Tuhuma za Askofu Josephat Mwingira zimehanikiza umuhimu wa kuundwa haraka kwa Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Taifa...

Bila ya Askofu Mwingira kuungwa mkono kikamilifu na vyama vya siasa, madhehebu zingine, wanaharakati na wapenda haki uliyoandika yatawakuta JF

Aungwe mkono baba askofu Mwingira:

View attachment 2060243
brazaj watu hawajui kuwa hii ishu is purely spiritual...

1. Kwanza, haya yalikuwa ni mahubiri kanisani, ndani ya kanisa ktk ibada takatifu...

2. Yote yaliyosemwa ndani ya kanisa na ktk ibada ni katika context ya maandiko NENO - BIBLIA na uhusiano wa Mungu Yehova na watoto wake. Sina hakika kama kuna mahali ktk mahubiri yake (utanisahihisha kama nimekosea), Askofu Mwingira kamtaja kiongozi yeyote kwa jina lake..

Mimi naweza kusema bila shaka yoyote kuwa, mahubiri yale yalikuwa very successful maana NENO HUCHOMA na KUGUSA. Sasa Neno limewachoma na kuwakurupua huko, maana yake linawahusu wao hilo...

3. Kama serikali wanataka kuanza kuingia ktk madhabahu za nyumba za ibada za imani za watu, hilo ni KOSA KUU. Waonywe na wasipoonyeka, wataangamia hakika...

4. Hapa kuna silaha za ROHO na silaha za MWILINI zinapambana. Mungu wa KWELI YEHOVA, Mungu wa Eliya vs Mungu wa Mabaali. Nani atashinda?
 
Mmesha anza kutia hurumae, mtakuja na matafsiri lukuki ambayo hata hayahusiani na alichokisema.
 
Bila kuumgana kuwakemea miungu watu hawa hata kwa matamko tu, tutegemee kuona mengi.

CHADEMA, tunayo ya kujifunza kwa Askofu Tutu

Ninapata ukakasi na kigugumizi cha wapigania haki kwenye hili.

Cc: denooJ
 
Mmesha anza kutia hurumae, mtakuja na matafsiri lukuki ambayo hata hayahusiani na alichokisema.
Wewe tatizo ni dogo sana, UJINGA....

Yaani utakuwa HUJUI tu lakini HUJUI kuwa HAUJUI....

Unastahili kuelimishwa...

Soma main thread yangu yote, utaelewa...!
 
Hii kesi sijui iliishaje
Ulitegemea iisheje ndugu..?

UKWELI siku zote HUSIMAMA na KUJITETEA wenyewe....

Askofu Mwingira spoke the TRUTH...

Ukijaribu kubishana na ukweli, abishanaye nao huo ukweli, yeye ndiye hu - surrender...

Sawa na kesi ya Freeman Mbowe. Unamshitaki mtu kwa uongo halafu utegemee uwe salama...?

It's absolutely impossible....!!
 
Ahsante sana mkuu
 
Back
Top Bottom