Tufanyeje kurejesha hadhi ya rais wa Tanzania?

Cha kufanya ni kuibwaga CCM 2015 na kuzuia uchakachuaji wa matokeo. Else, Urais wetu utabaki kuwa urahisi na kila mtu atataka kuwa Rais kama alivyofanya JK.
 
th

Wakati wa utawala mwalimu Julius Nyerere urais ulikuwa cheo cha kutisha na kuheshimika. Kila alipokwenda hasa kwenye mataifa makubwa kama Marekani, Urusi, Uingereza na Uchina alipokelewa na wakuu wa mataifa haya huku akipigiwa mizinga 21 ya heshima. Tangu alipoachia madaraka urais wa Tanzania uligeuka kuwa kama ukuwadi wa kawaida. Siku hizi rais wetu akitembelea nchi kubwa hupokelewa uani tofauti na wakati ule wa Nyerere. Ikulu yetu imegeuka kijiwe cha wafanya biashara wezi. Rais akisafiri nje ya nchi anaficha majina ya wajumbe anaoandamana nao. Je tufanyeje kurejesha hadhi ya rais wa Tanzania?

Nakushauri mchugueni Zitto Kabwe, mtapigiwa mizinga mpaka mtachoka.
 
Ritz naona hukunielewa.Hapa hatuongelei personalities bali issues. Tunaongelea hadhi ya urais siyo mtu binafsi. Huyo Zitto unayemnadi ni bure sawa na hawa waliochafua na kushusha hadhi ya urais.Kama ukimtaka huyo Zitto nadhani yuko huru nawe uko huru kumfanyia kazi ya kampeni mtalipana mjuavyo.
 
Wewe umeleta chakula mezani tujadili natoa mchango wangu unaanza kunishambulia kumbe umeanzisha uzi halafu unataka upewe majibu unayoyapenda wewe.
 
Wewe wasema. Kwanini usisome between the lines kabla ya kutoa conclusion? Utakuwa wendawazimu mtu kuuliza swali badala ya kupewa jibu anapewa swali. Samahani kama sikukuelewa.
 
Back
Top Bottom