Tufanye nini vijana waone kilimo can be a proffession too?

Hii inaweza kuwa useful na refference nzuri

9 ways to engage youth in agriculture


In Africa over 200 million people are aged between 15 and 24, the youngest population in the world. This age group according to the African Economic Outlooks is expected to double in number by 2045. Low profitability, poor security of land tenure, and high risks are just some of the reasons Africa’s youth are leaving rural areas to seek jobs in cities, a migration that could see Africa with a shortage of farmers in the future. Given that agriculture is one of the continent’s biggest economic sectors, generating broad economic development and providing much of the population with food, this poses a serious threat to the future of farming and to meeting the demands of a rapidly growing urban population. Growing youth unemployment, ageing farmers and declining crop yields under traditional farming systems mean engaging youth in agriculture should be a priority.

Recent articles highlight this key challenge and suggest solutions for making agriculture more attractive to younger generations.

1) Link social media to agriculture
The rise of social media and its attraction among young people with access to the appropriate technologies could be a route into agriculture if the two could be linked in some way. Mobile phone use in Africa is growing rapidly and people are now much more connected to sources of information and each other. Utilising these channels to promote agriculture and educate young people could go a long way in engaging new groups of people into the sector.

2) Improve agriculture’s image
Farming is rarely portrayed in the media as a young person’s game and can be seen as outdated, unprofitable and hard work. Greater awareness of the benefits of agriculture as a career needs to be built amongst young people, in particular opportunities for greater market engagement, innovation and farming as a business. The media, ICT and social media can all be used to help better agriculture’s image across a broad audience and allow for sharing of information and experiences between young people and young farmers.

3) Strengthen higher education in agriculture
Relatively few students choose to study agriculture, perhaps in part because the quality of agricultural training is mixed. Taught materials need to be linked to advances in technology, facilitate innovation and have greater relevance to a diverse and evolving agricultural sector, with a focus on agribusiness and entrepreneurship. Beyond technical skills, building capacity for management, decision-making, communication and leadership should also be central to higher education. Reforms to agricultural tertiary education should be designed for young people and as such the process requires their direct engagement.

4) Greater use of Information and Communication Technologies (ICT)
Not only can ICT be used to educate and train those unable to attend higher education institutions but it can be used as a tool to help young people spread knowledge, build networks, and find employment. Catering to a technologically savvy generation will require technological solutions. Such technologies can also reduce the costs of business transactions, increasing agriculture’s profitability.

5) Empower young people to speak up
If we are to enable youth to transform agriculture then the barriers to their engagement, such as access to land and finance, need to be addressed. National policies on farming and food security need to identify and address issues facing young people. As such youth need to become part of policy discussions at the local and national levels, whether as part of local development meetings, advisory groups or on boards or committees.

The Young Professionals’ Platform for Agricultural Research for Development (YPARD) aims to provide a platform for young people to discuss opportunities in agricultural development, share experiences and advocate for greater youth engagement and representation.

6) Facilitate access to land and credit
Land is often scarce and difficult to access for young people, and without collateral getting credit to buy land is nigh on impossible. Innovative financing for agriculture and small businesses is needed. For example soft loans provided to youth who come up with innovative proposals in agriculture or microfranchising.

7) Put agriculture on the school curricula
Primary and high school education could include modules on farming, from growing to marketing crops. This could help young people see agriculture as a potential career. Farm Africa run a project aiming to help school children discover more about agriculture as a profession.

8) Greater public investment in agriculture
Young people may see agriculture as a sector much neglected by the government, giving farming the image of being old fashioned. Investment in agriculture is more effective at reducing poverty than investment in any other sector but public expenditure on agriculture remains low. Regional and continent-wide programmes such as the Comprehensive Africa Agriculture Development Programme (CAADP) may go some way in transforming the prominence and reputation of agriculture in Africa but national efforts and public investments are also needed.

9) Make agriculture more profitable
This is an easy statement to make but a difficult one to realise. Low yields and market failures in Africa reduce the potential of agriculture to be profitable and to provide people with a chance of escaping poverty and improving their quality of life. Making agriculture profitable requires that the costs of farming and doing business are reduced while at the same time productivity increases. Although large-scale commercial farming springs to mind, this is not necessarily the case, and small farms can be highly productive with low labour costs.

Of course all of these solutions come with their own hurdles: access to education and technologies, rural development, land rights etc. But as one article states “Africa has the highest number of youth in the whole world, and some of the most fertile soils – the two combined could be a force to promote agricultural development!“ Foregoing engaging youth in agriculture and the potential for transformation this could bring because of the complexities of modernising agriculture would be a huge opportunity lost.

Note. This article was originally published at the Can we feed the world website
Hahaha kilimo cha u tube hata mimi nakipenda.

Ila nimewahi kwenda sehemu moja ndoogo wanalima kwa tractors za John Deer na Kubota, nilifurahi process yote machinery from kuandaa shamba hadi kuvuna.

Na wanunuzi wa mazao wanaleta container shambani linajazwa mzigo kwa tractor wanakuja kubeba mzigo, pesa wanalipa nusu mwanzo na mwizo wakija kubeba mazao.

Process yote iko streamlined, halafu ni wazee tupu vijana wa wakulima wanapiga shule, haiko mbali na ni shule imekamilika kila idara sio majengo tu. Bali walimu na technolojia waliyowekeza ukiona unapenda.

Mimi bora ni gombee ubunge, blablaa unalipwa, mwisho wa blabla wanakuinua mgongo.

Don't waste your time kulima best, utajuta. Kuna maisha bila kilimo, tena safi kabisa.

No wonder vijijini kila kitu hakivutii, mazingira, miundombinu na hata pesa hazipo vijijini/mashambani.

Karibu mjini tunalima lami tunavuna pesa.
 
Nguvu za mwili hazina tija kwenye kilimo, kilimo kinahitaja overhaul kuwe cha kutumia teknologia dunia nzima ndio kitapendwa.

Kilimo sio mali ya vijana ni for the whole society, lakini kiwe kilimo chenye manufaa, sio kuumizana.

Vijana ni kundi kubwa linahitaji technologia kufanya kila kitu sio kilimo pekee.

Kwanini unaona vijana ndio hufaa kulima na sio wazee?! Hata nchi zilizoendelea wakulima wakubwa yani wale wanaofanya kilimo cha technologia ni wazee.

Kigeuze kilimo kwanza kama sekta, iwe na tija kisha waite vijana.

Vijana kiuchumi hawahitaji kilimo kabisa, vijana rika dogo uhitaji kuwa mashuleni wakiwa trained kwenye maeneo tofauti, wale Rika la kati wakizalisha kuhudumia familia zao na jamii, wale vijana wa Rika la juu waki watrain hawa new force kushika hatamu wao wakizeeka.

Kiliko chetu hakipendwi, hakina tija. Mfano, unaanza kuandaa shamba la pamba october unaanza kulima November hadi December unapanda, unakuja kuvuna may au June, unauza July hadi August pengine uuze kwa MKOPO yani uwape pamba wakulipe baadaye.

Unaanza kujiandaa kutafuta mbegu na pembejeo na kuanza maandalizi ya msimu ujao huna kitu.

Unakula nini, unavaa nini na ukiugua au mkeo au mtoto unamtibu vipi, hakuna bima au insurance za matibabu za wakulima au familia za wakulima.

Watoto wanahitaji kwenda shule huna kitu,bado hujalipwa na hujui utalipwa lini.

Kwa ujumla kilimo Tanzania hii ni ujinga, bora ufanye uchuuzi wa mazao. Nunua uza move on.

Acha kazi kalime kisha utuletee mrejesho hapa, nasi tujifunze kutoka kwako.

Nawashauri vijana wasilime, watafute elimu vizuri, waelimike vizuri wafanye mambo yenye tija kwenye maisha yao, sio kilimo chetu hiki cha kutegemea mvua.
God forbid.

Walime wazee, sisi tunajiandaa na safari ya kwenda Mars.

Mkuu unapendaga sana kuni challenge...

Group kubwa katika jamii yetu ni vijana (15-24)

Hivyo katika uzalishaji,

Nguvu kubwa lazima ielekezwe kwao....

Ninaposema wana nguvu namaanisha wana muda wa kuwa coached, kwa mfano kupewa elimu ya kilimo, waka transform maisha yao pamoja na jamii

By the time wanakua wazee , wanakua tayari washafanya kilimo kwa mapana na marefu...

Sasa leo ukiambiwa uchague mtu mmoja kati ya mzee na kijana nani ana potential ya kuwa mzalishaji mzuri katika jamii utachagua nani???

By the way, Kilimo ni uti wa mgongo,

sikumbuki niliona wapi ila 76% of Tanzanians depends on Agriculture , na ina contribute to 27% GDP....

Sasa usifanye watu waka ignore Kilimo kama unavyotaka kwenye post yako,

Kilimo ni VERY important kwa VIJANA, wao ndio wazalishaji wakuu...

Hayo ya mke kuumwa sijui nini.. ... kukiwa na Kilimo chenye tija utaweza ku AFFORD everything....

Hapa tuna brainstorm tufanyeje as a nation tupate Kilimo chenye tija,

Wewe unakuja na post ya kuignore everything..

Hivi mkuu uko serious?? au ulilima ikatokea sivyo?
 
Mkuu unapendaga sana kuni challenge...

Group kubwa katika jamii yetu ni vijana (15-24)

Hivyo katika uzalishaji,

Nguvu kubwa lazima ielekezwe kwao....

Ninaposema wana nguvu namaanisha wana muda wa kuwa coached, kwa mfano kupewa elimu ya kilimo, waka transform maisha yao pamoja na jamii

By the time wanakua wazee , wanakua tayari washafanya kilimo kwa mapana na marefu...

Sasa leo ukiambiwa uchague mtu mmoja kati ya mzee na kijana nani ana potential ya kuwa mzalishaji mzuri katika jamii utachagua nani???

By the way, Kilimo ni uti wa mgongo,

sikumbuki niliona wapi ila 76% of Tanzanians depends on Agriculture , na ina contribute to 27% GDP....

Sasa usifanye watu waka ignore Kilimo kama unavyotaka kwenye post yako,

Kilimo ni VERY important kwa VIJANA, wao ndio wazalishaji wakuu...

Hayo ya mke kuumwa sijui nini.. ... kukiwa na Kilimo chenye tija utaweza ku AFFORD everything....

Hapa tuna brainstorm tufanyeje as a nation tupate Kilimo chenye tija,

Wewe unakuja na post ya kuignore everything..

Hivi mkuu uko serious?? au ulilima ikatokea sivyo?
Hahaha basi samahani sana, mimi nilichangia mada tu, siku kusudia kuku challenge wewe kama ulivyosema.

Sikufahamu, naaamini pia unifahamu, siwezi kuwa na nia yoyote kukukeaza binafsi, labda hukupenda mawazo yangu, lakini sikukusudia kuku challenge wewe kama wewe.

Kama hutojali nitaondoa mchango wangu kwenye post hii, na uwe na amani kabisa.
 
Hahaha basi samahani sana, mimi nilichangia mada tu, siku kusudia kuku challenge wewe kama ulivyosema.

Sikufahamu, naaamini pia unifahamu, siwezi kuwa na nia yoyote kukukeaza binafsi, labda hukupenda mawazo yangu, lakini sikukusudia kuku challenge wewe kama wewe.

Kama hutojali nitaondoa mchango wangu kwenye post hii, na uwe na amani kabisa.

Hapana usitoe, kwa nini utoe? lol..
 
Back
Top Bottom