Tufanye hivi kuibana mitandao ya simu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tufanye hivi kuibana mitandao ya simu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FredKavishe, Aug 15, 2011.

 1. F

  FredKavishe Verified User

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Naamini hakuna biashara inayolipa hapa nchini kama mitandao ya simu serikali yetu inashindwa kuyabana haya makampuni vilivyo kwenye kodi ndo maana kila baada ya miaka miwili yauzwa kwa wengne baada ya waliopo kutosheka kuchuma'ushauri' wangu:

  1.kwenye kila vocha mfano vocha ya 500 TRA wawe wanakata kodi moja kwa moja mfano kwa 500 iwe sh 50 hiv'sasa mteja akiweka vocha ya 500 anakuta 450'na kwa vocha nyingne
  2.kuiangalia upya mikataba yote ya makampuni ya simu Tanzania
  3.naamini wanachuma sana basi waboreshe mishahara ya wafanyakazi wao
  4.watoe kazi kwa vijana wengi wa kitanzania kwenye vile vitengo vya security'kwasababu now tuna wasomi wengi wanaosema computer science eng'
   
 2. k

  kipira Senior Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 135
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />alaf hiyo kodi ikishakusanywa ufisadi unaanza! Kah! Bora wasilipe tu!
   
Loading...