Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano

Joy pale pana mbuzi mtamuu balaa...

Tatizo pale wadada njaa sana,kila baada ya dk 20 kinakuja kimemo chenye namba za simu

Hapo kwenye mbuzi nakuunga mkono.

Usiniambie watapaharibu sasa hivi kama Sai Sai ilikua sehemu nzuri ila kila muhudumu na bei yake
 
Kuna rafiki yangu alikua anaongoza kwa mdomo anasema kwenye mbio watu wanaenda kudanga. Kuna siku nimekutana nae kwenye starehe huko akaanza nisifia nimepungua blah blah nikamwambia sababu nakimbia nikamkaribisha na yeye kwenye programs zetu za Goba kila Jumanne na Alhamisi.

After two weeks zikaja tena hizi discussion za marathon na umalaya kwenye group yetu ya chuo. Akasema yeye hawezi kukimbia kwanza mbio ni umalaya na hawezi kukimbia hata km 1 sio mambo yake.

Tukaonana tena mwezi wa kwanza mwanzoni akaona nilivyopungua tena.
Sasa hivi nakimbia nae kila siku. Tena siku nyingine nikitoka ofisini nimevurugwa sitaki kukimbia anaenda mwenyewe kukimbia.

Last week anasema boyfriend wake kamsifia alivyopungua na akanishukuru nimemsaidia kuweza kukimbia na kumfutia mentality ya kujudge wengine kwa kitu ambacho wachache wanakifanya.

Haya mambo ni akili yako maana hata iweje hayakwepeki kunapokua na jinsia mbili tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app

Mzigua wapo wanaokimbia kwa ajili ya kupungua mfano mtu kama Joslinndeki

ila kinachosemwa ni ukweli wapo wanaokimbia kwa ajili ya kudanga wapo my dear, Kili Marathon kuna wadada nawajua crew ya kina Ben Kinyaiya huwa wanakodi coaster wanaenda ila hao wadada hawakimbii wanaishia tu kustarehe na vitu vingine.
 
Joslin na wengi tu wanakimbia.
Ben Ben unasemea ile coaster yao ya Gavanaz? Wale wanakujaga kula bata tu wala hawakimbii.

Hayo mambo mengine ya umalaya yapo tu mama kwenye jinsia tofauti
Mzigua wapo wanaokimbia kwa ajili ya kupungua mfano mtu kama Joslinndeki

ila kinachosemwa ni ukweli wapo wanaokimbia kwa ajili ya kudanga wapo my dear, Kili Marathon kuna wadada nawajua crew ya kina Ben Kinyaiya huwa wanakodi coaster wanaenda ila hao wadada hawakimbii wanaishia tu kustarehe na vitu vingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi fun run karibia zote huwa nashiriki. Wale viongozi wa Goba ni washkaji ile ile ndo maana sikosi na wamenisaidia sana kwa kweli kwenye suala la mbio.

Fun run ya kwanza 2020 uwepo basi mama nikuone ila kama wewe unakuja sana GRR lazima tushaonana ni vile mi sijui watu wengi
Kabisa Dear ndiyo Marathon pekee ambayo huwa nashiriki mara moja moja ingawa watu wengi ambao wapo Goba Road Runners nawafahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom