Tuendako simu za mkononi zitapigwa marufuku kuingia nazo maofisini au zitaweka utaratibu maalumu

Ni mtazamo tu based on what is goingo on now in our country.

nchi za kiafrika ndivyo tulivyo. Marekani Marufuku matumizi ya cellphone kazini hata texting marufuku. Kosa la kwanza onyo kali, kosa la pili hakuna huruma ni disciplinary termination, means get fired (kufukuzwa kazi). Zinaruhusiwa simu za kazini na kikazi tu. Kama kuna dharura toka familia wapeleke ujumbe administration, na utaitwa ofisini kupokea ujumbe au kupitia kwa supervisor. Kimsingi matumizi ya simu binafsi kazini husababisha uzembe na matatizo mengi kikazi.
 
Ndio maana nasema kwa utawala huu wa Magufuli hili linaweza tokea.
 
Kama tuna reverse evolution of man,
Kama tunarudi kwenye precambian era au labda stony age.
 
Hii itakuwa hatua kubwa ya kuongeza ufanisi kazini na kupunguza wizi wa wakati ambao unahitajika kuzalisha au kuhudumia
 
Hilo la Baning Mobile fons officini ni Zurich sana, Tena hizi simu zenya Internet package's ndio kabisa, zikipigwa ban uzalishaji na huduma zitaboreka sana. I support it 1000%
 
Sheria, kanuni na taratibu za kazi ziko wazi. Tatizo letu ni kwa sababu kwa muda mrefu hivi vitu vimekuwa haviko enforced. Pale ambapo vina kuwa enforced tunaona kama ni unyanyasaji na u dictator.

Umeajiriwa kufanya kazi na muda wa kazi ni wa mwajiri wako. Kampuni nyingi za kimataifa haziruhusu matumizi ya simu za mkononi wakati wa kazi. Ukileta hapa kwetu unaonekana ni unyanyasaji. Akifanya mzungu ni sawa..

Subiri mtanyooka tu
 
ni lofa na mapumbavu watakaoona kupigwa marufuku ni kosa. Kazini unasurf internet ya fb au jamii forum ya nini? Naunga mkono hilo lifungiwe kabisa. Huwezi acha kazi.
 
Sisi kazini tushalizoea hilo. Hakuna kutumia simu muda wa kazi. Wala kuonekana upo busy na simu. Simu za kutumia na za ndani ya ofisi, landline na tena unapiga extesion ili uonganishwe huko unapotaka kupiga.
 
simu.zina faida zake zikitumiwa vizuri mfano informations,email etc.pia watu.walio ajiriwa nchini na central govt na private sector sio wengi kiasi cha kuleta impact hiyo
 
Kweli kuna madogo wapya kazini nusu ya mda wa kazi wanachat na kuongea kila dakika,nawavumilia sana
 
nchi za kiafrika ndivyo tulivyo. Marekani Marufuku matumizi ya cellphone kazini hata texting marufuku. Kosa la kwanza onyo kali, kosa la pili hakuna huruma ni disciplinary termination, means get fired (kufukuzwa kazi). Zinaruhusiwa simu za kazini na kikazi tu. Kama kuna dharura toka familia wapeleke ujumbe administration, na utaitwa ofisini kupokea ujumbe au kupitia kwa supervisor. Kimsingi matumizi ya simu binafsi kazini husababisha uzembe na matatizo mengi kikazi.

Labda nikufahamishe kwamba simu nyingi za mezani/TTCL zimefungwa kwa kushindwa kulipia bill Na mrundikano WA madeni..
 
Back
Top Bottom