Tufanyaje tuwe na TV channel ILIYOHURU??? Tunahitaji sana hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tufanyaje tuwe na TV channel ILIYOHURU??? Tunahitaji sana hili.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sharp lady, Feb 23, 2011.

 1. S

  Sharp lady Senior Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kulingana na uwepo wa mahitaji makubwa ya kuongea mambo ya msingi yahusiyo taifa letu kwa uhuru bila kufungamana na upande wowote tunahitaji TV channel iliyohuru yenye kutupa nafasi yakuyaongea kwa kina yale yote tunayoyahitaji kuhusu taifa letu bila kusahu tuweze kuwa na uwezo wa kuwaajiri waandishi wasio fungamana na upande wowote.
  au mnasemaje wadau? Naomba kuwakilisha.
   
Loading...