Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

Status
Not open for further replies.
zzk ni takataka ndsni ya nchi hii na anaweza leta vita na madoadoa yke.....
 
mkono amekana madai ya tobo lissu,lakini hajakana madai ya zitto kuhusu mbowe kupewa mamilioni,wanachadema bado hamuelewi???? pili,inaonyesha namna gani gongo ilivyo mbaya kwa ustawi wa taifa letu hasa baada ya kuwafanya viongozi wakuu wa chadema kuwa mabingwa wa kuropoka,uwongo na uzandiki,

ndio maana Rais J.M.KIKWETE alimuita huyu tobo muongo,mfitini,na mzandiki.....huo ndio msimamo wangu kuanzia sasa kuhusu tobo..

We we boya acha umbumbumbu wako Kikwete anamhofu Tl kumbuka kauli Jk nanukuu "bora upinzani uingie ikulu kuliko Tl aingie bungeni" hapa inaonyesha jinsi gani mheshimiwa kikwete anamhofia Tindu A Lissu
 
Hivi ni nani ambaye amesema Zitto anamiliki ka saloon na ka gari gani sijui... Wakati yeye ana Landcruiser na Nissan Patrol na Hummer na... Hummer atakuwa aliuza sijui...
 
Tamko rasmi la mzee mkono linasema kuwa hajawahi kumpa zitto gari kama ilivyosemwa ktk kikao cha juzi.

Kwa taarifa zaidi soma hapa:

Tamko kweye Karatasi hilo feki halina sahihi wala muhuri ndio maana wameshindwa kuwa na statment moja
 
Kama ni kichwa alitakiwa kujua mwanasheria kichwa hatoi tuhuma bila ya kuwa na vithibitisho vya kuweza ku back up tuhuma.

Kama hana vithibitisho anategemea kauli za watu, si kichwa wala nini, mnamkuza tu.

Aah,Mbona viambatanisho anavyo!muulize mkeo/mumeo atakuonyesha tu.
 
Wanajamvi,

Mambo yamewekwa wazi:

Mh Mkono katoa tamko kuhusu tuhuma za Zito. Kasema hajawahi kumpa Mbowe hata senti tano. Amekiri kwamba Zito ana magari 2 'aliyonunua' kwake.


Rostam Aziz


"Miaka miwili iliyopita nilitangaza kujitoa katika masuala ya Siasa za ushindani ambazo kwa mtazamo wangu zilishafikia kiwango cha kuitwa Siasa uchwara. Sioni kama itakuwa busara kwangu kuniingiza katika malumbano mapya tena Siku zote nimekuwa kimya Kila jina langu linapotajwa kwa namna. Na kwa njia tofauti katika vyombo vya habari. Naona ni busara kwangu nikiendeleza hekima Hiyo ya kukaa kimya na kuacha Ukweli ukinitetea"

Chanzo Tanzania Daima
Acha uhuni wa kupotosha tumesoma tamko la mkono usipende kila kitu kupotosha.
 
ccm is "a sleeping giant" kuiangusha kwahitaji patience na ridhaa kutoka kwa wananchi kadhalika kwahitaji ukomavu wa kisiasa,yanayotokea ndani ya chadema yanadhihirisha bado mu wachanga ktk hii medani, ccm; kwa miongo kadhaa wamekuwa wakiwasomesha uongozi wa kisiasa wanachama wake pale kivukoni na nje ya nchi, sasa ndugu zangu wa chadema mtu kamaliza "digilii" yake ya sheria wengine sijui walisomea nini, tena walifaulu kwa kutizamia majawabu, mnaanza kutukana wakubwa! hamna adabu kabisa, halafu mnataka uongozi wa nchi. mtauweza au mnataka kutuzuga mtufelishe, chadema jipangeni anzeni upya acheni ngenga........!
CCM ndio safari washa shindwa kwa kumtumia Zitto walidhani watashinda sasa yanawatokea puani
 
Breaking news;shekh ponda kugombea ubunge kigoma kaskazini kupitia chadema,akimaliza kifungo ana anza harakati hii ni baada ya kupata ushawishi na kuelewa falsafa ya chadema toka kwa kamanda lwakatale walipo kutana gerezani
 
mkono amekana madai ya tobo lissu,lakini hajakana madai ya zitto kuhusu mbowe kupewa mamilioni,wanachadema bado hamuelewi???? pili,inaonyesha namna gani gongo ilivyo mbaya kwa ustawi wa taifa letu hasa baada ya kuwafanya viongozi wakuu wa chadema kuwa mabingwa wa kuropoka,uwongo na uzandiki,

ndio maana Rais J.M.KIKWETE alimuita huyu tobo muongo,mfitini,na mzandiki.....huo ndio msimamo wangu kuanzia sasa kuhusu tobo..

Uwe mtu wa kuunga story na kuanyia analysis...kwa ushauri tu kasome alichosema Mhe Tundu, then kasome kile alichojibu Mhe Zito, then fanya analysis. Naamini utakuja delete ulichopost hapa kama unao uwezo wa kuchanganua mambo.
 
ni nani huyo aliyemweleza mwanasheria msomi kuwa Mzee Mkono alimpa zitto magari? si wangesema tu zitto alinunua gari moja na kukodi moja,ama hii ingempa zitto ushindi?
uongo huchelewa kuja na ukija hukuta mambo yameshaharibika
Zitto anasema anamiliki freelander na carina, hii land-cruiser ameiuza?, na hii Nissan anaifanyia biashara gani, Zitto hajawahi kutaja umiliki wa hizi gari, haoni kama Mkono kamuumbua, njia ya mwongo ni fupi,

angalau mkono kakubali kwamba huwa wanaongea na Lissu wakiwa kwenye kamati, who knows aliwahi kumdokeza kuhusu hayo magari unconsciously. Nani angekiri hadharani kwamba alihonga magari? Zitto ameumbuka full stop!!!
 
Nimesoma katika taarifa yake ya kukanusha kumhonga Mh. Zitto magari mawili, Mh. Mkono amedai kwamba amemuuzia Mh. Zitto gari moja aina ya Landcruiser (japo kwenye maelezo yake Zitto amedai kwamba yeye anamiliki magari mawili tu ambayo ni Freelander na Carina, naona alilisahau hili) na kumkodishia Mh. Zitto gari aina ya Nissan patrol (japo sijui ni kwanini Zitto mwenye magari matatu tayari aamue kukodi gari la nne, tena kutoka kwa Mkono!).
Je hii kampuni ya kukodisha magari ya Mh. Mkono imesajiliwa? Na kama imesajiliwa, inatumia jina gani la biashara? Je inalipa kodi kama sheria inavyotaka?

Nimewaza tu kwa sauti.

Kweli wajinga ndio waliwao. Mahepe, Ngoma ya Wajanja.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom