Tufikie mahali serikali na watendaji wake wakifanya sarakasi mtu awajibishwe kw akujitumbua mwenyewe

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,198
Kwa miaka mingi tumeshuhudia serikali na taasisi zake wakianzisha harakati, na mfululizo wa matamko ambayo baadae tunakuja ona wazi kuwa ni ya uongo, yamepotoka au yalisemwa kisiasa au hata bila ufahamu. Hii ni kwa vile wanaweza toka salama.hakuna mtu anajali wala kuwajibishwa. Haya ni baadhi ya mambo ambayo sidhani kama kuna mtu alipaswa toka salama bila kuwajibishwa au kuwajibika mwenyewe.Tunataka serikali yenye ujasiri na watu waaminifu.Wanaoweza kiri makosa na kuwajibika wenyewe.Sio kupeteza rasilimali kuficha matatizo kwa gharama kubwa na makosa mengine juu.Ifikie mahali watu waonge gharama kudanganya au kufanya maigizo.Italy na japani kila siku watu wanajiuzulu kwa kashfa ndogo tuu .

-Suala la FIXED ACCOUNT.Hapakuw ana ukweli na sasa ni shida.AHkuna mtu kawajibika mwenyewe.

-Suala la Faru mwenye jina zuri.Hili suala lazima waondoke wanasiasa .Kunazi asiyejua kuna kaburi hadi aliyeuliza kaburi wote walijaza magazeti kwa viroja huku yote waliyoongea hayakuwa na cha kuridhisha wananchi wala kuwa na tija kwa taifa.

- Suala la bei ya UMEME.watu wote waliotoa matamko ya kujitoa, nao ni wakosefu kwanini hawakujua ?Ni wazi hawapo katika office na si wafuatilia wa mambo ya kila siku katika office zao.

-Suala la kauli tata za UWEPO WA DAWA ZA KUTOSHA NA KUTOKUWEPO. hata kuna watu wa kuwajibishwa ama, Makamu wa rais au waziri wake.

-Suala la viroba vya watu ruvu. Hawapa wizara ya ulinzi ilipaswa watu wawajibishwe haraka .

-Hili la njaa nalo bado lipo pending ila lazima watu wawajibike kama ukweli utakuwa otherwise.
 
Back
Top Bottom