Tufanye nini kupunguza au kutokomeza changamoto ya upatikanaji wa maji Safi na salama nchini?

Abega

New Member
Nov 13, 2018
1
0
Habarini ndugu zangu wote, me ni mtumiaji mpya wa jamii forum.

Kama tunavyo jua kua "maji ni uhai", lakini asilimia kubwa ya wananchi apa nchin wanakosa huduma ya maji Safi na salama Kwa matumizi ya kila siku, je Kama wananchi ambao ndio tunadhurika Sana na ili tatizo tufanye nini ili tuweze kujikwamua na I changamoto??
Naomben mchango wenu tafadhari Kwa kua nime ona APA ndo mahari pekee ambapo napo weza toa hoja na kusikilizwa.Ntashukuru Kwa mchango wenu, asantheni
 
Back
Top Bottom