Tuhoji uraia na usafi wa Magufuli

Wana jamvi tunahaki ya kihoji Rais anayekuja kutuongoza kwakila tunalokuwa na shaka nalo moja ni juu ya usafi wake,uadilifu wake,elimu yake na Uraia wake! Twende kazi.
Thread kama hizi mlikuwa mnazificha kipindi kile.
Welcome back
 
Ukweli usiofichika ni kwamba,wakazi wengi wa ukanda wa magharibi ni wahutu walioloea na kwamba sasa uhamiaji wanafuatilia uraia wao so nina hakika hata yeye soon atatakiwa kuonyesha vyeti vya kuzaliwa vya babu na bibi ake
 
Wana jamvi tunahaki ya kihoji Rais anayekuja kutuongoza kwakila tunalokuwa na shaka nalo moja ni juu ya usafi wake,uadilifu wake,elimu yake na Uraia wake! Twende kazi.
Kuna kitu ulikiona???
Nina uhakika usalama wetu(TISS) ni kitendo cha kipumbavu.
Hawapo stable.
 
Wana jamvi tunahaki ya kihoji Rais anayekuja kutuongoza kwakila tunalokuwa na shaka nalo moja ni juu ya usafi wake,uadilifu wake,elimu yake na Uraia wake! Twende kazi.
Hapa jamaa hakukurupuka kuleta huu uzi.

Yote aliyoyagusia hapa yana utata.

1. Usafi wake

2. Uadilifu wake

3. Elimu yake(PhD)

4. Uraia.

Ben Saanane aligusa namba 3 akapotea hadi leo hii hatujui alipo kama yuhai au la.

Twende kazi wanajamvi....
 
Hili swali toka October 12 2015 before general election lilikuwa hai, until now!
 
Back
Top Bottom