TUFURAHIE PICHA: SHILATU MWENYEKITI na MASHA waukwaa U-CCM-NEC NYAMAGANA, MZA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TUFURAHIE PICHA: SHILATU MWENYEKITI na MASHA waukwaa U-CCM-NEC NYAMAGANA, MZA

Discussion in 'Jamii Photos' started by nngu007, Oct 1, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145


  SATURDAY, SEPTEMBER 29, 2012

  SHILATU AUKWAA UENYEKITI CCM NYAMAGANA, MASHA AUKWAA UJUMBE NEC TAIFA  [​IMG]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]Wakishow love Masha na Mabina.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]Mkutano wa uchaguzi ulikuwa na hazina ya wapiga kura wa kutosha.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Wajumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa waliochaguliwa kutoka kulia ni Joseph kahungwa, Saimon Ntabi na Flora Magabe.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Eneo la mkutano huo wa uchaguzi.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Mwenyekiti mpya wa CCM Nyamagana Raphael Shilatu akiwa amebebwa juu kwa juu mara baada ya kutangazwa mshindi kwenye kinyang'anyiro cha ugombea nafasi hiyo.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [​IMG]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Mwenyekiti mpya wa CCM Nyamagana Raphael Shilatu akitoa shukurani zake kwa wanachama wenzake sambamba na salaam.[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption, align: center"]Mwenyekiti mpya wa CCM Nyamagana Raphael Shilatu akiteta na Bw. Mabina ambaye naye anatetea nafasi yake ya uenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza. [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
  [TR]
  [TD="align: center"][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="class: tr-caption"]Ni fursa kuteta bustanini Mjumbe aliyeshinda nafasi NEC Lawrance Masha na Dr. Wangabo [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

   
 2. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hongera sana Mwl. Raphael Shilatu. Kuhusu Masha naomba nikae kimya (No comment).
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  Wow PASCAL MABINA kazeeka... aliwahi kuwa MBUNGE Kijana wa MWANZA MJINI enzi hizooo...

  Angalia LAU MASHA... anawashika Mkono na kucheka na hao watu WADOGO; NGOJA ashike CHEO

  anachokiwazia
  NENDA kumsalimia OFISINI; Utasikia lisauti LIZITO TOKA OFISINI through the WALLS...

  kama haujui Utadhani ni BOMU na utaanza kukimbia... HUYU JAMAA YETU ana DHARAU kama CCM kwa

  WANANCHI WAKE...
   
Loading...