Tufanye ulinganifu kati ya jimbo la Chato na Monduli

Boniphace Bembele Ng'wita

JF-Expert Member
Dec 25, 2013
3,446
1,812
Wadau

Ili rais ajaye awe na sifa kubwa walao tusaidiane kuyachambua haya majimbo mawili,

je kama viongozi wake kwa miaka waliokaa na nyadhifa zao zinaendana na maendeleo yao??

Ikiwa kama tutaona haya jimbo la mmoja wao halina maendele, tuanzie hapo kujua rais mpya wa awam ya 5

Nawasilisha
 
Monduli lipo juu.

Kwa jiografia na ukame uliopo Lowassa akatoa maji mlima meru sio jambo la kubeza.
 
Labda kwa kuanza tuanze kwa kuangalia aina ya jamii katika majimbo hayo kwani kila jamii inatabia zake mfano jamii ya wawindaji, jamii ya wafugaji,jamii ya wakulima n.k. ndio tuangalie mbunge wao aliwasaidia vipi.
 
Wadau

Ili rais ajaye awe na sifa kubwa walao tusaidiane kuyachambua haya majimbo mawili,

je kama viongozi wake kwa miaka waliokaa na nyadhifa zao zinaendana na maendeleo yao??

Ikiwa kama tutaona haya jimbo la mmoja wao halina maendele, tuanzie hapo kujua rais mpya wa awam ya 5

Nawasilisha

Hoja nyingine za kipuuzi tu, hicho unachotaka kukiangalia ni ubinafsi na si kipimo cha uongozi bora. Nyerere alikaa madaraka miaka 23 lakini kwao hakufanya maendeleo aliangalia maendeleo mapana ya kitaifa! Leo unapojaribu kumpima kiongozi kwa kujenga kwao huo ni ubinafsi na ndo alionao magufuli! Hivi unataka kutuaminisha kuwa jimbo lote la chato linafanana kimaendeleo na eneo anakotokea magufuli? Fikiria nje ya box kabla ya kuja na upuuzi wa hoja kama hizi!
 
Tulinganishe pia Butiama na Msoga ili kujua nani rais bora
 
rejea report ya hali ya maisha "Human Developmwnt Report" utaona Monduli ipo juu kuliko Chato.
 
Hapa chato hata maji yanasumbua me haraka naweza sema monduli wamepiga hatua sana .
 
monduli kuna matank matatu tu,ndo maendeleo,ama kweli mfumo kaskazini usposhugulikiwa utalitafuna hl taifa
 
Mondili asilimia kubwa wakaazi wake ni jamii ya wafugaji jamii ya wafugaji huishi kwa kuhama Hama kufuata malisho ya mifugo kwahivyo jamii hii huhitaji maeneo makubwa il kuwapunguzia adha ya kuhama Hama kwa ajiri ya malisho na pia upatikanaji wa Maji kwa kunywesha mifugo na kwa matumizi ya nyumbani. Mh.EL aliweza kugawa Eneo la jeshi na kuwapatia wananchi wake kwa ajiri ya malisho ya mifugo na upande wa Maji alishatatua tatizo hilo.hii ni kwa ufupi. Pu de nitakuja Jimbo la chato
 
Jamani naomba msiwe mnaleta mada za kitoto ivi. Kwann usiende piga kampeni maana unalinganisha kitu ambacho hakiwezi kulinganishwa. Ninadbani unasema traffic control za chato ndo maendeleo unayotaka kulinganisha
 
Hoja nyingine za kipuuzi tu, hicho unachotaka kukiangalia ni ubinafsi na si kipimo cha uongozi bora. Nyerere alikaa madaraka miaka 23 lakini kwao hakufanya maendeleo aliangalia maendeleo mapana ya kitaifa! Leo unapojaribu kumpima kiongozi kwa kujenga kwao huo ni ubinafsi na ndo alionao magufuli! Hivi unataka kutuaminisha kuwa jimbo lote la chato linafanana kimaendeleo na eneo anakotokea magufuli? Fikiria nje ya box kabla ya kuja na upuuzi wa hoja kama hizi!

Mkapa amekaa ikulu 10 yrs lakini Lupaso ilivyo ni kama kwa Alifweghe kule kijijini kwetu
 
Tanzania yoote watu wengi masikini hakuna cha chato,mondui,kyela wala ileje..kwa nini mjadili sehemu chache wakati kwa ujumla upo wazi tuu.
 
Uwezi kulinganisha Manchester United na Mgambo Fc. Monduli ni Mgambo Fc, ni aibu sana na si haki kwenye Kanuni za ulinganifu.
 
Mnapofanya ulinganifu kumbuka chato ilitengwa kuwa jimbo mwaka 1995. monduli imekuwa jimbo tangu uhuru
 
mondoli mjini barabara karibia zote zina lami.chato sijaona zaidi ya ile ya kutoka geita kwenda bkb
 
Hoja nyingine za kipuuzi tu, hicho unachotaka kukiangalia ni ubinafsi na si kipimo cha uongozi bora. Nyerere alikaa madaraka miaka 23 lakini kwao hakufanya maendeleo aliangalia maendeleo mapana ya kitaifa! Leo unapojaribu kumpima kiongozi kwa kujenga kwao huo ni ubinafsi na ndo alionao magufuli! Hivi unataka kutuaminisha kuwa jimbo lote la chato linafanana kimaendeleo na eneo anakotokea magufuli? Fikiria nje ya box kabla ya kuja na upuuzi wa hoja kama hizi!

rudi shule ukasome kwanza nyerere alikuwa raisi hakuwa mbunge hawa walikuwa wabunge ambao wanamipaka ya utawala
 
Nipo chato wiki nzima maji ni shida da ziwa lipo hapo jiran watu wananunua maji ya visima dumu mia tatu mpaka mia tano watu waaumwa utapiamulo vijiji kama buzilayombwe na vijji jirani pia huku U.T.I NDIO KWAO maji ya ziwa ndio sababu watu wanatumia visima
 
Back
Top Bottom