Tuhuma nzito za ufisadi na rushwa ambazo zinawaandama makada maarufu wa CCM


G

gayo

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Messages
243
Points
195
G

gayo

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2011
243 195
1. Ufisadi wa EPA
2. Utoroshwaji wa wanyama pori nje ya nchi
3. Mabilioni yaliyofichwa nje ya nchi
4. Kashfa ya Richmond
5. Kashfa ya Meremeta
6. Rushwa kwenye uchaguzi

Endelea kutupia vitu hapa

Pia kama katibu wao wa itikadi na uenezaji wa pumba yupo tafadhali aje hapa atuelezee hatua walizochukua dhidi ya baadhi ya hizi kashfaMlipa Kodi!
 
A

afwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Messages
4,086
Points
1,250
A

afwe

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2010
4,086 1,250
Thubutu! hana jeuri hiyo! anaishi ndani ya choo kinachonuka hasikii harufu mbaya
 

Forum statistics

Threads 1,283,771
Members 493,810
Posts 30,800,306
Top