toby ziegler
Senior Member
- Aug 20, 2011
- 105
- 57
OK. Angalau Mzungu Lisa Pile amekanusha kuelewa "hata neno moja la Kiswahili". Vinginevyo, hata maana halisi ya "flashy suits" nayo vilevile inaleta utata. Suti hiyohiyo ya Savile Row akivaa Prince Charles na Prince Harry, no problemo. Lakini akivaa JK au Chiluba (RIP), inakuwa mucho problemo; wakati ukweli ni kwamba wafadhali wa suti hizi za bei mbaya ni walipa kodi iwe UK, Zambia au Tanzania.
Sijakuelewa.
Wapi hukunielewa?
Haya CHADEMA tafuteni unafiki mwingine sasa, mwarabu amewapakata nyie sasa.
Kwani hizi habari zimeletwa na Chadema au wikileaks. Au siku hizi wikileaks ni Chadema? Na wewe katafute obsession nyingine.Haya CHADEMA tafuteni unafiki mwingine sasa, mwarabu amewapakata nyie sasa.
ni watu wenye akili za kibangi bangi ndio wanaofanya hii habari kuwa dili, yani hii stori ya suti ndio mnaoitumia kutafuta umaarufu. kweli mlishafilisika ki mawazo.Kwani hizi habari zimeletwa na Chadema au wikileaks. Au siku hizi wikileaks ni Chadema? Na wewe katafute obsession nyingine.
Labda slaa na yeye aende chumbani kwa huyo mwarabu, labda atapata zawadi