Tuhakikishe Rostam Aziz Anafikishwa Mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuhakikishe Rostam Aziz Anafikishwa Mahakamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NanyaroEDI, Jul 17, 2011.

 1. N

  NanyaroEDI New Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kufuatia kujiuzulu ubunge kwa Rostam Aziz, ni wakati muafaka kuelekeza nguvu zetu kuhakikisha kwamba Rostam anafikishwa mahakamani ili akajibu tuhuma zinazomkabili za kuhujumu uchumi wa nchi yetu. Na ni lazima kuhakikisha kuwa kipindi hiki mkurugenzi wa mashitaka ya jinai (DPP) Eliezer Feleshi, haandai mashitaka dhidi ya Rostam kisanii kama alivyozoea.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Unavyoandika hapo jamaa yupo Sweden tayari, anaweza akazamia huko. Naona kaenda kupumzika
   
 3. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wewe kuakikisha unamfikisha rostam mahakamani na nani?yaani wenzako wenye lengo hilo kwa back up ya nani?
   
Loading...