Tuhasimishe wananchi kuwadhibiti madereva wabovu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuhasimishe wananchi kuwadhibiti madereva wabovu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by msonganzige, Mar 28, 2011.

 1. m

  msonganzige New Member

  #1
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nilifadhaishwa sana na ajali iliyosababisha vifo vya wanamuziki 13 wa taarabu hivi karibuni. Kuna haja ya watanzania kuhimasishwa ili wachukuwe madaraka wanapoona dereva anendesha hovyo. Habari za tukio hilo la kusikitisha zilimwonyesha mama moja abiria ambaye alisema kwamba dereva alikuwa anaenda kasi mno, naye alianza kulia. Abiria wangeweza kabisa kuzuia ajali kwa kumdhibiti dereva na hata kumnyanganya ufunguo wa gari kwani alikuwa anahatarisha maisha yao. Naomba tufanye kampeni kwa kutumia simu za mkononi kuwahimasisha wananchi wawakabiri mara mmoja madereva waliolewa au wanaondesha gari hovyo. Labda ujembe wa sms useme "Usikubali kuweka maisha yako kwa dereva mbovu, mdhibiti mara moja na mkabidhi kwa polisi". Tujenge utamaduni wa kuchukua madaraka kwa maswala yalio kwenye uwezo wetu.
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  Mar 28, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,329
  Likes Received: 591
  Trophy Points: 280
  hoja nzuri japo ukimripoti dereva wa bus ulilopanda wasafiri wenzako watakuchukia sana.
   
Loading...