Tufanye Tathmini ya Serikali Kivuli Bunge Awamu ya Tano

Yiyu Sheping

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
1,720
841
Kambi rasmi ya upinzani awamu hii ya tano ya serikali ya JMT ina takribani miezi saba sasa. Kuna mambo wanayotakiwa kutumiza kama wajibu wao mkuu. Toa mchango wako tuone hali iko vipi mpaka sasa. Mimi naona ni kama wameshindwa kwenda na mabaliko. Wanapinga mabadiliko badala ya kutafuta njia za kuishi hayo mabadiliko.

Endelea na wewe kutoa mchango wako.
 
Kambi rasmi ya upinzani awamu hii ya tano ya serikali ya JMT ina takribani miezi sab sasa.. Kuna mambo wanayotakiwa kutumiza kama wajibu wao mkuu. Toa mchango wako tuone hali iko vipi mpaka sasa. Mimi naona ni kama wameshindwa kwenda na mabaliko. Wanapinga mabadiliko badala ya kutafuta njia za kuishi hayo mabadiliko.

Endelea na wewe kutoa mchango wako.
Mabadiliko ya kipuuzi wayaishi? Why?
 
Kambi rasmi ya upinzani awamu hii ya tano ya serikali ya JMT ina takribani miezi sab sasa.. Kuna mambo wanayotakiwa kutumiza kama wajibu wao mkuu. Toa mchango wako tuone hali iko vipi mpaka sasa. Mimi naona ni kama wameshindwa kwenda na mabaliko. Wanapinga mabadiliko badala ya kutafuta njia za kuishi hayo mabadiliko.

Endelea na wewe kutoa mchango wako.
Kosa lao kubwa ni kudhania kuwa Bunge kama taasisi ina ugomvi na Rais, wakadhani watalitumia bunge kumeaibisha rais. Ilianxia kwa Maslim Seif kwenye hotuba ya ufunguzi. Wakaja ile zomeazomea yao. Ikaja liveTV, ikaja UDOM. Mara zote wanataka watumie bunge kumwaibia Rais. Hawakujua kuwa Rais naye kachaguliwa na watu, kwa hiyo katika kumpiga vita Rais, walisahau kuwa anapendwa na watu.
 
Vua kwanza hilo boga walilo kuvisha Lumumba, waambie wakurudishie kichwa chako.
 
Kambi rasmi ya upinzani awamu hii ya tano ya serikali ya JMT ina takribani miezi saba sasa. Kuna mambo wanayotakiwa kutumiza kama wajibu wao mkuu. Toa mchango wako tuone hali iko vipi mpaka sasa. Mimi naona ni kama wameshindwa kwenda na mabaliko. Wanapinga mabadiliko badala ya kutafuta njia za kuishi hayo mabadiliko.

Endelea na wewe kutoa mchango wako.

Tueleze kwanza waliyotakiwa kuyafanya ili tuwapime
 
Bado hatujafanikiwa kuwa na mawaziri kivuli wanamjua kazi zao.
Nilitegemea waziri kivuli wa fedha ashushe budget yake mbadala ikiwa na takwimu zote muhimu.
Jumla ya fedha, vyanzo vyake, uwiano wa fedha za maendeleo na matumizi ya kawaida, vipaumbele vyake kama ni elimu, afya, maji nk.
 
Kuna waziri kivuli mmoja naambiwa mchango wake kwa budget mbadala ni kutokutambua uheshimiwa wa NS.

Bado hatujafanikiwa kuwa na mawaziri kivuli wanamjua kazi zao.
Nilitegemea waziri kivuli wa fedha ashushe budget yake mbadala ikiwa na takwimu zote muhimu.
Jumla ya fedha, vyanzo vyake, uwiano wa fedha za maendeleo na matumizi ya kawaida, vipaumbele vyake kama ni elimu, afya, maji nk.
 
Pumba ipi?Una mfano wowote wa hiyo pumba?
Hawa watu ukitaka matusi uliza swali LA maana. Ukitaka wachangie vizuri weka copy y'all Mange Kimambi kutoka instagram ya kumtukana rais wstakuita kamanda. Kweli slaa alikua Mtu muhimu sana hata sisi wengine tulioanza kushawishika tumegundua hilo baada y'all padre kuondoka
 
Back
Top Bottom