na Mungu asimame nasi katika kuijenga nchi yetu, Tanzania.

Maxence
Pole sana
 
Mkuu, sipendi sana mambo ya UKABILA but kuna wakati hua nashindwa kujizuia; Huo mstari wako wa mwisho kuhusu watoto wa msiba; nimekaa na kufanya kazi na makabila tofauti tofauti, ukweli wajaluo na hilo kabila la msiba wengi wao ni wanafiki, wafitini, wachonganishi na wana roho mbaya sana hata kuua. So hata watoto wake nao watakua hivyo hivyo tu.
Mkuu Wajaluo hasa wa Kenya ni hatari mno..ila naomba unisaidie kabila la Musiba
 
Pole sana kaka.....Haya hayana budi kutokea, waswahili wanasema unonapo giza linazidi ujue kunapambazuka
 
Nilihoji maswali ya msingi juu ya tuhuma ambazo zimekuwa zikitolewa na bwana huyu na nikahoji kinachopelekea mara zote vyombo vya dola kumwacha aendelee kuumiza watu. Aidha, nikiri pia kuwa maswali yote niliyouliza yalijibiwa kwa staha na undani wa mahojiano yetu nachelea kuuweka bayana kwani naweza kuvuruga uchunguzi.
Maxence

Tumekuelewa mkuu, na aidha hata polisi wamemchoka, lakini wafanyeje!!!
 
Ahs
Hili tukio linashangaza sana
Ahsante na pole sana kwa usumbufu ulioupata.Mwishoa wa siku ushindi utapatikana kwa sababu siku zote yupo mmoja tu anayeamua kwa haki.Mtegemee yeye.

Kuna mtoto mmoja anaitwa Yusufu nimesoma habari zake kuwa aliuzwa na ndugu zake utumwani baba yake aliitwa Mzee Yakobo.

Baada ya Yusufu kuuzwa na ndugu zake bila baba yake kujua,walimdanganya baba yao kuwa alikufa.

Yusufu alifungwa gerezani kama mfungwa na mtumwa pia.Kumbe Yusufu alikuwa mcha Mungu na Mungu alimbariki.Akiwa gerezani na wafungwa wengine,akawa anatafsiri ndoto za wafungwa wengine (Kama wewe sasa unavyotafsri mambo yetu yanavyokwenda katka nchi yetu kwa watu wengine).

Siku moja na mfalme wa nchi ile naye akaota ndoto.Ile ndoto ikamsumbua sana, akakosa amani.Akamtafuta mtu wa kutafsri asimpate.Mtumishi wake mmoja akakumbuka alipokuwa gerezani kuna mtu alitafsri ndoto yake ikawa kama alivyotafsiriwa na Yusufu.

Akakimbia kwa mfalme akamwambia "MFALME KUNA MTU MMOJA YUKO AMEFUNGWA KULE GEREZANI,HII KAZI ANAIWEZA".Mfalme akaamuru aitwe mara moja.

Yusufu akaitwa akapelekwa kwa mfalme aliyemtupa gerezani.(Hebu fikiria umefungwa wewe mkuu uko keko,ghafla unaambiwa Nenda haraka unaitwa na mkuu wa nchi.Hapa utajua tu tayari napotezwa).Hata Yusufu alifikiri kama hivi kwa mawazo ya kibinaadamu.

Alipofika kwa mfalme Mungu akampa mfalme ujasiri wa kumweleza mfungwa habari ya ndoto aliyoota.(Mkuu nakutia moyo kwa kuwa unapigania haki ya watanzania wafunguke macho watoke huku,kuna siku wataweka mambo yao mbele yako ili uwasaidie).

Yusufu akatafsri ndoto ya Mfalme na ikawa kama alivyosema.Mfalme alishangaa na kuanzia siku ile Yusufu akateuliwa na mfalme kuwa Waziri Mkuu wa nchi ile.(Nitaendelea).

Ninachotaka kukuambia ni hiki.Umepita katika mapito mengi magumu bado umesimama imara Mungu ana makusudi na wewe.Watakusingizia,watakupaka mauchafu ya kila aina Usiogope shinda ubaya kwa wema tu.Natakukuambia Mti wenye matunda mazuri,matamu yaliyoiva ndio unaopigwa mawe kila sekunde,kila dakika,kila saa,kila siku,kila..........

Nakwambia mwanangu kama wanavyosema vijana wa kisasa watatua kichwani na usoni kwako kukufuta jasho.

Lets wait and we shall see,the time will tell.
God bless JM
 
Kwa kweli inachosha 'Mimi niltegemea kuona kwa kuwa bado imebaki mwaka mmoja tu kipindi cha kampeni ya uchaguzi mkuu kufanyika ' Basi matendo yao na maneno yangekuwa ya busara - lakini wapi

Hii hali wanayo ijenga sasa ni rahisi Kuja kuibua hasira za wapiga kura mwakani na hatimae nchi inaweza kuwa haikaliki kama jinsi ambavyo halishikiki bakuli la chuma lenye uji wa moto
Kwa Kinachoendelea sasa Taifa linapita wakati mgumu na busara isipotumika nadhani tutasambalatika.Kuna uadui na chuki zisizo kifani na chanzo ni huyu ndugu yangu na wanaomtuma. Atokee mmoja tu mwenye Hekima amwambie Msiba tumechoka sana na tunahitaji kujikomboa na anachokiamini na kukitumikia...
 
Ndugu wana JF na watanzania kwa ujumla,
Nachukua fursa hii kuwashukuru wote mlioguswa kusikia nimeitwa na Jeshi la Polisi kwa mahojiano baada ya magazeti mawili leo kunihusisha na linalodaiwa kuwa ‘Genge la Watu wanaopanga mikakati ya kumuua Cyprian Musiba”.
Genge hili lilihusisha wanasiasa, taasisi za serikali, watu binafsi (nikiwemo mimi) na hadi viongozi wa Taasisi za Serikali.
Si mara ya kwanza magazeti haya kufanya hivi kwangu na kwa watu wengi (ingawa kwangu imekuwa ikirudiwa kwa angle tofauti tofauti).
Naam, niliitwa saa 3 asubuhi (ingawa habari yenyewe ilitoka siku hiyo hiyo) na nikaambiwa nijitahidi niwe nimefika kabla ya saa 5; nikajitahidi kuitikia wito na kufika mnamo saa 4 na dk 30 asubuhi pale Makao Makuu ya Jeshi la Polisi.
Nikiri, jopo la wachunguzi wa Jeshi la Polisi walioshiriki kwenye mahojiano nami walionyesha weledi katika kazi yao na hivyo kupelekea mimi na mwanasheria wangu kutoa maelezo yaliyohitajika katika sakata hili.
Nilihoji maswali ya msingi juu ya tuhuma ambazo zimekuwa zikitolewa na bwana huyu na nikahoji kinachopelekea mara zote vyombo vya dola kumwacha aendelee kuumiza watu. Aidha, nikiri pia kuwa maswali yote niliyouliza yalijibiwa kwa staha na undani wa mahojiano yetu nachelea kuuweka bayana kwani naweza kuvuruga uchunguzi.
Niseme: Nawashukuruni nyote mlioguswa na kunitafuta kwa njia mbalimbali kunitia moyo au kutaka kujua mnaweza kusaidiaje. Wengine mlijitoa kuwa tayari kwa dhamana kama ingehitajika, kitendo kilichonifariji kuwa watu wanaelewa tunasimamia nini na kwanini tunaendelea kukisimamia.
Kwa watanzania: Watu kama ndugu huyu wapo, tuzikatae kazi zao na wanaowatuma kwa nguvu zote; tusikubali kuletewa migawanyo inayokwepeka. Tuwakemee pale tunapoweza lakini tukibaini kuwa wana nguvu ya ziada, tumwombe Mungu akatende muujiza wake!
Once again, asanteni sana na Mungu asimame nasi katika kuijenga nchi yetu, Tanzania.
Maxence
Pole Max,
Napenda kukutaarifu kuwa huo ndiyo UHURU USIOKUWA NA MIPAKA.Tuyaishi maeneno yetu. Hakuna habari isiyoumiza upande fulani. Hata Humu JF jua kuwa kuna watu wanaumia kama ulivyoumia kwa taarifa za kweli au za uongo zinazochapishwa hapa. TUVUMILIANE na Siyo TUVUMILIWE tu.
 
Hongera sana kwa ujasirri. Nadhani ni Mungu tu ndie Atalitegemeza taifa letu na kuliweka imara ktk mapito haya. Tuombe sana kwani tunapita katika kipindi kigumu mno

Ukisema tunapita katika kipindi kigumu haueleweki maana kichaka sasa hivi utaambiwa huoni miradi ya maendeleo?
 
379 Reactions
Reply
Back
Top Bottom