Tuhoji uraia na usafi wa Magufuli

Hapa jamaa hakukurupuka kuleta huu uzi.

Yote aliyoyagusia hapa yana utata.

1. Usafi wake

2. Uadilifu wake

3. Elimu yake(PhD)

4. Uraia.

Ben Saanane aligusa namba 3 akapotea hadi leo hii hatujui alipo kama yuhai au la.

Twende kazi wanajamvi....

Na yote hayo ni kabla hajaapa kuwa rais
Yote hayo ni kabla ya kuwafukuza watumishi hewa ambao anasema ndo wanapiga kelele mitandaoni

Kongole KakaKiiza
 
Kujua au kuhakiki uraia wa Rais ni jambo la muhimu sanaa.

Sio vibaya kujadili
 
Kujua au kuhakiki uraia wa Rais ni jambo la muhimu sanaa.

Sio vibaya kujadili
Ni kweli... Ukishafahamu utachukua hatua gani mkuu...muda huu? U-tumechelewa....Jamaa alianzisha thridi muda muafaka kabisa lakini sijui ilijificha wapi..
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom