Tuhuma Nzito: Kigogo Na Mwanaharakati Adhulumu Kiwanja Cha Makaburi!

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
WanaJF.

Mjisomee Wenyewe

Waziri Lukuvi, Waziri Lugola Na Takukuru hili linawahusu.
Screenshot_20191110-081654.jpeg
 
Hizi tuhuma badala ya kupelekwa wizara ya Ardhi ziimeletwa huku tena na mtu mmoja!!
Kifupi makaburi sio ya mtu mmoja ni kwa ajili ya watu wote sasa kama mtu kafukua makaburi na kujenga nyumba tena ni huyu "Shangazi" anaewindwa aingie kwenye 18 zao afu aachiwe hivi hivi!!

Nna mashaka sana na hii taarifa!
 
Kwa znz inawezekana sana tena!
Hati mmiliki za maeneo hata ya wazi kama Forodhani na haya lile jengo la ccm kisiwandui ni zao!
Mzee Karume...mwenyewe alifanya hayo..hawawezi kuwagusa wale..
Wame ishika ccm pabaya!
Kuna vimbwanga vingi vinafanywa lakini watu kimya!
 
Kwahiyo amejenga juu ya makaburi

Ndio maana akili zimeanza kumruka huyo mseja
Kila anae wakosea nyinyi kwenu hua adui huyo hamusubutu hata kumgusa kama kweli mwaweza jaribuni mungano usipo vunjika vichogo mukabaki kuuza dawa ya mbuu kunguni viroboto mende
 
Mbweni mpigaji mkubwa wa viwanja na maeneo ya watu ni diwani wa eneo hilo Bwana Mbonde. Kaanza kuuza viwanja vyake kavimaliza akawa anaviuza mara mbili kwa watu tofauti! Watu wakienda kulalamika anakingiwa kifua na Manispaa ya Kinondoni idara ya ardhi pamoja na askari polisi ambao anashirikiana nao kwenye jinai hiyo

Akarukia kuuza eneo la Waislam la kujenga msikiti na makaburi yao! Kapima viwanja kisha katumia ujanja wa kuwagaia viwanja eneo hilo RCs Makonda na Ally Hapi ikiwa kama rushwa kuwaziba mdomo ili watu wakilalamika wasiweze kufanya lolote

Kuna eneo la wazi Block B Mbweni Malindi kaliuza kimyakimya na watu walikuja kushtuka wakati Waziri Lukuvi alipotangaza kuyarudisha serikalini maeneo ambayo hayajaendelezwa na wakatokea hao wanunuzi na kuzunguusha fensi ya ukuta!

Anayafanya yote hayo kwa kushirikiana na Idara ya Ardhi Kinondoni ambapo ana mtandao wa madiwani wenzake na maafisa ardhi ambao hubadilisha master plan na matumizi ya ardhi husika kifisadi
 
Hizi tuhuma badala ya kupelekwa wizara ya Ardhi ziimeletwa huku tena na mtu mmoja!!
Kifupi makaburi sio ya mtu mmoja ni kwa ajili ya watu wote sasa kama mtu kafukua makaburi na kujenga nyumba tena ni huyu "Shangazi" anaewindwa aingie kwenye 18 zao afu aachiwe hivi hivi!!

Nna mashaka sana na hii taarifa!

Hivi Mara ngapi tuhuma Ziwe za kijinga au kweli huletwa hapa hasa kuhusu CCM au viongozi lakini hamsubiri Ukweli na mnashambulia tu. So why Hili. Si ndo “ uhuru wa habari”
 
Asante kwa taarifaa..
Mwakilishi wa mchambawima jiandae..

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
 
Back
Top Bottom