TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

Status
Not open for further replies.
nashukuru CDM wameamua kuweka wazi pamoja na kutaja majina lolote likitoke basi tunajua nani anahusika. Hivi wewe JK unadhani baada ya kumaliza huu uraisi utakwenda kuishi sayari ya mars? Hivi mnakumbuka yule mflame wa uingereza aliyefanya mambo kama haya akisema yeye hakuna wa kumfungulia mashitaka na kwanza hivi nguvu anapata wapi, leo yuko wapi tena aliuawa kwa kuchinjwa kama kuku.
haya mambo yana mwisho wake,mda utafika hata hizo siku zao chache za kubaki madarakani wataona nyingi,cha kushangaza vyombo vya usalama vimeacha wajibu wao na kutimiza matakwa ya chama tawala
 
Asante Tumaini Makene, hii inadhihirisha ukweli kuwa Kikwete ni kiongozi wa genge la wauaji, tukianzia na yule Prof. aliyeuawa kimafia baada ya kusema amemwona Balali Marekani, kisha Dr. Ulimboka. ......silly season on the move.........
 
Last edited by a moderator:
Du!, kumbe habari ndio hii!. haya ebu anzeni kum-ulimboka Mnyika ili muone wananchi watakavyo zaa na Mhe. dhaifu.
 
Serikali hii ni kama ya Syria. In actual fact ccm & JK wanaunga mkono utawala wa Assad, so it's possibly logical they can take a leaf or two from that tyrant.

We gotta be vigillant and ready.
 
Wewe si ndiye uliyeleta habari za Simbachawene kukatwa mapanga? kwi kwi kwi teh teh teh!

Mnajitafutia umaarufu kwa njia chafu? kawauweni wenyewe mseme Serikali, mnataka kujiosha kisa cha Ulimboka?

Chamwene alikula mzigo wa my wife wa askari. hiyo ipo wazi wala usitake kuirudisha tena hapa. Mtafute owner wa Aqua Motel (ambaye pia ni owner wa Stanley Motel Singida) ndugu Malya aka Hali ngumu akupe full mkanda!
subiri mtoa uzi huu alete habari kamili kama alivyoahidi. Usianze kumnanga kabla
 
Madaraka ni maisha na ni matamu. Magamba wako tayari kufanya chochote ili kuhakikisha hawapokonywi kitumbua mdomoni. Hili Watanzania lazima tulitambue baada ya kulitambua tujue kuna gharama ambayo lazima tuilipe (the cost of freedom from monsters and blood suckers).
 
Inashangaza humu JF, badala ya watu kujadili namna ya kujikinga mnajandaa kwa kupokea vifo vya viongozi wenu! Hii ni ajabu. Fikirieni namna gani ya kujikinga. Mashambulizi pia ni njia mojawapo ya kujikinga. Lakini pia kwa shuja huenda kilio lakini kwa mwoga huenda kicheko. Hata hivyo kila mmoja kati ya mwoga na shujaa ana afadhali yake. Mwoga aweza akapigana tena kesho kwa mbinu nyingine si lazima ana kwa ana. Jambo hili kama kuna ushahidi twaweza kulipeleka UN au la washukiwa kuwemo kwenye orodha ya targets wakimbilie nje ya nchi
Tusingoje yawapate halafu tuanze kulalamika, litakuwa dua la kuku kifaranga kimeshaliwa.
 
"You are rats" haya yalikuwa maneno ya kifedhuli ya Gadaffi, juilize yuko wapi leo hii. Naona JK anajisafishia njia ya kwenda kwa Ocampo , The Heague.
hatafika hata huko -IED.... atapasuka kama pop corn.
 
Wewe si ndiye uliyeleta habari za Simbachawene kukatwa mapanga? kwi kwi kwi teh teh teh!

Mnajitafutia umaarufu kwa njia chafu? kawauweni wenyewe mseme Serikali, mnataka kujiosha kisa cha Ulimboka?

Mkuu Zomba,
Samahani sana, Hivi wewe ni Mke au mume? Nikijua hilo nitakuwa nachangia hoja zako kwa uzito stahiki.
 
Tunashukuru kwa taarifa Tumaini Makene! Jirani kwangu kuna nyumba anaishi jamaa wa Usalama wa Taifa ngoja nifanye mpango tuichome moto nyumba yake! Wafanye wanavyotaka lakini wajue kwamba tupo tayari kuigueza nchi isitawalike na kuitumbukiza kwenye mauaji ya halaiki kama watataka!

Hatuogopi risasi za moto kutua vifuani mwetu lakini waje kwamba kifo cha kiongozi mmoja wa CDM kitazalisha vifo vya mamia ya vizazi na ndugu wa watawala!

TUMBIRI (PhD - University of HULL)
. Red, Mkuu hio PhD yako ni ya Online au??, najaribu kufananisha ulichoandika ktk post yako na PhD!!!. Ukizingatia hio taarifa kamili ya kilichozungumzwa ktk hio press conference hujakipata...
 
Last edited by a moderator:
Habari za kuaminika kutoka Makao Makuu ya CHADEMA zinadai chama hicho kimefanya Mkutano na Waandishi wa habari kuelezea tishio la kuuliwa kwa viongozi wake wakuu!! Nadhani mambo ya Liwalo na Liwe yanaendelea
 
Hii ni hatari sana ,ila kila lenye mwanzo halikosi mwisho.Mwisho wa mambo mengine ni mbaya sana -Tumeona Libya,Egypty na Iraq.
 
niombeeni nifike salama nitawajulisha juu ya hii taarifa kwa undani na nitaeleza hapa hapa jf ...kuna umwagaji damu mkubwa unakuja...ni kundi la vijana 6 wamerejea kutoka bulgaria walikokuwa wamepelekwa kwenye mafunzo ..wenye kufatilia post zangu niliwahi kulisema hili mda flan japo kwa kifupi sana...ila haki itatawala
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom