Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

Wakuu.

Ili kuipunguzia serikali mzigo nadhani walimu wote wapewe smartphone na waruhusiwe kucheza ile biko au tatu mzuka ili kupunguza madai yao kidogo kodogo.
Hivi Kwani BIKO au TATU MZUKA zinachezwa kwa Smartphone tu?? Nadhani haupo sahihi..hata Simu za kawaida (Feature phone) zinafaa kwa maana ni kitendo tu cha kufanya muamala

BTW hilo wazo lako nalikataa sio zuri
 
Wakuu.

Ili kuipunguzia serikali mzigo nadhani walimu wote wapewe smartphone na waruhusiwe kucheza ile biko au tatu mzuka ili kupunguza madai yao kidogo kodogo.
Kwan nini walimu?.... acha marujuana
 
Hivi inaonekana hii michezo ya Bahati Nasibu inalipa sana kwa wale ambao wamewekeza pesa zao katika mchezo husika.

Lengo la Kutaka Kuandika Uzi Huu ni kutaka kujua ni Hatua gani watu wanaowekeza Pesa zao kwenye Michezo kama BIKO na TATU MZUKA hufuata maana wanatengeneza faida kubwa sana ndani ya mda mfupi.

Mfano kwa hesabu ya kawaida Endapo kila siku wakawa wanacheza watu kama laki moja kwa kadilio la chini la watu Kwa shilingi 1000 wanakuwa wametengeneza kama million 100 kwa maana hiyo kwa wiki wanakuwa na million 700 ambapo wao mshindi wa pesa nyingi hutoka kila mwisho wa wiki ambapo hueza kushinda million 80-100

Nawashindi wa kila siku ndani ya wiki hawawezi shinda zaidi ya million 50

Kwa maana hiyo na baada ya kodi ya serikali faida ambayo inaweza baki kwa kadilio la chini ni kama million 300

Hasa Ndugu zangu ni hatua zipi inatakiwa ili uwezewekeza pesa huku kwenye TATU MZUKA na BIKO maana kuna faida

Asanten
 
Hii michezo ukiwa na million 200 straight unafungua kampuni ya yako swafi
 
Noma mzee . hv mtaj wake unaweza kuwa kama Tsh ngap hv Maaana n very profitable business
 
Wa Tz wavivu wanataka maisha ya juu jambo ambalo sio rahisi hivyo hakuna njia ya mkato kupata pesa
 
Wa Tz wavivu wanataka maisha ya juu jambo ambalo sio rahisi hivyo hakuna njia ya mkato kupata pesa
Lengo sio kupata maisha mazuri kwa njia ya mkato but ni kutaka kujifunza ni namna gani wao wanaweza tengeneza kwa kutumia akili
 
Back
Top Bottom