Tufanye namna gani kukomesha mauaji ya watoto kwa ushirikina? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tufanye namna gani kukomesha mauaji ya watoto kwa ushirikina?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Madaraka Amani, Nov 1, 2011.

 1. M

  Madaraka Amani Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jana kulikuwa na mazishi ya mtoto mdogo huko Ifakara maeneo ya Maendeleo. Awali mtoto huyo alipotea nyumbani kwa wazazi wake kwa takriban siku mbili. baadae alipatikana kando ya mto Lumemo akiwa maiti. Cha kusikitisha zaidi ni kwamba maiti hiyo ilkuwa imepasuliwa kifuani na kutolewa moyo. Kisha wauwaji waliifunga kwa kamba na kuitundika kwenye mti. Jana mtoto huyo ambae ameuwawa bila hatia alizikwa. Watanzania tunajisifu kuwa tunaendelea. Watanzania sasa tuna waasomi wengi sana. Watnzania leo badala ya kusonga mbele tunarudi nyuma kiimani. Hivi tufayeje ili kukomesha vitendo hivi ambavyo vinaongezeka kila kukicha. Ndugu wana JF iko haija ya kuumiza vichwa vyetu vinginevyo tutapoteza sura mbele ya jamii ya kimataifa.
   
Loading...