Tuhuma: Wizi wa Kura wakati wa uchaguzi

bendaki

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
954
250
Sasa hili la wizi wa kura nyakati wa chaguzi mbali mbali naona ni kweli. Kama sio kweli mbona hakuna maelezo yakuzikana tuhuma hizo? Pamoja na ujasiri wa Nape na Kinana kujua kusema hawajatoka hata mara moja kuzungumzia janjajanja zinazofanyika wakati wa chaguzi. Ikoje hii?
 

Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195
Pamoja na kuamini kuwa ili uwe mwanaCCM ni lazima akili zako zisiwe sawasawa, kutokana na utakavyotakiwa kukana hata vinavyooneka kuwa siyo, au kulingana na utakavyotakiwa kujifanya unajali wakati ni unafiki tu, lakini kuna aina nyingine ya owongo hata shetani hawezi kuutetea. Huo ni kama huo wa kusema CCM haiibi kura! Kuongea uwongo huo kwa kukanusha ukweli dhahiri kwa kiwango hicho ni kazi ambayo hata maiti haiwezi.....kazi hiyo inaweza kufanywa na mizoga.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom