Tuhuma za ufisadi Azerbeijan: Rais amnunulia Mtoto wake wa umri wa miaka 11 nyumba yenye thamani ya Pauni milioni 33 London

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,204
4,694
Taarifa kwa mujibu wa BBC

Other documents show how Azerbeijan's ruling Aliyev family have secretly acquired UK property using offshore companies.

The files show how the family - long accused of corruption in the central Asian nation - bought 17 properties, including a £33m office block in London for the president's 11-year-old son Heyder Aliyev.

The building in Mayfair was bought by a front company owned by a family friend of President Ilham in 2009.
 
Hizi pesa zaja kuwatokea puani.

Si ajabu vifaa muhimu kwenye ofisi za umma havipo ye ananunulia mtoto ambae hata balehe bado nyumba ya anasa kwa pesa nyingi hivyo.
 
Dictators wengi wamenunua majumba na wazungu wanajali hela zao tu.

Jengo alilonunua Mugabe mpaka leo lipo na hakuna anaeishi limechaka vibaya kwa miaka zaidi ya 30

Siwezi kushangaa na huyo mtoto akashindwa kuja kuimiliki hii nyumba pindi baba yake atakapoanguka na utawala wake au kufa na wengine kushika nchi na kuwafunga au kuwanyang’anya kila kitu

Yaani dictators wengi wamejidanganya na kuweka hela zao nje ila mwisho wa siku mambo hubadilika
 
Hiyo nchi ilikuwa ni ya kijamaa ndani ya USSR.

Sifa za viongozi wa nchi za kijamaa zinajulikana kabisa, ikiwemo kujali matumbo yao.

Bepari yeye anang'ata na kupuliza, ila mjamaa yeye anang'ata na kunyofoa kabisa, hata ukidhoofu na kufa, yeye hajali kitu!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Dictators wengi wamenunua majumba na wazungu wanajali hela zao tu.

Jengo alilonunua Mugabe mpaka leo lipo na hakuna anaeishi limechaka vibaya kwa miaka zaidi ya 30

Siwezi kushangaa na huyo mtoto akashindwa kuja kuimiliki hii nyumba pindi baba yake atakapoanguka na utawala wake au kufa na wengine kushika nchi na kuwafunga au kuwanyang’anya kila kitu

Yaani dictators wengi wamejidanganya na kuweka hela zao nje ila mwisho wa siku mambo hubadilika
Kwanini haikaliwi iyo nyumba ya mugabe
 
Kwanini haikaliwi iyo nyumba ya mugabe

Hamilton Palace ilianza kujengwa mwaka 1985 na Rafiki yake wa karibu wa Mugabe, Nicholas Van Hoogstaten
Ni jengo lililogharimu $40m wakati huo na alikuwa anaendelea kujenga ila akaanza kukosana na wahandisi na mwisho kuwatimua wote

Kisa wakazi na majirani wa eneo hilo walianza kulalamika kuwa halina faida kwao na limeanza kuchakaa na hakuna anaeishi humo

Huyo mzungu alilitelekeza pia na kurudi zake Zimbabwe maana alikuwa na mashamba makubwa na manyumba huko

Mpaka sasa limekuwa pagala na hakuna wa kuja kuishi wala kuliendeleza

Yaani mzee alichezea hela na kuiacha nchi yake masikini wa kutupwa

Wakifa ndio siri zinatoka

IMG_3463.jpg

IMG_3465.jpg
 
Na halijaisha sijui kwanini hakulimaliza

Yule mzungu aligombana na majirani na akasema atawapa homeless wawe wanaishi hapo

Kumbuka homeless wapo wa kila aina na walevi, wahuni, bangi, unga kila kitu

Mwishowe anaachana nalo

Mugabe alikuwa ana worth $1.7b assets zake na cash kibao

Kwa hiyo sidhani hata kama aliitamani hiyo nyumba

Na ukiangalia aliiba sana akiba ya almasi za Taifa na yeye alikuwa na kampuni yake binafsi ya Almasi

Na nyumba zake zipo kila sehemu na aliokuwa anaishi ile ya Harare Ina thamani ya £7.5m

Ilijengwa na Waserbia

Tiles za juu za Blue zilikuwa Imported kutoka china

Hivi lile almasi kubwa kabisa lililonunuluwa na serikali yetu tukufu chini ya jemedari mzalendo bado lipo nauliza tu
 
Ilo swali hapo chini ni gumu mno.
 
Shida siyo kununua nyumba ila kununua nyumba kwa pesa za wizi.
Unaongoza taasis inayomilik matilion ya shiling na kamshahara unajilipa hata million kum hazifik sasa kuna ubaya gani kuchukua hata b5 ukajiweka sawa kifikra
 
Kwa mijumba kama iyo kuifanyia maintenance ni bei ghali heri ujenge ingine
 
Back
Top Bottom