Tugomeeeni bidhaa na huduma zisizo za lazima kukabiliana na ukandamizaji wa demokrasia

Gidbang

JF-Expert Member
Jun 1, 2014
4,481
3,991
Hawa jamaa wanchoringia ni hizo kodi zetu tukateni huu mrija wa kodi kwa kususia bidhaa na huduma zisizo za lazima kwa mwezi mmoja.Kupambana nao kwa njia ya maandamano na kupamvana na dola hatutafanikiwa lazima wananchi tuache kulalamika na viongozi na wanaharakati wahimizeni watu kususia matumizi ya bidhaa na huduma zisizo za lazima.

Nashauri TUGOMEE BAADHI YA HUDUMA ambazo si za lazimaTUONE KAMA HAWATATUSIKILIZA.

Mfano Bia, soda, majuice, maji ya kunywa, sigara, tuache kutumia magari binafsi tupande dala dala Mbona mwezi mmoja watanyooka wakikosa faini na kodi.

Hii ndo dawa yao hakuna kugombana nao.
 
Demokrasia inaanzia ndani ya Chama chenu chenye mwenyekiti wa kudumu.
Mwenyekiti wenu anawaibia Tanesko umeme halafu mnaongelea demokrasia shubamiit!
Tanzania haihitaji demokrasia.Inahitaji udikteta ili tuendelee mbele kama Libya.
 
Demokrasia inaanzia ndani ya Chama chenu chenye mwenyekiti wa kudumu.
Mwenyekiti wenu anawaibia Tanesko umeme halafu mnaongelea demokrasia shubamiit!
Rubbish, CCM kuna wa kuweza kumhoji Magufuli? afadhali Mbowe unaweza ukamkimbia , ukamhoji msipoelewana unaondoka. wewe hapo ukimkimbia Magufuli kuwa mmepishana utapotezwa, tutakukta Coco beach!. Kuwa na akili kabla hujaandika!
 
Demokrasia inaanzia ndani ya Chama chenu chenye mwenyekiti wa kudumu.
Mwenyekiti wenu anawaibia Tanesko umeme halafu mnaongelea demokrasia shubamiit!
Ukitafutwa kwenye JF utaweza kuthibitisha hizo tuhuma za wizi, wahusika walikwisha elewana.
 
Hawa jamaa wanchoringia ni hizo kodi zetu tukateni huu mrija wa kodi kwa kususia bidhaa na huduma zisizo za lazima kwa mwezi mmoja.Kupambana nao kwa njia ya maandamano na kupamvana na dola hatutafanikiwa lazima wananchi tuache kulalamika na viongozi na wanaharakati wahimizeni watu kususia matumizi ya bidhaa na huduma zisizo za lazima. Nashauri TUGOMEE BAADHI YA HUDUMA ambazo si za lazimaTUONE KAMA HAWATATUSIKILIZA
Mfano Bia, soda, majuice, maji ya kunywa, sigara, tuache kutumia magari binafsi tupande dala dala Mbona mwezi mmoja watanyooka wakikosa faini na kodi.Hii ndo dawa yao hakuna kugombana nao
Kamakweli mzalendo anzakwanza kuhoji matumizi na utafunwaji wa ruzuku ndani ya Chadema. Ukishindwa hilo ujue wewe ni mnafik.
 
Hivi unafikiri kuna mtu atathubutu kuwapiga risasi watu hata wawili? Hakuna!
Ika basi tu ni uoga wenu bavicha wa kuandaman
 
Kamakweli mzalendo anzakwanza kuhoji matumizi na utafunwaji wa ruzuku ndani ya Chadema. Ukishindwa hilo ujue wewe ni mnafik.
Ruzuku ya ccm inaliwa na nani? Kuna wa kuihoji? Kuna wa kufungua domo kumhoji Jiwe? Rubbish!
 
mgomo pekee umaoweza kuleta matokeo chanya ni wa wafanyakazi wote nchini sekta binafsi na serikalini, hakuna mtu kwenda kazini nakuhakikishia ndani ya wiki tu nchi hii tutaelewana na kila mtu atajua nguvu ya umma!!!!
 
Back
Top Bottom