TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

Status
Not open for further replies.
Mi nawaambia nyie CDM wa JF kila kukicha ombeni mungu amani iendelee kuwepo. Siku ikitoweka kwa muda wa wiki moja ndio mtajua nini maana ya wanaccm.
 
Gaddafi alishindwa kwa sababu Walibya walisaidiwa na magharibi, je sisi pia tutasaidiwa?
Hapana hata tusiposaidiwa, uongozi wa Kikwete sio tishio ukaweza kusimama km ilivyokuwa nguvu ya Kaddafi, sisi tu tutamaliza kazi.

Ni kweli usemacho mkuu,ila nilichokua najaribu kumaanisha ni kua Ghaddafi wananchi wake walimchoka,na uoga wao juu yake ukaisha,ndio wakaona potelea mbali,lazima aondoke!Ghaddaf ni mmoja wa viongozi aliyekua akiogopwa sana na watu wake,na aliamini hakuna ambae angethubutu kunyanyua pua kumpinga,na hata jeshi lilipokuja kumgeuka naona alikua bado haamini kua wangemg'oa!mwisho wa siku ndio vile!Sidhani kama kwa Tanzania tutafikia huko,kwa kua C.c.m watang'oka madarakani kwa njia ya box tu!
 
Ili mbegu imee inahitajika Ife, ifukiwe ardhini ioze na ndipo mmea uchipue vivyohivyo kwa ukombozi lazima damu za wachache wanaongoza ukombozi zimwagike iwe ni kwa vifo,mateso au kitu chochote kile. Kwa hiyo Hao wanaowindwa wasianze kutapatapa they are the chosen one kwa ukombozi wa Taifa hili, na jamii yetu itawakumbuka milele "Usimwogope mwanadamu anaeweza kuua mwili Bali mwogopeni Mungu anaewza kuangamiza mwili na roho" ALUTA CONTINUA, tunazaliwa siku moja na kufa siku moja fear not. Especially kwa Lema chaliii angu usiwire bumps wala usianye boya yeyote Simba wa kuchora hang'ati
THE GRAIN OF WHEAT by Ngugi wa Thion'go, someni hiki kitabu, mtaelewa
 
Hii kuichangia inataka ule kwanza ushibe. Ulale kidogo, ukiamka upashe konyagi kidogo ndo uanze kuchangia. Sio uchangie upo kwenye foleni za magari jijini.
 
Ujui kwa sababu yakauliyake ya dhaifu ,hata wakimuuwa ukweli auta futika
 
"NASIKITISHWA na jambo moja. Tumefika hapa kutokana na udhaifu wa Rais Kikwete, uzembe wa bunge na wabunge; na tumefika hapa kutokana na upuuzi wa CCM. Nasema hivi, nina uhakika…" John Mnyika, Mb. (CHADEMA, Ubungo)

Kauli hii ndo inatakakum-cost MNYIKA
 
There are currently 211 users browsing this thread. (89 members and 122 guests)

JF haina Jumapili. Nimemona na Mzee wa ajastabo spana na bisibisi. Watching!
 
TISS imechafuka kweli kweli...haya mambo yanatoa taswira hasi zidi ya institution hiyo nyeti na muhimu ustawi wa Taifa. Sijui tunakwenda wapi!

ukiona siasa zimeanza kuingia kwenue taasisi nyeti kama mahakama, jeshi, polisi, usalama wa taifa nchi hiyo ipo kwenye hatua za mwisho za kuanguka! wait and see!!
 
Tiss hawana jukwaa la kujitetea kama alivyo kwa polisi ndio maana wamekuwa kama shamba la bibi kila mtu kuwatuhumu
 
jibu ni rahisi sana..baada ya kuitwa kuwa ni dhaifu anaanza kutesa watu huku akiwa hajui kwa nini kaitwa vile
 
Habari hii kama ni ya kweli basi Tanzania yenye amani haipo tena, na wala ule wimbo usiimbwe tena. Itabidi sote tuingie mitaani kama ilivyokuwa Libya na sasa Syria. Tutakufa wengi lakini watawala hawatakuwa na nafasi ya kufurahi kwa kutuonea; bada;la yake wataishia pabaya. Mnyika atakuwa anatafutwa kwa sababu DHAIFU?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom