Tuhoji uraia na usafi wa Magufuli

Ww ungekua Polisi basi naimani ungekua wale Mgambo wa katibu Tarafa wenu ulipotoka.
Yaani unahoji Ati Vyeti,ukabila elimu. baada ya MTU kua madarakani...!!!
Au ulipaswa uhoji MTU pindi anapoendea fom ya ugombea,,!!!


Sent from Calculator Phone vesion007
Mkuu huu uzi ulianzishwa October 12, 2015 angalia tarehe hapo juu, sasa sijui kati ya wewe na mtoa mada nani ni mgambo wa katibu tarafa. Ila nahisi utakuwa unawashwa
 
sio msukuma we haujiuluz wahy make wa kagam ni Janet na huyu j vilevile?
 
Ni mtusi wa Rwanda,sio mtanzania yule....
Watanzania hatunaga vipara vya namna ile,alafu Kati ya kisogo na kipanda uso kuna bonde(shimo)...
Napinga sio mtz yule...ndomaana alimuua Ben Saa8 kwa kuhoji uhalali wa elimu yake na uraia...
 
Wana jamvi tunahaki ya kihoji Rais anayekuja kutuongoza kwakila tunalokuwa na shaka nalo moja ni juu ya usafi wake,uadilifu wake,elimu yake na Uraia wake! Twende kazi.
Anzisha hojaji ili wengine tuchangie. Usije ukawa ni mmoja wa watu mtu wasiojulikana unatutafuta humu.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom