Tufichue sasa ufisadi kanisani

Kamanda

Senior Member
Dec 5, 2007
150
176
Nimeona na kusikia. Nimesikitika sana baada ya wale wanaojiita watumishi wa Mungu kuibuka nao kuanza kumtetea Lowassa kwamba ni mtu safi, anaweza, mtendaji bora na mchapakazi mahiri. Hakika ni sifa nyingi zinazosambazwa sasa kama wanavyofanya waandishi wa habari waliolipwa ama na Lowassa mwenyewe au yule anayejiita mnyamwezi, mbunge wa huko ingawa ni Muiran, ambaye sisi tunamjua.

Sasa kwa kuchokoza tu hoja iliyo mbele yetu kwamba hata hao eti wachungaji wetu nao wamo. Nime-attach hapa kijisehemu cha ufisadi uliofanywa na KKKT kwenye baadhi ya miradi yake baada ya kupokea fedha za wafadhili na sadaka zetu kama ulivyofichuliwa na kampuni ya ukaguzi wa hesabu, ingawa hadi sasa wahusika, kama walivyo wa Richmond nao wanaendelea kutanua, tena mbaya zaidi wakiwa wamesimama kwenye madhabahu na kushika na kusoma Kitabu Kitakatifu- Biblia.

Endeleeni wana JF, mapambano ndiyo kwanza yameanza na sasa twaona njia bora ya kufikisha ujumbe ni hapa ndani ya nyumba, maana taarifa zingine vyombo vyetu vya habari vinaogopa.

Tuko pamoja. Nawaandalia ripoti kamili muda si muda, nachanja mbuga kuisaka na nyingine ya hivi karibuni kuhusu ufisadi ndani ya masinagogi yetu.
 
Attachments

  • Comments of Solanki and Moses Audit Reports[1].doc
    26 KB · Views: 233
Nafikiri imefika wakati kama ule tulioomba waheshimiwa sana kuhalalisha malizaomkwenye makaratasi nasi kama waumini tunaomba ni vyema hivi sasa wachungaji ,maaskofu..mashehe na viongozi wa dini zote wajaribu kuorodhesha mali zao zitambulike kisheria kwenye serikali yetu...na hili litasaida kuondoa matatizo kama yaliyotokea deci kumbe watumishi wanaweka hela za watu kwenye mifuko yao..........na swala hili tunaomba lisismamiwe kati ya wale makuwadi fisadi....sophia na mwenzake....
tutashukuru ili tuwe na amani...
 
Nashauri ufisadi wa makanisani waumini waushughurikie hukohuko. Kuuleta hapa si mahali pake sana. Tena nadhani makanisa ya KKKT huwa yana kamati mbalimbali za ujenzi, hesabu, na miradi mbalimbali na wanautaratibu wa kutoa report. Kama kunadosari tafadhari shughurikieni huko huko. Mkumbuke pia sadaka ni mali ya Mungu kutokana na Biblia. Pia imeandikwa hakikisheni madhabahuni pa Bwana panachakula cha kutosha kuwalisha Walawi (wachungaji). so issue hizi ni vema kudeal nazo huko hapa kuna imani nyingi hivyo si mahala pake.
 
Ufisadi kama ilivyo dhambi nyingine yeyote ile hauna macho na hauchague pa kwenda ila 'njaa' zetu, mathalani, za viongozi wetu wa dini ndizo zinazotupeleka au kuwapeleka wachungaji wetu kwenye mkanganyiko huu.

Huu mkanganyiko unatokana na makanisa yetu kupoteza mwelekeo, mathalani kutoka kwenye mhimili msingi wa kusimamia "IMANI" na kujikita kwenye kusimamia "SHUGHULI ZA MAENDELEO YA WATU"; kwa kisingizio kwamba huwezi kuhuburia watu Injili ingali wanasikia njaa kwani ukitafakari hili kwa undani utagundua kwamba hakuna juhudi za maksudi kuwaendeleza watu kimwili au kukidhi haja za miili yao hasa kwenye swala la Afya, Elimu na kadhalika kunakofanywa na watumishi wa Mungu kwa misingi ya kuwafanya watu hawa wakue kiimani zaidi ila mara nyingi shughuli hizi zinapofanyika, mwelekeo unapotea kwa kujikita zaidi kwenye kutafuta faida kuliko kukuza imani za wale tunaowahudumia. Tafakarini miradi mingi iliyoanzishwa na taasisi za kidini ni kwa kiasi gani zinawasaidia maskini? Japo nyingi zinaanzishwa kwa nia njema ya kusaidia maskini, lakini baada ya muda, mwelekeo huu unapotea na hivyo kujisahau na kuanza kuwanufaisha au kuwalenga zaidi watu wa aina fulani na sio maskini.

Hali hii nayo imejitokeza kwenye makanisa sio tu yale yenye miradi bali na hata yale ambayo hayana miradi, waumini wao nao wamegeuzwa miradi, na hii ni hatari kubwa sana iliyoyakumba makanisa yetu. Makanisa yetu yamekumbwa na mpasuko mkubwa wa kiimani, na viongozi wengi wa dini wamekuwa sio "Wachungaji wa Kondoo" bali wamegeuka kuwa "Wachungaji Fedha." Hii inadhihirika kwenye mahubiri yao, asilimia themanini ya mahubiri pindi wanapoongoza ibada ni juu ya 'upatikanaji wa fedha' kuliko 'kuwafundisha watu Neno la Mungu' - na kama ni ufisadi basi, unaanzia hapa "making a conscious or unconscious move to divert systematically from the partern of preacher."

Our preachers have diverted systematically either consciousily or unconsciously from what they should be doing! And in other words, what they are doing, is not what the practise demand them to do. The Ministry, has been invaded by the wouldn't be appropriate Ministers for the Ministry of God; and this is evident by the anormalies happening into our respective Churches like supporting and ralling behind those alleged of public scandals! Am not saying, Church leaders should excummunicate them from their Churches but, Church being a public institution, and they, Church leaders being leaders of these public institutions; it would have been wise for them to 'be silent' and to keep their fingers out of this mess. Ralling behind those alleged of public misconduct, in a sense, sends confusing signals to the faithful believers; and in no way, a religious leader being a public figure should behave in a manner confusing or rather being interpreted by those he/she leads as confusing - because, ...whoever scandalizes the young ones (i.e. those he leads) deserves to be tied a milling stone arond his neck and throw him into the sea...."

Makanisa yameingiliwa na ufisadi kwani nayo yenyewe yamepoteza mweleko, na viongozi wake macho ya imani yamepotea, kwani wangelikuwa na macho ya imani, basi, Roho wa Mungu angeliwaepusha na kuparamia ua kuletea sadaka zilizotoka kwenye mikono michafu. Kwa hili najua wengi wenu mnatamani kunipiga mawe lakini ukweli ndio huo na wala siwaambii tuyakimbie makanisa yetu bali tuyaombee na tuwaombee Wachungaji wetu na Mapadre watu ili waweze kuutafuta ukweli wa Mungu na kuusimamia kwenye makanisa yetu; na wamtumainie Mungu na kumtanguliza yeye kwa kila jambo. Hebu tujiulize kuhusu kisa cha Anani na Safira kwenye Kitabu cha Matendo ya Mitume 5: 1 - 10 kwa wale walio Wakristu, na kwa wale ambao sio samahani sana kwa mfano huu. Kwani Petro alijuaje kuwa Anania ameficha kiasi fulani cha fedha ya shamba alilouza? Roho wa Mungu alimwonyesha - na hii ndiyo kazi ya Roho wa Mungu kwa kiongozi yeyote wa Kanisa- ukiweka mambo yako sawa, roho wa Mungu atakuonyesha yanatakayotokea leo na hata kesho kabla hayajatokea. Na anapokuonyesha, ukimrudia Mungu na kumwomba akuongoze kabla hujafanya chochote kuhusu alichokuonyesha au kukufunulia, lazima atakuonyesha njia! Who knows, pengine siku hiyo kama mchungaji au padre kwa sababu Roho ameshakuonyesha kuwa kumn mtu analeta madhabahuni pake sadaka isiyokubalika mbele zake, anaweza kukuambia siku hiyo usichukue sadaka ya mtu, au hata kama amekualika kwake, atakuambia usiende.

Lakini, mambo yetu makanisani kwetu, viongozi wetu wanajipeleka na kujifanyia wanavyoweza. Jamani, siwalaumu viongozi wetu na wala sisemi muwadharau, bali TUWAOMBEE WABADILIKE NA MUNGU AWAONGOZE WAJUE NI NINI CHA KUFANYA. KABLA HUJAENDA KANISANI KWAKO KAA CHINI, MWOMBE MUNGU NA MTANGULIZE MUNGU KANISANI KWAKO ILI AKAONGEZE IBADA NA MAOMBI UNAYOYAENDEA HUKO NA AKAMUINGIE MCHUNGAJI AU PADRE WAKO KWANZA KWA KUMSAMEHE MAKOSA YAKE YOTE, NA AMTAKASE NA KILA AINA YA UOVU, ILI APATE KUMTUMIA KAMA CHOMBO CHA KUFIKISHA UJUMBE KWAKO NA KWA WATU WOTE MTAKAO KUTANA KANISANI HUKO NA MUWEZE KUPONA MAGONJWA NA MAHITAJI YENU YOTE.
 
Makanisa yameingiliwa na ufisadi kwani nayo yenyewe yamepoteza mweleko, na viongozi wake macho ya imani yamepotea, kwani wangelikuwa na macho ya imani, basi, Roho wa Mungu angeliwaepusha na kuparamia ua kuletewa sadaka zilizotoka kwenye mikono michafu. Kwa hili najua wengi wenu mnatamani kunipiga mawe lakini ukweli ndio huo na wala siwaambii tuyakimbie makanisa yetu bali tuyaombee na tuwaombee Wachungaji wetu na Mapadre wetu ili waweze kuutafuta ukweli wa Mungu na kuusimamia kwenye makanisa yetu; na wamtumainie Mungu na kumtanguliza yeye kwa kila jambo. Hebu tujiulize kuhusu kisa cha Anani na Safira kwenye Kitabu cha Matendo ya Mitume 5: 1 - 10 kwa wale walio Wakristu, na kwa wale ambao sio samahani sana kwa mfano huu. Kwani Petro alijuaje kuwa Anania ameficha kiasi fulani cha fedha ya shamba alilouza? Roho wa Mungu alimwonyesha - na hii ndiyo kazi ya Roho wa Mungu kwa kiongozi yeyote wa Kanisa- ukiweka mambo yako sawa, roho wa Mungu atakuonyesha yanatakayotokea leo na hata kesho kabla hayajatokea. Na anapokuonyesha, ukimrudia Mungu na kumwomba akuongoze kabla hujafanya chochote kuhusu alichokuonyesha au kukufunulia, lazima atakuonyesha njia! Who knows, pengine siku hiyo kama mchungaji au padre kwa sababu Roho ameshakuonyesha kuwa kumn mtu analeta madhabahuni pake sadaka isiyokubalika mbele zake, anaweza kukuambia siku hiyo usichukue sadaka ya mtu, au hata kama amekualika kwake, atakuambia usiende.

Lakini, mambo yetu makanisani kwetu, viongozi wetu wanajipeleka na kujifanyia wanavyoweza. Jamani, siwalaumu viongozi wetu na wala sisemi muwadharau, bali TUWAOMBEE WABADILIKE NA MUNGU AWAONGOZE WAJUE NI NINI CHA KUFANYA. KABLA HUJAENDA KANISANI KWAKO KAA CHINI, MWOMBE MUNGU NA MTANGULIZE MUNGU KANISANI KWAKO ILI AKAONGEZE IBADA NA MAOMBI UNAYOYAENDEA HUKO NA AKAMUINGIE MCHUNGAJI AU PADRE WAKO KWANZA KWA KUMSAMEHE MAKOSA YAKE YOTE, NA AMTAKASE NA KILA AINA YA UOVU, ILI APATE KUMTUMIA KAMA CHOMBO CHA KUFIKISHA UJUMBE KWAKO NA KWA WATU WOTE MTAKAO KUTANA KANISANI HUKO NA MUWEZE KUPONA MAGONJWA NA MAHITAJI YENU YOTE.

AMINA.
 
Last edited:
Ufisadi kama ilivyo dhambi nyingine yeyote ile hauna macho na hauchague pa kwenda ila 'njaa' zetu, mathalani, za viongozi wetu wa dini ndizo zinazotupeleka au kuwapeleka wachungaji wetu kwenye mkanganyiko huu.

Huu mkanganyiko unatokana na makanisa yetu kupoteza mwelekeo, mathalani kutoka kwenye mhimili msingi wa kusimamia "IMANI" na kujikita kwenye kusimamia "SHUGHULI ZA MAENDELEO YA WATU"; na kinachowapeleka huku ni faida zaidi hasa ya fedha kuliko kutegemeza imani za waumini wao ambayo hii ndio msingi wa kazi yao kama Wachungaji na Mapadre. Sisemi viongozi wasishughulikie maendeleo ya waumini wao kimwili, BALI wanapofanya hivyo inabidi wawe makini sana, na kila mara wasiache kujiuliza swali hili ni kwa namna gani mradi huu ama ule utawasaidia waumini wangu Kiroho? Kama Mchungaji au Padre, jiulize mara mia moja swali hili na usipopata jibu, acha, ni mtego kwako na waumini wako.

Miradi kwenye makanisa imewafanya viongozi wa makanisa haya kusahau jukumu lao msingi la kuwahudumia waumini wao kiroho na badala yake muda mwingi umekuwa kwenye miradi zaidi; na kwa makanisa yasiyo na miradi waumini wao nao wamegeuzwa miradi, na hii ni hatari kubwa sana kwa makanisa yetu. Makanisa yetu yamekumbwa na mpasuko mkubwa wa kiimani, na viongozi wengi wa dini wamekuwa sio "Wachungaji wa Kondoo" bali wamegeuka kuwa "Wachungaji Fedha." Hii inadhihirika kwenye mahubiri yao, asilimia themanini ya mahubiri pindi wanapoongoza ibada ni juu ya 'upatikanaji wa fedha' kuliko 'kuwafundisha watu Neno la Mungu' - na kama ni ufisadi basi, unaanzia hapa "making a conscious or unconscious move to divert systematically from the partern of preacher."

Our preachers have diverted systematically either consciousily or unconsciously from what they should be doing! And in other words, what they are doing, is not what the practise demand them to do. The Ministry, has been invaded by the wouldn't be appropriate Ministers for the Ministry of God; and this is evident by the anormalies happening into our respective Churches like supporting and ralling behind those alleged of public scandals! Am not saying, Church leaders should excummunicate them from their Churches but, Church being a public institution, and they, Church leaders being leaders of these public institutions; it would have been wise for them to 'be silent' and to keep their fingers out of this mess. Ralling behind those alleged of public misconduct, in a sense, sends confusing signals to the faithful believers; and in no way, a religious leader being a public figure should behave in a manner confusing or rather being interpreted by those he/she leads as confusing - because, ...whoever scandalizes the young ones (i.e. those he leads) deserves to be tied a milling stone arond his neck and throw him into the sea...."

Makanisa yameingiliwa na ufisadi kwani nayo yenyewe yamepoteza mweleko, na viongozi wake macho ya imani yamepotea, kwani wangelikuwa na macho ya imani, basi, Roho wa Mungu angeliwaepusha na kuparamia ua kuletea sadaka zilizotoka kwenye mikono michafu. Kwa hili najua wengi wenu mnatamani kunipiga mawe lakini ukweli ndio huo na wala siwaambii tuyakimbie makanisa yetu bali tuyaombee na tuwaombee Wachungaji wetu na Mapadre watu ili waweze kuutafuta ukweli wa Mungu na kuusimamia kwenye makanisa yetu; na wamtumainie Mungu na kumtanguliza yeye kwa kila jambo. Hebu tujiulize kuhusu kisa cha Anani na Safira kwenye Kitabu cha Matendo ya Mitume 5: 1 - 10 kwa wale walio Wakristu, na kwa wale ambao sio samahani sana kwa mfano huu. Kwani Petro alijuaje kuwa Anania ameficha kiasi fulani cha fedha ya shamba alilouza? Roho wa Mungu alimwonyesha - na hii ndiyo kazi ya Roho wa Mungu kwa kiongozi yeyote wa Kanisa- ukiweka mambo yako sawa, roho wa Mungu atakuonyesha yanatakayotokea leo na hata kesho kabla hayajatokea. Na anapokuonyesha, ukimrudia Mungu na kumwomba akuongoze kabla hujafanya chochote kuhusu alichokuonyesha au kukufunulia, lazima atakuonyesha njia! Who knows, pengine siku hiyo kama mchungaji au padre kwa sababu Roho ameshakuonyesha kuwa kumn mtu analeta madhabahuni pake sadaka isiyokubalika mbele zake, anaweza kukuambia siku hiyo usichukue sadaka ya mtu, au hata kama amekualika kwake, atakuambia usiende.

Lakini, mambo yetu makanisani kwetu, viongozi wetu wanajipeleka na kujifanyia wanavyoweza. Jamani, siwalaumu viongozi wetu na wala sisemi muwadharau, bali TUWAOMBEE WABADILIKE NA MUNGU AWAONGOZE WAJUE NI NINI CHA KUFANYA. KABLA HUJAENDA KANISANI KWAKO KAA CHINI, MWOMBE MUNGU NA MTANGULIZE MUNGU KANISANI KWAKO ILI AKAONGEZE IBADA NA MAOMBI UNAYOYAENDEA HUKO NA AKAMUINGIE MCHUNGAJI AU PADRE WAKO KWANZA KWA KUMSAMEHE MAKOSA YAKE YOTE, NA AMTAKASE NA KILA AINA YA UOVU, ILI APATE KUMTUMIA KAMA CHOMBO CHA KUFIKISHA UJUMBE KWAKO NA KWA WATU WOTE MTAKAO KUTANA KANISANI HUKO NA MUWEZE KUPONA MAGONJWA NA MAHITAJI YENU YOTE.

AMINA.
 
Nimeona na kusikia. Nimesikitika sana baada ya wale wanaojiita watumishi wa Mungu kuibuka nao kuanza kumtetea Lowassa kwamba ni mtu safi, anaweza, mtendaji bora na mchapakazi mahiri. Hakika ni sifa nyingi zinazosambazwa sasa kama wanavyofanya waandishi wa habari waliolipwa ama na Lowassa mwenyewe au yule anayejiita mnyamwezi, mbunge wa huko ingawa ni Muiran, ambaye sisi tunamjua.

Kamanda wa Kamanda , heshima yako mkuu kwa kuibua hili soo.
Walaaniwe wote wanakula kiufisadi kutoka sahani ya BWANA.
Vile vile si kwamba wananchi hawaoni, wanaona tena sana.
Lowassa akiwa Ardhi aliuza nusu ya kiwanja cha kanisa cha pale Mbezi, hajawahi kukaribishwa kwa shughili yoyote pale licha ya kuwahi kuwa kiongozi wa kitaifa aliye katika dhehebu la KKKT.
Wananchi wanaona.
 
Nipeni muda kidogo niwaletee sakata la shule ya watoto yatima na wanaotoka katika mazingira magumu PEACE HOUSE iliyokuwa ikiendeshwa na wamarekani na sasa kuchukuliwa na KKKT baada ya kuwafanyia wamarekani acrobat.
 
Nimeona na kusikia. Nimesikitika sana baada ya wale wanaojiita watumishi wa Mungu kuibuka nao kuanza kumtetea Lowassa kwamba ni mtu safi, anaweza, mtendaji bora na mchapakazi mahiri. Hakika ni sifa nyingi zinazosambazwa sasa kama wanavyofanya waandishi wa habari waliolipwa ama na Lowassa mwenyewe au yule anayejiita mnyamwezi, mbunge wa huko ingawa ni Muiran, ambaye sisi tunamjua.

Sasa kwa kuchokoza tu hoja iliyo mbele yetu kwamba hata hao eti wachungaji wetu nao wamo. Nime-attach hapa kijisehemu cha ufisadi uliofanywa na KKKT kwenye baadhi ya miradi yake baada ya kupokea fedha za wafadhili na sadaka zetu kama ulivyofichuliwa na kampuni ya ukaguzi wa hesabu, ingawa hadi sasa wahusika, kama walivyo wa Richmond nao wanaendelea kutanua, tena mbaya zaidi wakiwa wamesimama kwenye madhabahu na kushika na kusoma Kitabu Kitakatifu- Biblia.

Endeleeni wana JF, mapambano ndiyo kwanza yameanza na sasa twaona njia bora ya kufikisha ujumbe ni hapa ndani ya nyumba, maana taarifa zingine vyombo vyetu vya habari vinaogopa.

Tuko pamoja. Nawaandalia ripoti kamili muda si muda, nachanja mbuga kuisaka na nyingine ya hivi karibuni kuhusu ufisadi ndani ya masinagogi yetu.
Ufisadi unaotajwa hapa umetokea KKT huko Moshi na kwamba tatizo ni hofu ya Mungu!!
Wapo wachunngaji ambao ni kweli kabisa hawana hofu ya Mungu na hata wakati fulani wanakumbwa na kashifa za Ngono na Ugoni ??

Huu wizi wa Fedha Makanisani haukuuanza leo bali hata kipindi cha YESU , YUDA alikuwa mmojawapo!!!
Ni bora unapo kwenda Kanisani Kuabudu angalia kwanza kama mahali hapo ni salama kwako kiimani!!!
Fanya kama unavyochgua Shule ya kumupeleka Mwanao!!!
Ukiona Shule hiyo Kuna watoto wanavaa suluali kwenye Makalio harafu Walimu hawkemei ondoka haraka!!
Ukiona Unakwenda kanisani harafu Mwawigi ,Nguo fupi, Suluali, Zimetawala Ondoka haraka!!!
Ukiona Kanisa lako unasali na Mafisdi wanaokemewa na Vyama vya kisiasa kiasi cha kutakiwa kujivua gamba ujue hapo hapakufai!!!
Wanasiasa Mafisadi hupenda sana kutoa fedha ili waheshimike ndani ya Kanisa na huwa wanakaa Mbele ya Kanisa huku Wakw zao na watoto wao wakiwa wamevaa ngua za uchi na Mchungaji anashindwa kuwakemea!!!
Wanasiasa hawa ndio wanaongoza Harambeee na Michango mikubwa!!
 
Hii mada sio mahali pake. Ipeleke kwenye makanisa ya KKKT kwani hao ndio wadau wa hiyo misaada.
Nimeona na kusikia. Nimesikitika sana baada ya wale wanaojiita watumishi wa Mungu kuibuka nao kuanza kumtetea Lowassa kwamba ni mtu safi, anaweza, mtendaji bora na mchapakazi mahiri. Hakika ni sifa nyingi zinazosambazwa sasa kama wanavyofanya waandishi wa habari waliolipwa ama na Lowassa mwenyewe au yule anayejiita mnyamwezi, mbunge wa huko ingawa ni Muiran, ambaye sisi tunamjua.

Sasa kwa kuchokoza tu hoja iliyo mbele yetu kwamba hata hao eti wachungaji wetu nao wamo. Nime-attach hapa kijisehemu cha ufisadi uliofanywa na KKKT kwenye baadhi ya miradi yake baada ya kupokea fedha za wafadhili na sadaka zetu kama ulivyofichuliwa na kampuni ya ukaguzi wa hesabu, ingawa hadi sasa wahusika, kama walivyo wa Richmond nao wanaendelea kutanua, tena mbaya zaidi wakiwa wamesimama kwenye madhabahu na kushika na kusoma Kitabu Kitakatifu- Biblia.

Endeleeni wana JF, mapambano ndiyo kwanza yameanza na sasa twaona njia bora ya kufikisha ujumbe ni hapa ndani ya nyumba, maana taarifa zingine vyombo vyetu vya habari vinaogopa.

Tuko pamoja. Nawaandalia ripoti kamili muda si muda, nachanja mbuga kuisaka na nyingine ya hivi karibuni kuhusu ufisadi ndani ya masinagogi yetu.
 
Nimeona na kusikia. Nimesikitika sana baada ya wale wanaojiita watumishi wa Mungu kuibuka nao kuanza kumtetea Lowassa kwamba ni mtu safi, anaweza, mtendaji bora na mchapakazi mahiri. Hakika ni sifa nyingi zinazosambazwa sasa kama wanavyofanya waandishi wa habari waliolipwa ama na Lowassa mwenyewe au yule anayejiita mnyamwezi, mbunge wa huko ingawa ni Muiran, ambaye sisi tunamjua.

Sasa kwa kuchokoza tu hoja iliyo mbele yetu kwamba hata hao eti wachungaji wetu nao wamo. Nime-attach hapa kijisehemu cha ufisadi uliofanywa na KKKT kwenye baadhi ya miradi yake baada ya kupokea fedha za wafadhili na sadaka zetu kama ulivyofichuliwa na kampuni ya ukaguzi wa hesabu, ingawa hadi sasa wahusika, kama walivyo wa Richmond nao wanaendelea kutanua, tena mbaya zaidi wakiwa wamesimama kwenye madhabahu na kushika na kusoma Kitabu Kitakatifu- Biblia.

Endeleeni wana JF, mapambano ndiyo kwanza yameanza na sasa twaona njia bora ya kufikisha ujumbe ni hapa ndani ya nyumba, maana taarifa zingine vyombo vyetu vya habari vinaogopa.

Tuko pamoja. Nawaandalia ripoti kamili muda si muda, nachanja mbuga kuisaka na nyingine ya hivi karibuni kuhusu ufisadi ndani ya masinagogi yetu.

mkuu habari ni nzuri sana

tatizo audit kama hii ambayo haina mhuri, letterhead nk ni ngumu kuaminika, hivi nikiwa ni mimi nimeandika na kutuma hivi na kwa mtindo huu si tutaangamiza maana ya kupeana habari sahihi?
 
mh! ngoja nizidishe maombi ................... nitachangia swala hili baadaye - AMEN
 
Nipeni muda kidogo niwaletee sakata la shule ya watoto yatima na wanaotoka katika mazingira magumu PEACE HOUSE iliyokuwa ikiendeshwa na wamarekani na sasa kuchukuliwa na KKKT baada ya kuwafanyia wamarekani acrobat.
Magufuli akipitiapitia huu ufisadi anakuwa mbaya
 
Ufisadi kama ilivyo dhambi nyingine yeyote ile hauna macho na hauchague pa kwenda ila 'njaa' zetu, mathalani, za viongozi wetu wa dini ndizo zinazotupeleka au kuwapeleka wachungaji wetu kwenye mkanganyiko huu.

Huu mkanganyiko unatokana na makanisa yetu kupoteza mwelekeo, mathalani kutoka kwenye mhimili msingi wa kusimamia "IMANI" na kujikita kwenye kusimamia "SHUGHULI ZA MAENDELEO YA WATU"; na kinachowapeleka huku ni faida zaidi hasa ya fedha kuliko kutegemeza imani za waumini wao ambayo hii ndio msingi wa kazi yao kama Wachungaji na Mapadre. Sisemi viongozi wasishughulikie maendeleo ya waumini wao kimwili, BALI wanapofanya hivyo inabidi wawe makini sana, na kila mara wasiache kujiuliza swali hili ni kwa namna gani mradi huu ama ule utawasaidia waumini wangu Kiroho? Kama Mchungaji au Padre, jiulize mara mia moja swali hili na usipopata jibu, acha, ni mtego kwako na waumini wako.

Miradi kwenye makanisa imewafanya viongozi wa makanisa haya kusahau jukumu lao msingi la kuwahudumia waumini wao kiroho na badala yake muda mwingi umekuwa kwenye miradi zaidi; na kwa makanisa yasiyo na miradi waumini wao nao wamegeuzwa miradi, na hii ni hatari kubwa sana kwa makanisa yetu. Makanisa yetu yamekumbwa na mpasuko mkubwa wa kiimani, na viongozi wengi wa dini wamekuwa sio "Wachungaji wa Kondoo" bali wamegeuka kuwa "Wachungaji Fedha." Hii inadhihirika kwenye mahubiri yao, asilimia themanini ya mahubiri pindi wanapoongoza ibada ni juu ya 'upatikanaji wa fedha' kuliko 'kuwafundisha watu Neno la Mungu' - na kama ni ufisadi basi, unaanzia hapa "making a conscious or unconscious move to divert systematically from the partern of preacher."

Our preachers have diverted systematically either consciousily or unconsciously from what they should be doing! And in other words, what they are doing, is not what the practise demand them to do. The Ministry, has been invaded by the wouldn't be appropriate Ministers for the Ministry of God; and this is evident by the anormalies happening into our respective Churches like supporting and ralling behind those alleged of public scandals! Am not saying, Church leaders should excummunicate them from their Churches but, Church being a public institution, and they, Church leaders being leaders of these public institutions; it would have been wise for them to 'be silent' and to keep their fingers out of this mess. Ralling behind those alleged of public misconduct, in a sense, sends confusing signals to the faithful believers; and in no way, a religious leader being a public figure should behave in a manner confusing or rather being interpreted by those he/she leads as confusing - because, ...whoever scandalizes the young ones (i.e. those he leads) deserves to be tied a milling stone arond his neck and throw him into the sea...."

Makanisa yameingiliwa na ufisadi kwani nayo yenyewe yamepoteza mweleko, na viongozi wake macho ya imani yamepotea, kwani wangelikuwa na macho ya imani, basi, Roho wa Mungu angeliwaepusha na kuparamia ua kuletea sadaka zilizotoka kwenye mikono michafu. Kwa hili najua wengi wenu mnatamani kunipiga mawe lakini ukweli ndio huo na wala siwaambii tuyakimbie makanisa yetu bali tuyaombee na tuwaombee Wachungaji wetu na Mapadre watu ili waweze kuutafuta ukweli wa Mungu na kuusimamia kwenye makanisa yetu; na wamtumainie Mungu na kumtanguliza yeye kwa kila jambo. Hebu tujiulize kuhusu kisa cha Anani na Sa**** kwenye Kitabu cha Matendo ya Mitume 5: 1 - 10 kwa wale walio Wakristu, na kwa wale ambao sio samahani sana kwa mfano huu. Kwani Petro alijuaje kuwa Anania ameficha kiasi fulani cha fedha ya shamba alilouza? Roho wa Mungu alimwonyesha - na hii ndiyo kazi ya Roho wa Mungu kwa kiongozi yeyote wa Kanisa- ukiweka mambo yako sawa, roho wa Mungu atakuonyesha yanatakayotokea leo na hata kesho kabla hayajatokea. Na anapokuonyesha, ukimrudia Mungu na kumwomba akuongoze kabla hujafanya chochote kuhusu alichokuonyesha au kukufunulia, lazima atakuonyesha njia! Who knows, pengine siku hiyo kama mchungaji au padre kwa sababu Roho ameshakuonyesha kuwa kumn mtu analeta madhabahuni pake sadaka isiyokubalika mbele zake, anaweza kukuambia siku hiyo usichukue sadaka ya mtu, au hata kama amekualika kwake, atakuambia usiende.

Lakini, mambo yetu makanisani kwetu, viongozi wetu wanajipeleka na kujifanyia wanavyoweza. Jamani, siwalaumu viongozi wetu na wala sisemi muwadharau, bali TUWAOMBEE WABADILIKE NA MUNGU AWAONGOZE WAJUE NI NINI CHA KUFANYA. KABLA HUJAENDA KANISANI KWAKO KAA CHINI, MWOMBE MUNGU NA MTANGULIZE MUNGU KANISANI KWAKO ILI AKAONGEZE IBADA NA MAOMBI UNAYOYAENDEA HUKO NA AKAMUINGIE MCHUNGAJI AU PADRE WAKO KWANZA KWA KUMSAMEHE MAKOSA YAKE YOTE, NA AMTAKASE NA KILA AINA YA UOVU, ILI APATE KUMTUMIA KAMA CHOMBO CHA KUFIKISHA UJUMBE KWAKO NA KWA WATU WOTE MTAKAO KUTANA KANISANI HUKO NA MUWEZE KUPONA MAGONJWA NA MAHITAJI YENU YOTE.

AMINA.
Mkuu umenena mengi .....Serikali imeamua kukusanya kodi yake sasa kwa kuwa hawakuzoweshwa hivyo lazima kilio kianze
 
Back
Top Bottom