Tuendako kuna giza: Majaliwa anadai kupata kura kiduchu sababu ni watumishi wa umma kutokitetea CCM kama mwajiri wao

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
mwananchi-dondosha-magazeti-4-950x936.jpg
 
Kwahiyo inamaanisha wajipange kwa namna yoyote ile ili mradi washinde kwa kishinde na kurudi madarakani.
 
majaliwa ni baadhi ya viongozi wachache wenye hekima awamu hii, ni vema aachane na habari za uenezi wa CCM kwa maana ameanza kuwakosea heshima watumishi wa umma. watumishi wa umma (kwa nafasi zao) wana saini kiapo cha kuwatumikia wananchi wote bila kujali kabila, rangi, dini, kipato au itikadi za kisiasa. mtumishi wa umma aliyetukuka anajua wazi kuwa mwajiri wake ni UMMA wa watanzania
 
Sidhani hivi sasa kama ukweli unapendwa tena!
 
majaliwa ni baadhi ya viongozi wachache wenye hekima awamu hii, ni vema aachane na habari za uenezi wa CCM kwa maana ameanza kuwakosea heshima watumishi wa umma. watumishi wa umma (kwa nafasi zao) wana saini kiapo cha kuwatumikia wananchi wote bila kujali kabila, rangi, dini, kipato au itikadi za kisiasa. mtumishi wa umma aliyetukuka anajua wazi kuwa mwajiri wake ni UMMA wa watanzania

Mtu yeyote anayemtete mtu wa CCM namuona shetani
 
Back
Top Bottom