Tuelimishane hapa kuhusu hii bahati na sibu ya BIKO

fundinaizer

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
1,757
2,706
Habari zenu wakuu,
Nimeskia promo mbalimbali kwenye vyombo vya habari kuhusu mchezo wa bahati nasibu maarufu kama BIKO...,ningependa kufahamu kama kuna mtu yeyote aliyeshinda ili nami nijaribu bahati yangu
 
Mimi nilikata ticket tarehe 3/5/2017 kwa kutumia m-pesa nikaletewa notification msg kuwa pesa imetumwa BIKO kama inavyothibitisha hapa 4E39LOSZ6Z Imethibitishwa. Tsh1,000.00 imetumwa kwa BIKO kwenye akaunti namba 256 tarehe 3/5/17 saa 9:44 AM. Salio lako la M-Pesa ni Tsh**

Nikiwa nataka kucheza bahati nasibu ya wiki inayofuata hivyo nimenyimwa haki ya kucheza niliwapigia vodacom wakasema walishatuma hiyo pesa nisubiri hadi 24/5/2017 watakuwa wamejua tatizo nikawauliza hamuoni kuwa hamtendi haki, wajitetea kuwa wao walishamaliza kazi yao na ni kweli.

Nikawapigia BIKO wakasema wanashughulikia na sasa kila nikipiga simu zao hizi 07436575669 na 0711869823 hawapokei simu yangu.

Sasa nataka niende Katika bodi ya Bahati nasibu kuwashitaki vinginevyo natafuta mwanasheria nikawashitaki mahakamani kwa kunikosesha haki ya kushiriki bahati nasibu.
 
Back
Top Bottom