Tuendako Magaidi watashangiliwa

chaliko

Senior Member
Apr 1, 2019
180
802
Naomba niwasalimu Ndugu zangu.

Pia naomba niwape pole wale wote ambao Familia zao zimepoteza Ndugu kwa sababu ya matukio ya Kigaidi kule Mtwara.
"MUNGU AZILAZE ROHO ZAO MAREHRMU MAHALI PEMA PEPONI. AMINA"

Naomba sasa nijikite kwenye mada husika.

Nimefikiri kwa kina na Kujiridhisha ya kuwa ipo siku Magaidi ambao wamekuwa wakijichomoza polepole ndani ya Taifa letu Kulaumiwa pamoja na Kulaaniwa na Watanzania wote WATAKUJA KUSHANGILIWA NA BAADHI YA WATANZANIA NA MAKUNDI FULANI FULANI.

Hii itatokea tu pale ambapo Magaidi watabadili MALENGO NA WAHUSIKA WA KUDHURIWA(TARGET)

1. MALENGO
Kama Magaidi hawa watajipenyeza kwa MALENGO YA KUPIGANIA HAKI.

2. TARGET
a. Wale wote ambao wamekuwa wakihusishwa kuteka na kutesa WATU.

b. Wale wote ambao wamekuwa wakitumia nyadhifa zao kukandamiza WATU.

c. Wale wote ambao wamekuwa wakitumika kuua WATU wengine wasio na hatia.

d. Na mengine mengi ya uonevu

Fikra zangu zinaniambi kwa TARGET hizi WATANZANIA Tutagawanyika makundi 2.

1. Wanao waunga Mkono

2. Wasio waunga Mkono

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Tuombee sana umoja na mshikamano wa kitaifa tuwe wamoja na tumlaani yeyote yule anayetugawa kwa misingi ya itikadi za kisiasa. Tanzania kwanza vyama baadae, vyama vitapita lakini Taifa litaendelea kuwepo.
 
Kipindi kile cha kibiti watanzania wengi tulikuwa tunafurahi tukisikia kiongozi wa KIJANI amegongwa ya kichwa...
Kwa jinsi uonevu wa hawa washamba wa KIJANI unavyozidi dhidi ya wapinzani Acha Tu vikundi vya kigaidi viendelee kupata support.

Sikuzote ugaidi unatokana na kukataa dhulma/uonevu dhidi ya serikali
 
Walizulumu mikaa ya watu halafu wakawabambikia ugaidi.
 
Malengo halisi ya hao magaidi yatasemwa na wao wenyewe hawa wengine siwaamini.
Mkuu haya mambo sio ajabu duniani, maana Terrorist to one group is freedom fighter to others.
Kama juzi tumeona watu wakiunga mkono Harambee stars baada ya Taifa stars kuitwa timu ya CCM, Itakuwaje hao magaidi wakiamua kuwa wanafanya sabotage kwa raslimali za CCM?
 
Kipindi kile cha kibiti watanzania wengi tulikuwa tunafurahi tukisikia kiongozi wa KIJANI amegongwa ya kichwa...
Kwa jinsi uonevu wa hawa washamba wa KIJANI unavyozidi dhidi ya wapinzani Acha Tu vikundi vya kigaidi viendelee kupata support.

Sikuzote ugaidi unatokana na kukataa dhulma/uonevu dhidi ya serikali
Wewe umeonewa kwenye kitu gani hasa?
 
Mnataka mtumie ugaidi kupenyeza ajenda zenu za kishenzi
Dawa ya gaidi sio kupeleka mahakamani dawa ya gaidi ni risasi

Hata kama serkali haifanyi vyema gaidi sio wakuchekewa hata kidogo
 
Tuombee sana umoja na mshikamano wa kitaifa tuwe wamoja na tumlaani yeyote yule anayetugawa kwa misingi ya itikadi za kisiasa. Tanzania kwanza vyama baadae, vyama vitapita lakini Taifa litaendelea kuwepo.
Maombi hayatakuwa ya dhati na kusikiwa kama bado tutaendelea kuwaruhusu watu kama Makonda wawe na platform za kueneza chuki na dharau bila ya woga
 
Umoja wa kitaifa ndio ngao .ila siasa Zinaua kabisa umoja wa kitaifa. Tumeshuhudia Juzi Jinsi Watanzania walivoshangilia kufungwa kwa Taifa stars Afcon. Taifa likipata maadui watu wote wanaungana lakini naona hiyo unite inapotea saiv watu ndio wanashangilia.
 
Maombi hayatakuwa ya dhati na kusikiwa kama bado tutaendelea kuwaruhusu watu kama Makonda wawe na platform za kueneza chuki na dharau bila ya woga
Watu sampuli hiyo ni wa kuombea duwa mbaya watoweshwe kwenye uso wa nchi.
 
Hilo tukio ni la kulaaniwa sana sana,,,ila litatumika vizuuri kuhamisha magoli kwenye mijadala mingine muhimu ya kitaifa,,
 
Back
Top Bottom