Tufute jina kambi ya upinzani, tutumie kambi ya wachache

andrewk

JF-Expert Member
Apr 13, 2010
3,102
488
Ni kwa muda mrefu nimemekuwa nafikiria jina mbadala la kambi ya upinzani....hili neno sio zuri sana, sasa kwenye mchakato wa bunge la katiba wanatumia MAONI YA WACHACHE... NADHANI NI JINA MUAFAKA KWA KAMBI YA UPINZANI KUWA KAMBI YA WACHACHE
 
By the way kwanini iitwe kambi?
 
Wewe Mgomvi kweli, wenyewe Wanajua ndio wengi, Kwa maana ndio wenye "NGUVU YA UMMA" uite tena wachache? Ama!!!!
 
wanaweza kuwa wachache wakawa wanawakiliasha wengi walionje ya mfuno wa utawala, walio wengi wanawakilisha wachache wenye madaraka

Mimi naishangaa sana bunge letu hao wachache nao wanamisimamo yao ukisema tukubaliane nao pamoja na uchache wao watatuburuza.Ibaki hivyo hivyo Kambi ya Upinzani hata kama 2.Tushachoka
 
wanaweza kuwa wachache wakawa wanawakiliasha wengi walionje ya mfuno wa utawala, walio wengi wanawakilisha wachache wenye madaraka

Wewe Mgomvi kweli, wenyewe Wanajua ndio wengi, Kwa maana ndio wenye "NGUVU YA UMMA" uite tena wachache? Ama!!!!
 
ni kwa muda mrefu nimemekuwa nafikiria jina mbadala la kambi ya upinzani....hili neno sio zuri sana, sasa kwenye mchakato wa bunge la katiba wanatumia maoni ya wachache... Nadhani ni jina muafaka kwa kambi ya upinzani kuwa kambi ya wachache

imekaa poa sana hiyo
 
Rais anachaguliwa kwa POPULAR VOTE. Je ikitokea Rais mteule chama chake kina wabunge wachache, utawaitaje opposition ambao hawakutoa Rais KAMBI YA WACHACHE wakati infact ndio wengi bungeni?
 
Back
Top Bottom