Tuhuma nzito za ufisadi na rushwa ambazo zinawaandama makada maarufu wa CCM

gayo

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
238
93
1. Ufisadi wa EPA
2. Utoroshwaji wa wanyama pori nje ya nchi
3. Mabilioni yaliyofichwa nje ya nchi
4. Kashfa ya Richmond
5. Kashfa ya Meremeta
6. Rushwa kwenye uchaguzi

Endelea kutupia vitu hapa

Pia kama katibu wao wa itikadi na uenezaji wa pumba yupo tafadhali aje hapa atuelezee hatua walizochukua dhidi ya baadhi ya hizi kashfa



Mlipa Kodi!
 
Thubutu! hana jeuri hiyo! anaishi ndani ya choo kinachonuka hasikii harufu mbaya
 
Back
Top Bottom