Tufahamishane kuhusu hili.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tufahamishane kuhusu hili..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Konya, Dec 8, 2011.

 1. K

  Konya JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 920
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  1.1.nini hasa maana ya chama cha siasa kuwa cha mrengo wa kushoto au kulia..1.2.nini malengo,nia au dhumuni ya chama flani kuwa na either mrengo wa kulia au kushoto na maendeleo ya nchi kwa ujumla...1.3.kuna uhusiano gani basi na mifumo ya kijamii k.v ubepari,ubeberu n.k na hiyo mirengo yao(kushoto au kulia)..wale wataalum wa siasa naomba tuelimishane.

  Nawasilisha
   
Loading...