TUGHE wamekata pesa ya watumishi wasio wanachama kwenye Mshahara wa Mwezi December 2018

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,598
3,644
Salamu kwenu enyi TUGHE msio na msaada wowote kwa mtumishi wa umma sekta ya Afya. Mshahara wangu wa mwezi December 2018 mmenikata Tshs 30,000/- ambayo sikuwahi kukubaliana na nyie popote pale.

Mimi siyo mwanachama wa TUGHE, hivyo kunikata kwa lazima maana yake mnalazimisha kuniibia pesa yangu nayoitolea jasho.

Nyie TUGHE jiandaeni kwenda mahakamani kurudisha hizo pesa zangu.
 
Salamu kwenu enyi TUGHE msio na msaada wowote kwa mtumishi wa umma sekta ya Afya.
Mshahara wangu wa mwezi December 2018 mmenikata Tshs 30,000/- ambayo sikuwahi kukubaliana na nyie popote pale.
Mimi siyo mwanachama wa TUGHE, hivyo kunikata kwa lazima maana yake mnalazimisha kuniibia pesa yangu nayoitolea jasho.
Nyie TUGHE jiandaeni kwenda mahakamani kurudisha hizo pesa zangu..........
Mtatia akili tu na bado
 
Wametumwa na jiwe maana siku hizi kila jambo linalofanyika hapa nchini ni ajizo kutoka juu. Siku za jiwe are numbered.
 
Ingawa nakupa pole, lakini watumishi wa uma mlijitakia wenyewe. Kwa hio pambana na hali yako.
 
Pole mkuu.
Dai haki yako.
Kumbuka Kuna haki za watu wengine wananyiwa au zinachukuliwa.
 
Back
Top Bottom