tufunze maadili kwa watoto wetu ktk uvaaji

DSCI0570.jpg

acheni zenu, angekuwa mzungu hapa mngemsifia , kwa nini hamtaki kuusifia uumbaji jamani?
 
Naomba nitoke kwenye hili jukwaa, vingnevyo mzee wa nyika leo hatalala
 
Mchonga hongera kwa picha unazoweka hapa, huyu bibie kama vile hana 'kufuri'.
Tuwekee picha zaidi
Atakuwa ni changudoa huyo. Mwanamke yeyote mwenye kuvaa namna hii simtofautishi na changudoa hata kidogo.
 
dayym...... she has been used like sh!t

uchi 100%, kufaulu darasani 5%
 
Glory be to God. Wanaume nawataka radhi sana kama nitakuwa nimewakosea. Unajua kuwa kuna wanawake wanatoka makwao kuolewa wana heshima zao anakutana na mwanaume anamwambiia hataki kuona mvaa hijab anataka avae vimini, etc.

Sasa basi tunaweza walaumu hawa watu kumbe ma BF/Waume zao wanapenda hivyo walivyo. Mimi kama mimi siwezi hata kwa kunishikisha talaka tatu na kurudi nyumbani kwetu.

Tuombe Mungu hawa watoto wetu wa kizazi hiki wamjue Mungu na wawe washamba till they die, kuliko kuwa hivyo walivyo.
 
Eti mavazi sio ya kiafirca, halafu unatumia neno "Kafir" , sas auafrica gani una neno kafir? unajua asili ya mavazi ya kiafrica wewe?, unaujua utam,aduni wa kaifrica,? .Huo unao uzungumzia ni utamduni wa Kizungu na Kiarabu, kujifunika, wazungu baada yakuja Africa ndio nao wakacoppy uhuru wakiafrica kujiachia uchi uchi, nagalia nguo za kizungu kwnye century zilizo pita uoen kama ilikau kuna uchi uchi.
 
That is a billboard.
TRA need to plan for revue collection on such bussiness
 
Back
Top Bottom